OkTangulia nakuja
OkTangulia nakuja
I love that...Nati zote zimekaza [emoji23][emoji23]
Rim bado mpya hii..
Huko nyuma niliwahi kuku pm sana lkn hujawahi kujibu pm zangu, nilikuwa nakupenda na kuku admire sana lkn mwisho nikakata tamaa Leo ndio nimejua Kwa nini ulikuwa hujibu pm zangu, bado nakupenda lkn[emoji7][emoji7][emoji7]Kumradhi mkuu… salamu gani sijajibu?[emoji23][emoji23]
Nichokee kwa password mwayaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapolee huwa Varuvaru zao wanaweka kunako 6×6 kwa mzagamuo.Wanawake wanajifanya hawapendi wanaume wapole lakini siku akiitunuku kwa meni mpole utasikia wanawasifu mwanaume mpole akikusimamia nyuma hashuki.
Poaaah!!Coca mambo?
Nomaaa😂Shambulizi zimeanza 🤣
huo ni wivu wa kawaida tu ambao wanaume huwa tunakua naoMwanaume anashika simu yangu
Namuona hajiamini
😂😂 sa kwanini utake kuchungulia simu yangu?
Matendo tu na namna nabehave kama nakucheat, nimewapanga si utanotice?
Kwa kifupi hana content..
Na mwanaume akikosa content anaboa.. ndio wale wa niambie, umekula mchana? Unafanyaje sahivi? Ushatoka kazini?
Khaa!!!
Simp...Simp.. Simp..Huko nyuma niliwahi kuku pm sana lkn hujawahi kujibu pm zangu, nilikuwa nakupenda na kuku admire sana lkn mwisho nikakata tamaa Leo ndio nimejua Kwa nini ulikuwa hujibu pm zangu, bado nakupenda lkn[emoji7][emoji7][emoji7]
Kwanini utegemee mwanaume tu ndiye awe mtu wa content kwani wewe usiwe na content pia.Kwa kifupi hana content..
Na mwanaume akikosa content anaboa.. ndio wale wa niambie, umekula mchana? Unafanyaje sahivi? Ushatoka kazini?
Khaa!!!
Mwanaume anashika simu yangu
Namuona hajiamini
[emoji23][emoji23] sa kwanini utake kuchungulia simu yangu?
Matendo tu na namna nabehave kama nakucheat, nimewapanga si utanotice?
Mhh hili jina lako ndio kwanza naliona bhana… ahsante kwa mapendo, nakupenda pia 😘Huko nyuma niliwahi kuku pm sana lkn hujawahi kujibu pm zangu, nilikuwa nakupenda na kuku admire sana lkn mwisho nikakata tamaa Leo ndio nimejua Kwa nini ulikuwa hujibu pm zangu, bado nakupenda lkn[emoji7][emoji7][emoji7]
Sahihi kabisa hatuna dawaaaa🚫Ummm, ukimwi na hepatitis B havina dawa
Toto lenyewe la kingoni hilooo. Wacha weeeePoaaah!!
Tangulia na
Naona umeloki PMTangulia nakuja
Hahaha.....he is not tough and rugged enoughni kama wewe mleta mada
daddy's kinkyMimi mapenzi ya baby baby, mara sweetie mara honey siyataki.. yani nataka mtu awe serious 😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm naweza hata shea reels
Then narise mada from that reel.
Sasa nikukute nakushea reel napo ushindwe kuidadavua? Nakimbiaaa speed ya Hussein Bolt
Nikiishiwa stori narise hata kaugomvi
Ili mradi heka heka tu
Penzi halitakiwi kupoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]