Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nitashtukia ngumi eeeh labda sio Mimi na ukinigusa lazima ulale mahabusu ili ukome
Labda uwe umefuga marioo ila shababi hana masihara,kuna mawili kukutengua au kukupeleka ahera...mwanaume ni mwanaume tu hata kama mama ndio unatawala nyumba
 
Dadangu nimekwambia mruhusu mumeo aoe mke mdogo ili ukae mlee tu watoto wenubasi. Wanaume sisi asili yetu ni polygami, hata mm nna mke ila nna wanawake wako mikoa tofauti, nnapoishi nna mmoja dar mmoja mwanza mmoja na bukoba mmoja owte ni wanawake wangu and wanajuana na wote wana watoto wangu na ninawajibika kwao na kila mtu ana nyumba yake sio ya kupanga nimewajengea in case heta nikitangulia mbele za haki wanangu wasiteseke. And still I am 39 years now. Wanawake wangu wananipenda sana huwa nawakusanya kila skukuu tunafurahia pamoja na wanangu. Hiyo ndo style nloamua kuishi na wote wamekubaliana na mm
 
Siyo makusudi wakati wanaume wenzio humu kila siku wanasema mwanaume kuchepuka ni lazima hata mwanamke amfanyie nini na halafu ni wapi Mungu alisema amewaumba wanaume mshindwe kuwa na mwanamke mmoja?

Na kwahiyo mwanamke naye akichepuka utamvumilia tu maana ni shida na raha si ndiyo?
Halafu mifano yao huchukulia kwa walio wazinzi lakini wale walio ishi kikamilifu kama Ayubu huwa hawazungumuziwi ila wale wazinzi wenzao
 
ndio maana yake sasa utafanyaje inabidi uvumilie au kam vipi unafile divorce tu hamna namna utamlazimisha mtu mzima na kashaamua kufanya yake
alafu mungu pia hajasema mwanamme aishi na mke mmoja hata kwenye bible hamna iyo kitu
Na aliposema mwanaume awe na wanawake wengi ni wapi?
 
Ndugu pole sana, nikuambie tu ukweli mumeo amekukosea amekuomba msamaha hivo katambua kosa lake, msamehe. Usipofanya hivo shetani unaemkaribisha ni mkubwa zaidi ya kucheat, utaumiza watoto wasio na hatia bure.
Kingine, usidanganyike et mwanaume haridhiki na mke mmoja, nimeoa nina mke mmoja na ninatosheka sana, hizo ni tamaa za shetani tu. Mungu awasaidie sana
Hongera sana kwa kujitambua, waache wahangaike na wanawake wengi mwishowe wanaishia kupata tezidume
 
Muulize huyo Selemani ni mtoto wa nani hata hajui, amekariri hapohapo kwenye wake wengi ndio atajua kilichompata baada ya hayo yote? Unajisumbua bure madame

Kwa kweli. Kwanza hawa wazee wa kula matunda kimasihara hata sijihangaishi kupigizana nao kelele.
 
Na wewe chepuka tu hapo kilichobaki nikulea watoto cheating haisameheki kabisa hasa mtu uliye mwamini, Hawa viumbe huua nyege za wake zao. Nakuhurumia maskini kiukweli na wewe chepuka tu ngoma droo wallah
Alafu unamtaja Allah kwenye ushauri wako wa hovyo kama huu....! Kwakweli ni hatari Sana

Samahani Sana kama nimekukosea mkuu
 
Halafu mifano yao huchukulia kwa walio wazinzi lakini wale walio ishi kikamilifu kama Ayubu huwa hawazungumuziwi ila wale wazinzi wenzao

Si ndio hapo sasa. Watu kama kina Yusufu hawawatolei mifano ila kutwa kina Suleiman utafikiri Mungu aliwatuma kumbe walifanya kwa utashi wao.
 
Jurjani sijakuona kwenye uu Uzi unakula sikukuu Nini rafiki yangu, hafu mchoyo mbona hujanialika mwenzako
Ukiona hivyo ujue huu uzi hauni husu. Hakuna maisha mazuri na ya amani kwa sisi tulio oa kama kuto kucheat. Ila daah, acha tu,mwanamke mmoja hatoshi hatoshi, ila sababu ya uana ume wetu tunavumilia.

Huku kwetu mke mmoja huwa tunasema "Tochi moja" ,yaani likizima tochi moja ujue mnalala giza. Na ukitaka kupima uadilifu wako basi uwe na mke zaidi ya mmoja.

Hili lingine tutalimaliza kimya kimya kama ilivyo ada.
 
Si ndio hapo sasa. Watu kama kina Yusufu hawawatolei mifano ila kutwa kina Suleiman utafikiri Mungu aliwatuma kumbe walifanya kwa utashi wao.
Yusuf wamtaje wapi, wakati uaminifu wake mpaka akawa PM nchi ya watu na mabwege wakamtumikia mie upuuzi huo siutaki kabisa, kama mtu ananitaka na nimzinzi akafie mbele na wazinzi wenzie huko!
 
kwakweli mwanaume kucheat sio jambo la makusudi mwanaume kutamani wanawake tofautitofauti ni asili mzungu tu ndo kaja kutuvuruga
alafu kwenye kuapa shida na raha ni kwa ujumla wake hawajasema kwenye magonjwa na umaskini tu
sema wanandoa hiyo phrase ya shida na raha naona wanaichukuliaga poapoa
alafu wanawake wa saivi sijui vipi mbona zamani wazee waliishi ndoa za wake wengi na mambo yakawa fresh tu
ulisha wauliza hao wanawake kama walikuwa happy?
 
Unaonekana bado kinda kwenye hii tasnia ,ila2 nikutie moyo jitaidi kuwa unamuonyesha jinsigani unaumia uyo aliekutenda,pia mpe nafasi yakumskiliza pwent zake pindi anakuwa anajalibu ku handle tatizo ili,,pia kwenye bedi usijitengenae jitaidi kuwa kalibunae, usikubali kuongozwa naayo uyawazayo,,,,chukuwa hiiii,,,hamna mkamilifu nikwamba tunapishana2 kuteleza,,,amini kuwa ata ww unaweza teleza.
 
Mkuu kwani haujui yaliyowapata hao as a result of wao kuwa na wake wengi?

Halafu unafikiri kwa sababu wao walifanya basi Mungu ndiyo alikuwa anasupport?

Yawezekana pia haujui kuwa kilichowabeba ni imani na hekima zao na si kuoa wake wengi!

Msiwe mnapenda kutolea mifano ya hao watu wakati story zao mmezisoma juu juu tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unazungukaa sanaaa...!! Me sijasema kuoa wake wengi ndo kuliwafanya wawe juu kiimani au kuwainuaa..!! Pia Mungu hakuwahukumu kwa kosa la kuoa wake wengi isipokuwa mambo yao wenyewe mengine
 
Abrahamu Baba wa Imani alichepuka na Mfanyakazi wakee...!!

Mtume alioa wanawake karibu 100...

Sulemani na hekima zake alikuwa na wanawake 1000...!!


Sasa nitajie mwanamke ambae aliwahi kuwa na wanaume japo wawili akabaki salamaaa...
Unajua laana walizoachiwa baada ya hizo tamaa? Soma vizuri Bible kuna makosa yao kuna watu mpk leo wanalipa
 
Back
Top Bottom