Wanawake hawanipendi

Wanawake hawanipendi

Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani, najaribu kuwatongoza napata na number mara baada ya muda wengine wanakublock with no reason, wengine simu zao hazipatikani hadi leo yaani ili mradi tu nipate shida.

Sasa kuna siku nimeenda mitaa ya sinza kununua wale wadudu (japo sipendi hii tabia) nikapata huduma basi nikachukua namba ya huyo mdada, nikaanza kuchati nae pia anaanza kuniringia. Hadi nimechoka maana hadi malaya ananiringia, wakati ukiniona nina mwonekano mzuri, maisha mazuri halafu naringiwa.

Je, ni mkosi au vipi maana mara ooh wanaume tupo wachache, mara ooh kuwa na pesa utakula mademu mpaka basi ila kwangu sio hivyo.

Nawasilisha.
Kukataliwa mbona kawaida tu. Sio kila mdada lazima umpate
 
Sifa za mtu mshamba ni zipi niweze kufanya analysis
Mshamba ni yule aliyepata kazi kupitia shemeji yake. Mara baada ya kuanza kazi tu na ki mshahara cha 1 m.. Kenda kukopa gari isiyomuingizia chochote zaidi ya kumnyonya mafuta, mara kaenda kupanga upande mzima kwa tsh laki tatu kwa mwezi halafu anase
 
mkuuuu polee sana unatatizo la kisaikolojia na mimi ndo nimesomea taaluma,hiyo ughaibuni krb in box
 
Back
Top Bottom