Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

Basi mimi ndo naenjoy nikiwa na mtu wa hivyo 😃😃🤭
Kiukweli mwanaume hatakiwi kupoa kama uji wa mtoto.

Haishi tu kwenye ile manhood yake.. babe sitaki hiki, sitaki kile. Mbona yule memba anakuchekea sana pls stop. Labda hizo.

Ila mambo za ubabe hamna kwenda mjini mpk mwezi ujao hehee duh 😂😂😂😂
 
Kiukweli mwanaume atakuwa kupoa kama uji wa mtoto.

Haishi tu kwenye ile manhood yake.. babe sitaki hiki, sitaki kile. Mbona yule memba anakuchekea sana pls stop. Labda hizo.

Ila mambo za ubabe hamna kwenda mjini mpk mwezi ujao hehee duh 😂😂😂😂
yes mwanaume alopoa anakinaisha...ila sio pigo hizo..never...
 
Anaweza kukulaghai
Muda huo huba limekolea na unapenda kupokea maelekezo mfululu, unaquit.

Mwamba sasa anaaza kuwa anadeposit laki laki
😂😂 utajutaa
Kwenye kazi hapo sasa🫡🫡... asiniambie niache kazi 😃😃😃, au kama naacha awe anadeposit kila mwezi account yangu iwe full😂😂🤭
 
Back
Top Bottom