Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,903
- 105,471
Wahala wakifika utaona zigo nabebeshwa me 😂😂😂Usiondoke bwana😂
Wahala wakifika utaona zigo nabebeshwa me 😂😂😂Usiondoke bwana😂
Usimzingatie saaana vitu anavyosema unatakiwa uvichuje ndio ujue kipi cha kufuata kipi cha kudeal navyo, wanawake wapo very complicated, narudia tena very complicated creature kuwah kutokea duniani…😂 hawa viumbe ni wa ajabu mno, ukimpa attention ni shida, usipompa attention ni shida vile vile. Tuishi nao kwa akili tu. Nmepitia baadhi ya comment nmeishia kucheka.
Niko chato usimsikilize Lamomy 🤣,ana wivu na wanaume wa mkoani tuko na vitu special kuliko mshamba_hachekwi wa mjini🤣🤣 wait, what?. Huyo tupo nae hapa hapa
Asije kusema hatujamwambia 😂😂😂Aisee🤣
Hakika unachosema ni sahihi kabisaUsimzingatie saaana vitu anavyosema unatakiwa uvichuje ndio ujue kipi cha kufuata kipi cha kudeal navyo, wanawake wapo very complicated, narudia tena very complicated creature kuwah kutokea duniani…
What??? Ndio hutaki wa kijijini?Kumbe, sikuwa nafahamu🌚
😂😂😂 Kucha hamna ashindwe yeyeUnajua napenda kula kucha, sasa ukinifunga itakuwaje☹️?
🤣 Lamony akiongea kitu kina ukweli kwa asilimia zakeNiko chato usimsikilize Lamomy 🤣,ana wivu na wanaume wa mkoani tuko na vitu special kuliko mshamba_hachekwi wa mjini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Kucha hamna ashindwe yeye
🤣🤣🤣🤣 Wewe me kiongozi wa viwawa parokiani kwetuUko na ushetani mwingi🤣
🤣 unampandikiza tabia za ajabu mrembo wangu😂😂😂 kwisha habari yako, ushaanza kumuita mama?
Si unajua malezi ya mama? Kumchambisha mtoto wake kawaida!!
Bwana ametoa, Bwana ametwaaa
Sio kazi yako hiyo sikuUnajua napenda kula kucha, sasa ukinifunga itakuwaje☹️?
Waacha😂Sio kazi yako hiyo siku
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Huyo mtunza hazina wa FINGER LADIES sina wasi naye, atakuonyesha chocho zote Za daslama 😂😂
Nitaku FaceTime nikiwa shamba na jembe begani mrembo ili uamini niko chato😉😉🤣 Lamony akiongea kitu kina ukweli kwa asilimia zake
Kiongozi wa watoto mko na tabia za ajabu na ndio mnawafundisha huko?🤣🤣🤣🤣🤣 viwawa
I'm out 🤣🙌🤣🙌Huyo mtunza hazina wa FINGER LADIES sina wasi naye, atakuonyesha chocho zote Za daslama 😂😂
darslum nimefika mara moja tu mimi@mshamba_hachekwi wa mjini