Wanawake hawanipendi

Wanawake hawanipendi

Mwanamke sio kwamba hapendi, anapenda Ila hahesabiki kuwa anapenda Kwa sababu yeye ni mpoekaji na sio mtoaji.
Upendo upo kwenye kutoa zaidi kuliko kupokea.

Kihisia anapenda
Ila kisheria hapaswi kupenda
Wanawake wNapenda watoto wao tuu.
 
Wanawake wNapenda watoto wao tuu.

Kihisia na kisheria wanapenda watoto wao

Kihisia wanapenda mwanaume Fulani Ila kisheria zinawazuia Kupenda mwanaume/kumhudumia.
Na endapo atafanya hivyo itakuwa ni aibu kwake au Kwa mwanaume
 
Sina dharau wala sifa,ni mtu very humble…Yaani hata nilivyokuwa mdogo nikiwa na nguo mpya naona jau kuivaa kisa watu wasinione na nguo mpya so Mimi sio mtu wa show off
Kuna kitu uko tofauti jaribu kufuatilia hilo. Kama vipi angalizia kwa wajanja wajanja usome codes
 
Mwangu itakuwa una shida mahala ..mbona wengine tunagombaniwa na hatuna magari? Itakuwa unanuka mdomo labda
 
Can this be true? Kuna kipindi Nipo mdogo bibi yangu alinipiga na kanga wakati kimila kijana wa kiume akipigwa na kanga ni kwamba hata oa….can this relates to what I am going through ?
Haihusiani na hiyo, ila kuna kitu kikubwa hapo, ndio maana nasisitiza fuatilia hili, kiundani, kuna vitu vingi sana nilitaka kufafanua ila tatizo muda , nikipata muda nitafafanua na kutoa visa halisi ila itapendeza na wewe ukipata jibu sahihi la.kuulizia huko nilipokushauri. Ila na sisitiza unaweza kuouuza ila utakumbuka ushauri wangu au maelezo yangu haya. Naomba uweke kwenye record yako. Na pia nasisiti,a mtu akikushauri uende kwa mganga usikubali, ndipo huko utakapo fungamanishwa na maagano usiyoyajua yasiyokuhusu, na mtu mwingine aliyeimgia ndio yanaaenda kwwnye kizazi kingine. Nitafanua hapa kwa video ya shuhuda panapo majaaliwa.
 
Labda huwakuni vizuri. Tafuta kungwi akuelekeze namna ya kuwakula vizuri hao wadudu watakutafuta wenyewe kila siku.
 
Haihusiani na hiyo, ila kuna kitu kikubwa hapo, ndio maana nasisitiza fuatilia hili, kiundani, kuna vitu vingi sana nilitaka kufafanua ila tatizo muda , nikipata muda nitafafanua na kutoa visa halisi ila itapendeza na wewe ukipata jibu sahihi la.kuulizia huko nilipokushauri. Ila na sisitiza unaweza kuouuza ila utakumbuka ushauri wangu au maelezo yangu haya. Naomba uweke kwenye record yako. Na pia nasisiti,a mtu akikushauri uende kwa mganga usikubali, ndipo huko utakapo fungamanishwa na maagano usiyoyajua yasiyokuhusu, na mtu mwingine aliyeimgia ndio yanaaenda kwwnye kizazi kingine. Nitafanua hapa kwa video ya shuhuda panapo majaaliwa.

Naomba ufafanue plz ukipata muda
 
Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani,
Pole mkuu! Naona shida zaidi iko upande wako kuna namna flani ama unafake maisha au unarahisishs sana mambo kuliko uhalisia!

Unapodate na wanawake usiwe na haraka ya kuzungumzia kumuoa wakati hata hamjuani, bali mwache yeye ndo aanze kukuulizia susla la kumuoa baada ya kushawishika na hali yako! Si wote huwa wanataka kuolewa leo au kesho lakini treatment utakazompa ndizo zitamfanya ashawishike kutaka uwe wake wa maisha!

Pia kuwa vizuri kimaisha huwa ni jambo moja , na kupata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati ni jambo jingine! Tena kuwa makini sana na mwanamke anaekupenda baada ya kuona umenunua gari au nyumba wengi wa aina hiyo sio watakatifu bali ni WATAKAVITU!
 
Back
Top Bottom