Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,479
😂😂😂😂Huna tofauti na mimi asee. Nahisi ubavu wangu Mungu aliunywa supu na si kitengeneza my better half. Sijui nafeli wapi
😂😂😂😂Huna tofauti na mimi asee. Nahisi ubavu wangu Mungu aliunywa supu na si kitengeneza my better half. Sijui nafeli wapi
Na tunapenda watu wenye muda 😄TATIZO ILI HAPA. UNAJIFANYA HAUNA MUDA.
🤣🤣🤣🤣Huna tofauti na mimi asee. Nahisi ubavu wangu Mungu aliunywa supu na si kitengeneza my better half. Sijui nafeli wapi
Jaman mm huyu 😂Mbona sasa mimi hunitaki 🤷
Usingeweka hicho kipande cha mwisho ningesema unatania🤣🤣🤣🤣Mkuu ukiingia kweny mahusiano usiongee sana kua mpenzi mtazamaji sana pale unapotakiwa kuongea ongea na sio sana usizidishe. . Pia jitahid uwe unapendeza na unyunyu uwe wa kutosha hapo utakula hadi wasiolika...pia punguza ubahili aiseh
Alafu bwana wanawake wanamitako na zile nguo zao za kujog ni kuhamasisha tuu uwaombe tigoJiunge na kundi la jogging hapo mtaani kwenu utawakula sana.
Sasa time is money, nyie mwataka money na muda hilo haliwezekani.Na tunapenda watu wenye muda 😄
Si hamtaki single maza nyie subir ubavu wenu 😂😂Huyo huyo😢
Inategemea sio kilamtu kaweka pesa kipaumbele kwanza ela zenyew hamna 😂Sasa time is money, nyie mwataka money na muda hilo haliwezekani.
😂😂 Lazima ningekiwekaUsingeweka hicho kipande cha mwisho ningesema unatania🤣🤣🤣🤣
🚶🚶mtu akisoma vzuri ulichoandika hapa anapata jibu huna akili ndio maana hata malaya ambao hawachagui ila wanakuona Useless Hopeless... inshort hata ukipata mke atakuona the same na vijana mtaan wasio hata na maisha watakugongea
Mapenzi ya anoga hela ikiwepo bwana. Sio bby inapita wiki nzima hujamletea kajizawadi😂😂 Lazima ningekiweka
Ukitaja neno ubahili wananuna😂😂 Lazima ningekiweka
Kama. Hatuna hela basi mtupe mbususu bureInategemea sio kilamtu kaweka pesa kipaumbele kwanza ela zenyew hamna 😂
Sasa unawezaje kumpa kilamtu Bure ukiona hivo kapoint mpenz wake anampa hawez kupa na Wew na Wew Tafuta wako mnogeshe upeweKama. Hatuna hela basi mtupe mbususu bure
Utakuwa na jinni MAHABA WEWe Mimi Sina huo mshahara nafanya kazi nalipwa buku tano kwa siku na nna demu mkali sometimes nawakimbia coz ya financial status wako kibao SI LAZIMA uwe na hela inaonekana unajiskia Sana na uto tuela twako🤣,au SIO mzuri kwenye kuwakaza vizuri,piga MASHINE acha utoto🤣🏃Habari za humu wadau,
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani, najaribu kuwatongoza napata na number mara baada ya muda wengine wanakublock with no reason, wengine simu zao hazipatikani hadi leo yaani ili mradi tu nipate shida.
Sasa kuna siku nimeenda mitaa ya sinza kununua wale wadudu (japo sipendi hii tabia) nikapata huduma basi nikachukua namba ya huyo mdada, nikaanza kuchati nae pia anaanza kuniringia. Hadi nimechoka maana hadi malaya ananiringia, wakati ukiniona nina mwonekano mzuri, maisha mazuri halafu naringiwa.
Je, ni mkosi au vipi maana mara ooh wanaume tupo wachache, mara ooh kuwa na pesa utakula mademu mpaka basi ila kwangu sio hivyo.
Nawasilisha.