Chungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee [emoji1] sasa nasema hivi nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)
Anatafuta mke, rafiki changamkia fursaChungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee [emoji1] sasa nasema hivi nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)
tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
Gauni ndefu mkuu ya kitengeUtakuwa umevaaje..?
[emoji23][emoji23][emoji23]tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
ndo napiga pasi ovalori langu hapa,then jpili nikae nje nisubir upepo wa kisulisuli[emoji1787][emoji1787] Tuache mkuu na jumapili mkuje kwa wingi basi mlima wa moto mtuchague
ah weeeee labda kama wakufumbe machotumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
Sawa mkuu nakujaAaaaaah wapi hatutaki mapenzi ya miujiza.......njoo kitaa nikuone nivutiwe na wew nifunguke nikubebe
Hahahahahahaa wachaga mmemsikia huyu jamaa!!!?????SHIDA WAIKISHA OLEWA, WANAKUA NA JEURI SUGU, DHARAU ZA HOVYO HOVYO, NA KIBURI CHENYE KUTU. !!! WALIACHIKA AU KUWA NA NDOA NGUMU WANAKIMBILIA KUFANYA ZIARA ZA KUSHITUKIZA KWENYE MAKANISA YA MITUME NA MANABIII. WE UNAFIKIRI WOTE HAWAKUWAHI KUOLEWA PALE??? HALAFU WACHAGA WENGI KWELI
Mimi nasubiri ule upepo unibebe unileta hapo, hata sijui unavumia wapi kwa sasaChungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee [emoji1] sasa nasema hivi nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)
Utaniretea mrejesho wa mvua itakayoshuka kwnye pm yakoMwanaume akinipenda[emoji7]/akanijali/akaniheshimu
Huo ndio mvuto wangu/Degree/masters/urefu/uzuri/biashara ya maana ndio hio yani everything.
Mwanaume anaekupenda akakupa Attention zote hata akiwa John mad dog ni sawa [emoji44][emoji30] sasa awe mrefu ili umchongee jeneza au
Naomba upepo wa kisulisuli ukikupiga ufanye kuniona mimi mkuu [emoji847]ndo napiga pasi ovalori langu hapa,then jpili nikae nje nisubir upepo wa kisulisuli
Okay ili nikujue vizuri utajifunga kilemba kidogo kichwani rangi chagua na uniambie hapahapa..Gauni ndefu mkuu ya kitenge
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaa wapooo...afu kuna mmoja alivaa gauni jeusi......chombo ile mbayaaa