Wanawake hawanipendi

Wanawake hawanipendi

Mkuu ukiingia kweny mahusiano usiongee sana kua mpenzi mtazamaji sana pale unapotakiwa kuongea ongea na sio sana usizidishe. . Pia jitahid uwe unapendeza na unyunyu uwe wa kutosha hapo utakula hadi wasiolika...pia punguza ubahili aiseh
Asa hayo yote ya nini? Hela ninazo shida ipo wapi? Muambie aache ushamba. Atumie hela, hela inamaliza kila kitu
 
Utakuwa na jinni MAHABA WEWe Mimi Sina huo mshahara nafanya kazi nalipwa buku tano kwa siku na nna demu mkali sometimes nawakimbia coz ya financial status wako kibao SI LAZIMA uwe na hela inaonekana unajiskia Sana na uto tuela twako,au SIO mzuri kwenye kuwakaza vizuri,piga MASHINE acha utoto
Tutajuaje kama ni mkali?!
 
Hata kama una hela ila kama unavaa surual za vitambaa plus raba kubwaaa na mashat kama gift papers hakuna ke atakusogelea. Jikague tena na tena.
Suruali Moja tunaingia me na ww...... Suruali utadhani gunia la mashineni....😂😂😂Ila we dada ww
 
Tumuunganishe Kwa Stive Nyerere ampe totoz moja la Bongo movie akili imkae vizuri, hajawahi kunyonywa koni huyu akili bado zimeganda.
Watu mnauza roho zenu duh! Mnaweka rehani maisha yenu? Hivi sehemu za siri unampaje mtu uhuru wa kuzisogezea domo lake?
 
Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani, najaribu kuwatongoza napata na number mara baada ya muda wengine wanakublock with no reason, wengine simu zao hazipatikani hadi leo yaani ili mradi tu nipate shida.

Sasa kuna siku nimeenda mitaa ya sinza kununua wale wadudu (japo sipendi hii tabia) nikapata huduma basi nikachukua namba ya huyo mdada, nikaanza kuchati nae pia anaanza kuniringia. Hadi nimechoka maana hadi malaya ananiringia, wakati ukiniona nina mwonekano mzuri, maisha mazuri halafu naringiwa.

Je, ni mkosi au vipi maana mara ooh wanaume tupo wachache, mara ooh kuwa na pesa utakula mademu mpaka basi ila kwangu sio hivyo.

Nawasilisha.
Vijana mnateswa na mapenzi wakati wengine wanazidi kula kimasihara
 
Suruali Moja tunaingia me na ww...... Suruali utadhani gunia la mashineni....😂😂😂Ila we dada ww
Washamba kama huyu Mnyiramba wakioneshwa Jiji nao ujifanya wajuwaji.
 

Attachments

  • FB_IMG_1662065452879.jpg
    FB_IMG_1662065452879.jpg
    50.1 KB · Views: 18
Back
Top Bottom