Wanawake walivyo wengi hivi tena una kipato bado unahangaika pole sana.
Uahauri PUNGUZA UBAHILI wanawake wengi cku hizi hawapendi ubahili na maneno mengi.
Ukikupa No. Muombe cku moja umtoe OUT hata kabla ya kumtongoza hata akija na friend yake poa.
wapeleke eneo kiwango wape pombe kama wanakunywa na msosi safi.
Baada ya hapo wape hata rafiki yake mpe 20 ya usafr unayemtarget mpe 30.
Baada ya hapo kesho yake waaulize tu mlifika salama.
Kaa siku 3 bila kuonesha shobo yoyote tena ukiweza kaa kimya.
Cku 4 mpigie mpe salam mwambie umemmis, Weekend inayofuatia mwenyewe atakupa kitumbua bila hata kutumia nguvu.
LAKINI KAMA UNAJIELEZA SANA SANA KWA SMS WANAKUONA MSHAMBA TU.