Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

Kumradhi mkuu… salamu gani sijajibu?[emoji23][emoji23]
Huko nyuma niliwahi kuku pm sana lkn hujawahi kujibu pm zangu, nilikuwa nakupenda na kuku admire sana lkn mwisho nikakata tamaa Leo ndio nimejua Kwa nini ulikuwa hujibu pm zangu, bado nakupenda lkn[emoji7][emoji7][emoji7]
 
Wanawake wanajifanya hawapendi wanaume wapole lakini siku akiitunuku kwa meni mpole utasikia wanawasifu mwanaume mpole akikusimamia nyuma hashuki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapolee huwa Varuvaru zao wanaweka kunako 6×6 kwa mzagamuo.

Hadi unajiuliza ndo yeye huyuu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume anashika simu yangu
Namuona hajiamini
😂😂 sa kwanini utake kuchungulia simu yangu?
Matendo tu na namna nabehave kama nakucheat, nimewapanga si utanotice?
huo ni wivu wa kawaida tu ambao wanaume huwa tunakua nao
 
daaa wanawake hamuelewek mnataka nn aise?
Kwa kifupi hana content..

Na mwanaume akikosa content anaboa.. ndio wale wa niambie, umekula mchana? Unafanyaje sahivi? Ushatoka kazini?
Khaa!!!
 
Huko nyuma niliwahi kuku pm sana lkn hujawahi kujibu pm zangu, nilikuwa nakupenda na kuku admire sana lkn mwisho nikakata tamaa Leo ndio nimejua Kwa nini ulikuwa hujibu pm zangu, bado nakupenda lkn[emoji7][emoji7][emoji7]
Simp...Simp.. Simp..
 
Kwa kifupi hana content..

Na mwanaume akikosa content anaboa.. ndio wale wa niambie, umekula mchana? Unafanyaje sahivi? Ushatoka kazini?
Khaa!!!
Kwanini utegemee mwanaume tu ndiye awe mtu wa content kwani wewe usiwe na content pia.
 
Mwanaume anashika simu yangu
Namuona hajiamini
[emoji23][emoji23] sa kwanini utake kuchungulia simu yangu?
Matendo tu na namna nabehave kama nakucheat, nimewapanga si utanotice?

Ummm, ukimwi na hepatitis B havina dawa
 
Huko nyuma niliwahi kuku pm sana lkn hujawahi kujibu pm zangu, nilikuwa nakupenda na kuku admire sana lkn mwisho nikakata tamaa Leo ndio nimejua Kwa nini ulikuwa hujibu pm zangu, bado nakupenda lkn[emoji7][emoji7][emoji7]
Mhh hili jina lako ndio kwanza naliona bhana… ahsante kwa mapendo, nakupenda pia 😘
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm naweza hata shea reels
Then narise mada from that reel.

Sasa nikukute nakushea reel napo ushindwe kuidadavua? Nakimbiaaa speed ya Hussein Bolt

Nikiishiwa stori narise hata kaugomvi
Ili mradi heka heka tu
Penzi halitakiwi kupoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom