ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Ahhaah mi nilimuambiaga marufuku kukanyaga hospitali ,,nikamchukia balaa lenyewe linalala usingizi mzuri mi nahangaika

Ahhaah mi nilimuambiaga marufuku kukanyaga hospitali ,,nikamchukia balaa lenyewe linalala usingizi mzuri mi nahangaika

Nimeenda mara moja but sikupitia mateso sana..niliumwa uchungu nusu saa tuu nikajifungua..
AhahahaaaaaaMmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama

Watu na bahati zenuNimeenda mara moja but sikupitia mateso sana..niliumwa uchungu nusu saa tuu nikajifungua..
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama








Alete experience hapa aiswe mjanja, kama bado nimuibukie na uzi mwanana
Ila nikiwa mjamzito nilipiga zoez had dakika ya mwishoWatu na bahati zenu
Mwenyewe nilipiga zoezi jamani ila basi tuIla nikiwa mjamzito nilipiga zoez had dakika ya mwisho
Pole mkuuMwenyewe nilipiga zoezi jamani ila basi tu
Asante mpenzPole mkuu
Hahaha ukifika miezi saba unamwambia jr azidishe dozi kutengeneza njiaYan nimepitia comment zote nimeogopa ndo najiandaa kwenda kushika ujauzito wa jr ooooh jaman nimesisimka mwili kabisaaa
Usiogope Demiss kawaida tu, hilo kaliweka Mungu mwenyewe ukiwa mwanamke huwezi Kuepuka, hata sisi tulikuwa waoga kuliko wewe lakini sasa hivi ni mashujaaa wa kweliYan nimepitia comment zote nimeogopa ndo najiandaa kwenda kushika ujauzito wa jr ooooh jaman nimesisimka mwili kabisaaa
Wakumbushie na maumivu yakupigwa kwenye mapu***buMngejua maumivu wanaume tunapata mnapotutenganisha na hela zetu wala msingeleta huu uzi.
Jibane bane kama hajazaa na michepuko uishie kuletewa watoto wa wenzio uleeYan nimepitia comment zote nimeogopa ndo najiandaa kwenda kushika ujauzito wa jr ooooh jaman nimesisimka mwili kabisaaa
Sema shikamooni wanaume,ni wanaume wanaokupeni hiyo mizigo,bila wanaume sifa ya kuitwa mama msingeipataMama sabrina looo pole shogangu yani ulivyoelezea yote yalinikuta mimi, mtoto alisukumwa na manesi watatu huku dokta naye anavuta jamani wanaume wangejuaga kwa kweli wasingeletaga dharau, acha mama aitwe mama, toka nitoke leba aisee nimekuwa mgumu balaa hata nipitie kitu gani sijui kama maumivu yake yatafikia ule uchungu.
Shikamoooni wamama jamn