Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,968
- 210,380
We broo shindwaaaMadude yasiyofundwa
Dude mwenyewe…
Fatilia comments zote ukimaliza ndio ucomment, sio unacomment juu juu pasipo kuelewa mjadala mzima.
We broo shindwaaaMadude yasiyofundwa
Asante sana dada yangu. Wewe ni mkweli na umesema kweli na hapo hapo, msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.mwanaume mwenye pesa hata akiongea kwa simu anajulikana...hata ngozi mbona inaongeaga!hata akikutxt tu unajua huyu zimetimia...
🤣🤣🤣🤣 Wanawake wa dar tunasimangwa sana’a sijui tumewakosea nini watu wa mikoaniWee kunguruu huwa unawaza nn kwaniii? Khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
in Magufuli voice🤣mpenzi wa Mungu
Hahahahah😂😂😂😂huyu bado ni under 20 bwana..nimemwelewa...kuna watu hata saloon hadi uombe ruhusa...afu makusudically anakukatalia...🚮
Ohoooooh, R.I.P daslamu niggas😎Sisi wanawake wa daslama tumegoma kuchangia mpk watuombe radhi kwann walitusema eti, “Tunawapiga finger wanaume zetu muda wa kupenzika” 🤣🤣🤣
Jamani 😧😧Madude yasiyofundwa
Bora umesema maana nlikua namwandikia waraka hapa😂😂We broo shindwaaa
Dude mwenyewe…
Fatilia comments zote ukimaliza ndio ucomment, sio unacomment juu juu pasipo kuelewa mjadala mzima.
mzabzab Mzee wa kupambaniaOhoooooh, R.I.P daslamu niggas😎
Heri nifie kijijini maana huko hakufai.
🤣
Ndo hao wanaitwa 'nice guys'?😂
Hii karnee hii tuliko akiniambia hivyo naona kabisa anataka kuja kuua watoto na njaa 😂🤣🤣🤣depal nimecheka..?ndo wale wale una line ya tigo nikupigie??🤣🤣🚮
hafaiHii karnee hii tuliko akiniambia hivyo naona kabisa anataka kuja kuua watoto na njaa 😂🤣🤣🤣
Eeh jamani kwani kuna kosa gani kumtia dole mpenzio wakati amezamisha dude kunako mbususuSisi wanawake wa daslama tumegoma kuchangia mpk watuombe radhi kwann walitusema eti, “Tunawapiga finger wanaume zetu muda wa kupenzika” 🤣🤣🤣
Ila wanawake, anyways kuna watu hawana stori kabisa yan ukisema mrise story anaanza kukusimulia jinsi gaza maroketi yanavyoshuka, hatariiTupige story
Arise mada
Nirise mada
Tujadiliane
Sasa umekula, unafanyaje mkuu kweli? Kwani sijui sahivi ni mchana tunatakiwa kula? Cha mahaba zaidi nikukumbushe tu boo its time for lunch, sio asbh mpk usiku nina kazi ya kuuliza sahivi unafanyaje.
Bora umesema maana nlikua namwandikia waraka hapa😂😂
ref:Bahati BukukuNingeacha kumbe akutanane na waraka wa amani uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa enzi hizo
🤣🤣🤣🤣🤣 mm naweza hata shea reelsIla wanawake, anyways kuna watu hawana stori kabisa yan ukisema mrise story anaanza kukusimulia jinsi gaza maroketi yanavyoshuka, hatarii
Si ndiyo la mama 🤣🤣🤣ref:Bahati Bukuku
Ndo kilichokua kinafuata🤣🤣🤣🙌Ningeacha kumbe akutanane na waraka wa amani uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa enzi hizo