Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
Mwenyekiti
Naomba unitoe hapo kabisaa, mimi nasubiria upepo upite! Sitakii kuolewa bila dalili
 
Kuna kanisa wanaume walijipanga ili wanawake wachague. Kuna jamaa alipata msururu mrefu nyuma yake wakati wengine hawana watu.
Hahahaa jamaa alivaa suti lazma huyu na ufunguo wa gari kiunoni
 
Ha ha nimecheka sana hii comment yako, hasa hapo ulipoanza ,,,,"sasa nasema hivi nimepunguza....

Endelea kupunguza isiwe joke.
Chungu ila ndyo dawa hamna jinsi ,nakumbuka nilikua na vigezo flani hivi si vingi sana ila siku zinavozidi kwenda najikuta napunguza tuu aisee sasa nasema hivi nimepunguza vigezo to zero nahitaji yeyote ili mradi awe jinsia me(joke)
 
Back
Top Bottom