Sasa mzeya kwa dar sii unaingia badoo tinder unaopoa warembo unaburudika naoLeo nawahi kulala kesho kazini mapema
Mkuu ukiingia kweny mahusiano usiongee sana kua mpenzi mtazamaji sana pale unapotakiwa kuongea ongea na sio sana usizidishe. . Pia jitahid uwe unapendeza na unyunyu uwe wa kutosha hapo utakula hadi wasiolika...pia punguza ubahili aisehHabari za humu wadau,
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+,
š¤£š¤£š¤£š¤£
TATIZO ILI HAPA. UNAJIFANYA HAUNA MUDA.Tatizo pia muda,yaani natoka nyumbani asubuhi narudi Usiku so muda wa kufukuzia pisi unakuwa mdogo
Mkuu ukiingia kweny mahusiano usiongee sana kua mpenzi mtazamaji sana pale unapotakiwa kuongea ongea na sio sana usizidishe. . Pia jitahid uwe unapendeza na unyunyu uwe wa kutosha hapo utakula hadi wasiolika...pia punguza ubahili aiseh
Mkuu tutajuaje kama kweli unapendeza ww unaweza hisi hivo alafu kumbe unavaa kama mjaruo tuma picha ukiwa umevunja kabati tuoneKwenye kupendeza sio kweli napendeza
Picha muhimu sanaMkuu tutajuaje kama kweli unapendeza ww unaweza hisi hivo alafu kumbe unavaa kama mjaruo tuma picha ukiwa umevunja kabati tuone



š¤£š¤£š¤£š¤£unavaa kama mjaruo
Mkuu tutajuaje kama kweli unapendeza ww unaweza hisi hivo alafu kumbe unavaa kama mjaruo tuma picha ukiwa umevunja kabati tuone
NakaziaPicha muhimu sana![]()
Weka picha nusu ficha sura wadada wakupe marks.Hapo ni kipengele kidogo
Tutakusaidua vip.... maan lazima tupite nyanja zoteHapo ni kipengele kidogo
Ulishawahi kuonga?Leo nawahi kulala kesho kazini mapema