Wanawake hawanipendi

Wanawake hawanipendi

Wale wanakufundisha wao, kuna kijamaa nakumbuka kilikuwa kinambinuwa Wema Sepetu yupo ikulu kinafanana na Pimbi lakini Tive akee akafanikisha deal, Wema alikuwa anafokowa mishiko tu, ni moja ya vitu Wema akifeli ajilaumu mwenyewe hakuweza kuutumia wakati wake vizuri.
Yaani unataka mwenzio akachukue bongo movie slay queen? Wale ni pesa tu
 
Zingatia ushauri huu!

Pia wanawake hawapendi mwanaume mwenye tabia za Kike. Wanaofanana nao kitabia. Kumbuka wenyewe hawapendani Kwa tabia zao.

Miongoni mwa tabia hizo
1. Kutokujiamini
2. Kuringa
3. Kususa Kama jinga
4. Kupenda kubembelezwa Kama toto la kike.
5. Kushindwa kujieleza/kutetea hoja zako.
6. Kufikiri Kwa vile umevaa vizuri au unapesa ndio maana utamvutia.
Mwanamke havutiwi na kazi au pesa zako kimapenzi, isipokuwa anavutiwa na haiba yako kama Mwanaume.
Pesa zitamvuta akiwa na njaa au shida tuu.

Hivyo kazi yako nzuri au Gari lako halina mahusiano yoyote na hao viumbe.

Ili uwe na wanawake uzoefu nao. Wanawake wanapenda Wanaume wenye uzoefu nao.
Ndio maana wanataka wanaume wakubwa kuwazidi lakini sio Hilo wanalomaanisha isipokuwa wanataka wanaume wanaoweza kuwa-control, kuwafanya wawe wanawake.

Kama huna demu ni ngumu kupata Demu.
Wanawake ni Kama pesa, bila kuwa na pesa huwezi kuipata Pesa
Aisee jamaa anatupiga fix kinoma. Eti wanawake wanavutiwa na haiba yako na sio pesa zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ebu Kelsea njoo umwambie jamaa raha ya kidate na kidume ugly but kina pesa😂😂😂😂
 
Hiyo nenda kaulize kwa Babu au Bibi mzaa ( Baba au Mama), tumia trick yoyote unayoweza, kisha utaleta jibu
Ila usiogope kusikia kusikia tatizo lolote alilolifanya ....linakuandama wewe.na mwisho kama ni swala huko nyuma walifanya maagano na mizimu, fanya mpango mapema kujinasua, hutanielewa kwa sasa ila utanielewa baadaye na kujinasua, kuna mawili, uende kanisani uombewe au utambike , , ,

Can this be true? Kuna kipindi Nipo mdogo bibi yangu alinipiga na kanga wakati kimila kijana wa kiume akipigwa na kanga ni kwamba hata oa….can this relates to what I am going through ?
 
Sasa kama pesa inakuwezesha kukojoleaa pazuri kwa nini usitumie
Sikatai. Ila huyu mwenzetu hapati mwanamke yoyote yaani na akipata mara moja wanadisapper.
Anataka kujua tatizo ni nini
 
Aisee jamaa anatupiga fix kinoma. Eti wanawake wanavutiwa na haiba yako na sio pesa zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ebu Kelsea njoo umwambie jamaa raha ya kidate na kidume ugly but kina pesa😂😂😂😂

Siku ukiwa na pesa utaelewa vile nasema.

Mwanamke akikubali kisa pesa ujue sio yeye aliyekukubali Ila shida na matatizo yake ndio yamekukubali ili yaishe, subiri yakiisha ndio utaelewa wanawake hawahitaji Pesa.
 
Sikatai. Ila huyu mwenzetu hapati mwanamke yoyote yaani na akipata mara moja wanadisapper.
Anataka kujua tatizo ni nini
Huyu anakataliwa hadi na malaya. Sii balaa....kalogwa huyu
 
Siku ukiwa na pesa utaelewa vile nasema.

Mwanamke akikubali kisa pesa ujue sio yeye aliyekukubali Ila shida na matatizo yake ndio yamekukubali ili yaishe, subiri yakiisha ndio utaelewa wanawake hawahitaji Pesa.
Mhm sasa shida za mwanadamu zinaishaga wewe... Wanawake wenyewe walivyojaa tamaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asee kweli tunatofautiana hapa Mimi naangalia namna gani niipunguze wanwake nibaki nao hata 2 tu.
Juzi kati nimepiga chini 2 ,siku 2 mbele nimisha chukua namba za warembo 2 yani nahamisha maji ziwani naweka mtoni.
 
Sasa mtoa mada anazungumzia kupendwa sio kutamaniwa.

Pesa huvuta Wanawake wakutamani na sio wakupende.
Tofautisha hayo mambo mawili
Wee wai mwanamke umeambia anapenda? Mwanamke anachotakiwankufanya ni kuheshimu tuu. Kupenda tunapenda sie wanaume.
 
Mwanamke sio kwamba hapendi, anapenda Ila hahesabiki kuwa anapenda Kwa sababu yeye ni mpoekaji na sio mtoaji.
Upendo upo kwenye kutoa zaidi kuliko kupokea.

Kihisia anapenda
Ila kisheria hapaswi kupenda
 
Back
Top Bottom