Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
- Thread starter
- #21
Fanya mambo ya msingi achana na wanawake.
Wanawake ni muhimu ndugu
Fanya mambo ya msingi achana na wanawake.
Kweli huyu jamaa ana mkosi ana gundu asee. Hadi malaya wanamringia mwanangu daaah!Hatari mwanawane...huyu jamaa ana gundu....inakuwaje una gari ukose kula mbususu na mshahara wa more than 1million
Hadi unakula wa barabarani ndio sample ya mke unayemtaka?
Basi rejea chat zote unazochat nao mpaka kupelekea kublokiwa utaona tatizo lilipo.Yaani hata sipo hivyo….Kuna mwingine mnachat vzr ghafla tu anapotea hapatikani
Kweli huyu jamaa ana mkosi ana gundu asee. Hadi malaya wanamringia mwanangu daaah!
Wewe sidhani hata kama utaoa sio kwa mkosi huo ulio naoYaani hata sipo hivyo….Kuna mwingine mnachat vzr ghafla tu anapotea hapatikani
Basi rejea chat zote unazochat nao mpaka kupelekea kublokiwa utaona tatizo lilipo.
Hauko vizuri kwa lolote, tatizo ni ushamba hapo wala sio kingine. Ushamba unaweza bebwa kwenye misifa, dharau au namna nyingine ila ni ushamba ndani yake.Bro,kwenye swagger tu Nipo vzr….
Tafuta mganga mzee hapa jf onana na bwana Mshana Jr atakusaidiaNdo hapo Sasa yaani hadi malaya anakuringia just imagine
Huna tofauti na mimi asee. Nahisi ubavu wangu Mungu aliunywa supu na si kitengeneza my better half. Sijui nafeli wapi
Hauko vizuri kwa lolote, tatizo ni ushamba hapo wala sio kingine. Ushamba unaweza bebwa kwenye misifa, dharau au namna nyingine ila ni ushamba ndani yake.
Ule ushamba wa kutojua ungefanya uonewe huruma uchunwe, sasa sio huo
Inaonekana ulinunua gari kutongozea wakati wengine walioa graduate bila hata kiwanja. Swaga huna!!!!
Jaribu kuwaacha waendeleze wao story. Kwamba utakapochukua namba, wasiliana nae mara moja mbili lakini ushaweka wazi nia yako kwao halafu potezea.Sio wote ni block,wengine wanadisappear tu
Kwani wee upo wapi mzeya? Kama upo dar njoo hapa samaki samaki masaki ucheki totozMmmh mkuu sio ndo kujibebesha roho za majini hizo
Mkuu kaoge maji ya bahari halafu kila siku face wanamke 10
Pisi kali 5 na sura za baba 5
Halafu uje utupe mrejesho mbona dada zetu Mungu kawa tunuku moyo wa huruma mkuu
Kwani wee upo wapi mzeya? Kama upo dar njoo hapa samaki samaki masaki ucheki totoz