Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,935
- 183,377
Na kujitia wanatongozwa sana tumbafuuuu!! Utongozwe umekuwa pesa wewe. Sifa za kijinga kumbe looser tu.Ahaa ya kwenu chumvi yakiandikwa ya kwetu ni kweli sio au mpaka tuweke pm hapa
Na kujitia wanatongozwa sana tumbafuuuu!! Utongozwe umekuwa pesa wewe. Sifa za kijinga kumbe looser tu.Ahaa ya kwenu chumvi yakiandikwa ya kwetu ni kweli sio au mpaka tuweke pm hapa
Hahahah tatizo na nyie kipindi kile mlikua mnachuja watu mnooo yaani mkitaka first class tu!! Sasa nimestuka kutoka kukataa vitz na IST hadi kukopwaaa balaa hili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yani wanaume mmeikimbia jf mmetuachia wadangaji.... Vibaya hivo
Midomo ASura 0 pesa 0 muonekano 0
Mpaka unajiuliza huyu yuko jf kufuatilia wanawake wa jf!! Ukishawajua alafu ikusaidie nini. Dume zima huna kazi kazi kufuatilia wanawake unatafuta kuolewa au!!!Wakunyumba acha tu kuna mkaka huwa namuheshimu aisee nahisi asilimia 50 ya wanawake wa humu anawajua walivyo na atafanya juu chini lazima akujue au apate no yako na alivyo anavyokuja huwezi mdhania acha tu niishie hapa mwisho wa siku asimuonyeshe mtu picha yangu halaf huyo mtu najuana naye anamwambia hivi unamjua shunie ndio huyo masikini kumbe mtu wa watu ananijua ila nilimpa yake nilimwambia sio vizuri hivi kwa mfano angekuwa hanijui ingekuwaje na pics ikisambaa kwingine thread itakuhusu jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Sasa hao wengine wanaojikuta first class wakopaji naoHahahah tatizo na nyie kipindi kile mlikua mnachuja watu mnooo yaani mkitaka first class tu!! Sasa nimestuka kutoka kukataa vitz na IST hadi kukopwaaa balaa hili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama watu vile, kumbeeee........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Halafu wakiwa huku sasa wanawake this wanawake that
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti wanatafuta kuolewa.Mpaka unajiuliza huyu yuko jf kufuatilia wanawake wa jf!! Ukishawajua alafu ikusaidie nini. Dume zima huna kazi kazi kufuatilia wanawake unatafuta kuolewa au!!!
TunatubuHahahah tatizo na nyie kipindi kile mlikua mnachuja watu mnooo yaani mkitaka first class tu!! Sasa nimestuka kutoka kukataa vitz na IST hadi kukopwaaa balaa hili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi dume zim unakaa unamjadili mke wa mwingine si upuuzi huo, kama hupendi si mwenzio anapenda ndio maana kamuoa!! Kutaka kupangiana maisha kama wanatulisha mafiii yao.Watakosaje cha kuongea kumbe nikibadili dp shunie mm nishajizoelea vinguo vifupi anamwambia hivi shunie huwa simuelewi na nguo zake ananielewa Mr wangu tu ndani inatosha sana jaman na hizo nguo mnunuaji ni yeye
Mkinibadilikia na mwanao nitamshtakia tu Mungu mimi na uzee wangu nimejitunza halaf asiniwowe akiii nitakufwa na nyinyiHuyu lazima akuoe wewe
Nami nikopeshe basi bibie, buku 70 tu nilichelewa bank, si wajua leo jpili bank zimefungwa, teh!Alilipa ila hajamaliza.
Hahahahahah maisha yanaenda kasi sana!! Humu tuliokua tukihonga Vitz na IST tulitemwa nyakati hizo sasa nimeshangaa hata wa kuhonga IST siku hizi hawapo tena wamebaki wadangaji!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Sasa hao wengine wanaojikuta first class wakopaji nao
Hahahahahah labda baada ya Magu maana tulistaafu na JK!!!Tunatubu
Yaliyobaki humu mengi ni mifano ya wanaume tu.Nauona uchungu wako binamu, pole kwa yote..... siku hizi umri umeenda yaani twaingia kwa kunusa humu..... duh nimesoma mwanzo mpaka mwisho nimecheka sana.....
Wanaume wa JF tulikua sie bwana, tunakutafutia hadi Kazi na hatukutangazi!!!
HahahaAhahahh bombadia mwewe sasa ulitaka akuletee ndio akukule au