Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,927
- 183,359
Hahahaaaa!! Kamba za kizamaaani kweli kweli.Anakuja na bit la kukudolishia kwanza ye ni don ana hela, ana mbuzi bla bla bla baade anakwambia umkope kachelewa kwenda bank.... kuliko kudangiwa na vijeba heri uniite mie bana uninyweshe teh