Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Nani anataka epidural? Mi siziamini sana zitakua na madhara makubwa sio.kila kitu kizuri kwa afya bora hayo maumivu tutayavumilia yanaisha na ni natural mwili unafanya kazi yake.
[emoji122][emoji122][emoji122] asee we mwanamkee...[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nilijifunza ujauzito wa pili wala haikuchukua two hours nilikua nimeshajifungua nilipiga zoezi mwanzo mwisho na uchungu unakua wa haraka. Ila kuna complications zingine ziko nje ya uwezo wa mama
Ongera kwa kufuzu hilo somo. Ya tatu itachukua dk 10
 
Mi nilijuaga leba mtu anapigwa sindano ya ganzi kabla process haijaanza kumbe ni hivi hivi [emoji15] [emoji15] ,sipati picha
Unaijua ganzi kwanza chief [emoji1][emoji1][emoji1] alafu jiulize anachomwa wapi hiyo ganzi sasa!!?
 
Hichi kitu kinafundishwa mpk shule kwenye level ya juu kwa waliochukua pcb sasa na darasani tunakuwepo wavulana na wasichana. Haya mambo yanatuhusu wake kwa waume maana hata leba mara nyingine wanazalisha wanaume. And kama sikosei humu hakuna under 18.
Cajojo leo umenipa burudani kabisa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Sidhani kama kuna kitu kigeni chochote duniani, uchungu na leba ni mambo ya kawaida kabisa uliza wanaosomea udaktari, kwa dunia ya leo iliyoendelea watu watakushangaa kusema jambo kama hilo, ukiingia YouTube kunazo hadi video ya kuzaa.... Sasa sielewi unazungumzia siri katika muktaza gani
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom