Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,749
Reaction score
7,857
Habari!

Wanawake, hivi mwanaume insecured mnamtambuaje? Nimeuliza kwa sababu mara nyingi mnapenda sana nice guys, ila baadaye mnawang'ong'a.

Mfano mmoja kuna mtu alileta uzi humu, akisema kuna wanawake walikuwa wanamteta mwanaume aliyekuwa akijifanya mzee wa kutabasamu muda wote.

Sasa swali kwenu, mnamtambuaje mwanaume insecured?

Mkishamtambua, mnachukua hatua gani?
 
Wanawake mnaitwa huku
 
Back
Top Bottom