Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

🤣🤣🤣🤣🤣 mm naweza hata shea reels
Then narise mada from that reel.

Sasa nikukute nakushea reel napo ushindwe kuidadavua? Nakimbiaaa speed ya Hussein Bolt

Nikiishiwa stori narise hata kaugomvi
Ili mradi heka heka tu
Penzi halitakiwi kupoa
😂😂😂😂
Ahahaha mademu ninyi mnajijua wenyewe, wifi ako ananiambia naona umeamua kuokoka hujanywa bia siku nyingi, na kipindi nakula bia almost everyday alikuwa analalamika, nimemwangalia nikajisemea kimoyoni haya bana….
 
Back
Top Bottom