hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,263
- 80,032
hahaaaa wengine mmevurugwa daahhHivi Maadam Chepeo ana nini cha kusimulia kutoka labor zaidi ya kusimulia maumivu ya kukamua kimba!!!!
hahaaaa wengine mmevurugwa daahhHivi Maadam Chepeo ana nini cha kusimulia kutoka labor zaidi ya kusimulia maumivu ya kukamua kimba!!!!
Wanyama wakituonaga,huwa wanatamani sana wangekuwa kama sisi ila basi tu Mungu alishapanga. Kuwa binadam ni bahati kubwa na inabid uishukuru bahati hiyoTena ni bora nisingezaliwa kabisa, dunia imejaa dhiki na stress za hovyo tu, kila leo namkufuru Mungu.
Hivi mjamzito asipofanya mapenzi kipindi chote cha ujauzito,anaweza akapata shida kujifungua?Ndo maisha mkuu. Kaniachia zawadi ya mtoto na nampenda balaa.
Hapana. Mbona mi nilijifungua fresh tuHivi mjamzito asipofanya mapenzi kipindi chote cha ujauzito,anaweza akapata shida kujifungua?
Nani anataka epidural? Mi siziamini sana zitakua na madhara makubwa sio.kila kitu kizuri kwa afya bora hayo maumivu tutayavumilia yanaisha na ni natural mwili unafanya kazi yake.Hakuna mwanamke aliyejifungua mtoto wa kwanza ki asili kwa uchungu halafu mwingine akajifungulia kwa epidural halafu akataka tena kujifungua kwa uchungu...
Kitu kingine ni wakati wa kukata roho,hiki ndio kichungu zaidi kulikoMama sabrina looo pole shogangu yani ulivyoelezea yote yalinikuta mimi, mtoto alisukumwa na manesi watatu huku dokta naye anavuta jamani wanaume wangejuaga kwa kweli wasingeletaga dharau, acha mama aitwe mama, toka nitoke leba aisee nimekuwa mgumu balaa hata nipitie kitu gani sijui kama maumivu yake yatafikia ule uchungu.
Shikamoooni wamama jamn
Mi nilijuaga leba mtu anapigwa sindano ya ganzi kabla process haijaanza kumbe ni hivi hivi [emoji15] [emoji15] ,sipati pichaMama sabrina looo pole shogangu yani ulivyoelezea yote yalinikuta mimi, mtoto alisukumwa na manesi watatu huku dokta naye anavuta jamani wanaume wangejuaga kwa kweli wasingeletaga dharau, acha mama aitwe mama, toka nitoke leba aisee nimekuwa mgumu balaa hata nipitie kitu gani sijui kama maumivu yake yatafikia ule uchungu.
Shikamoooni wamama jamn
Mwanamke uliyefundwa huwezi kusema haya mambo hadharani
Ni eidha ulizaa ukiwa mwanafunzi/mwanachuo au umekuwa mama kabla ya wakati wako.
Vinavyofanyika/kutokea leba ni siri, kuvimwaga hadharani hapa ni kujivua nguo. Ndio maana hata manesi/wakunga hawavitoi nje.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] you wish you could be a nani??????? Kati ya wishes zote nilizowahi kukutana nazo hii ni noma aisee! Kwahiyo mkuu una-wish ungekuwa unapigwa mambo?Halafu hamkomi kuzaa ,I wish I could be a woman... Nisingezaa ngooooo..
Wewe unahatari kubwa kijana..unatakiwa umuombe sana Mungu wakoHalafu hamkomi kuzaa ,I wish I could be a woman... Nisingezaa ngooooo..
Usikonde, njoo tuYan nimepitia comment zote nimeogopa ndo najiandaa kwenda kushika ujauzito wa jr ooooh jaman nimesisimka mwili kabisaaa
Wanasema unaweza ukapooza au kuumwa mgongo ukichomwa vibayaNani anataka epidural? Mi siziamini sana zitakua na madhara makubwa sio.kila kitu kizuri kwa afya bora hayo maumivu tutayavumilia yanaisha na ni natural mwili unafanya kazi yake.
Unaweza usiamke kabisa ukawa wa kitandani. Mungu aliumba miili yetu kwajinsi ya ajabu kila kitu kina function accordingly. Sasa ukianza tena kwenda against nature lazima madhara yawepoWanasema unaweza ukapooza au kuumwa mgongo ukichomwa vibaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngejua maumivu wanaume tunapata mnapotutenganisha na hela zetu wala msingeleta huu uzi.