Duuh au kapigwa kinyungu kipapai niniHajasema kila demu, shida ni hata huyo demu mmoja hana yaani jamaa ana gundu sio la nchi hii![]()

Yaani umepanga halafu unasema una maisha mazuri? Hapo ndio tatizo linapoanzia.Habari za humu wadau,
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani, najaribu kuwatongoza napata na number mara baada ya muda wengine wanakublock with no reason, wengine simu zao hazipatikani hadi leo yaani ili mradi tu nipate shida.
Sasa kuna siku nimeenda mitaa ya sinza kununua wale wadudu (japo sipendi hii tabia) nikapata huduma basi nikachukua namba ya huyo mdada, nikaanza kuchati nae pia anaanza kuniringia. Hadi nimechoka maana hadi malaya ananiringia, wakati ukiniona nina mwonekano mzuri, maisha mazuri halafu naringiwa.
Je, ni mkosi au vipi maana mara ooh wanaume tupo wachache, mara ooh kuwa na pesa utakula mademu mpaka basi ila kwangu sio hivyo.
Nawasilisha.
Nakazia!Mademu hawataki wanaume washamba, rekebisha hilo tu hata bure wanakupa, acha swaga za kishamba hawazimiki nazo.
Umemshirikisha Mwamposa!?Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani,
🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe we ni lukaku wa dar nikajua lukaku wa mbele mcheza mpira....
Usikute huwa unazungumza mwenyewe ukiwa na hao watu ndomana wanakukimbia..kuna tatizo unaloSina dharau wala sifa,ni mtu very humble…Yaani hata nilivyokuwa mdogo nikiwa na nguo mpya naona jau kuivaa kisa watu wasinione na nguo mpya so Mimi sio mtu wa show off
Kweli huyu jamaa ni mshamba ni kama uende bar upate barmaid uanze swaga za l love you lazima akublockSasa hao malaya unataka uchatt nao nini ?![]()
Dar huyu mshamba anaanza kutongoza malayaNimesoma ulichoandika nikajumuisha na watu walivyocomment nimejifunza ww ni mshamba huna hilo gari wala hulipwi 1m+ sasa cha kufanya ww piga nyeto ukiona na mkono unakataa basi kanunue kamba y katani ni 2000 tafuta stuli nenda ufukweni mwa baharini kwenye msitu wa mikoko kajitundike ujinyonge mpka ufe huna faida. yaani unatongoza malaya wakati ni swala la kutumia hela yako alaf unatidanganya ww sio mshamba oya kwan unatuonaje wan jf
Utakuwa una sura kama ya Lukaku,
Vaa airforce one na kikaptula na tshirt kubwa hivii
Mkuu mpe maelekezo swagga za kishamba kama zipi aanze kula mizigo na wautumie vizuri mshahara wake...Mademu hawataki wanaume washamba, rekebisha hilo tu hata bure wanakupa, acha swaga za kishamba hawazimiki nazo.