Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

Kwa kifupi hana content..

Na mwanaume akikosa content anaboa.. ndio wale wa niambie, umekula mchana? Unafanyaje sahivi? Ushatoka kazini?
Khaa!!!
Depal ndio maana hujibu message zangu kumbe wewe ndio wale madem hata Salam hutaki tukija pm yako Salam ianze na muamala sio?
 
Back
Top Bottom