Bado nasubiriNakutumia unikimbie sasa
Kwakweli tukomege aisee usikute picha zinasambazwa pm huko huyu ndio shunie kibonge kifupi cheusi kama kipipa ila kinaringaa kama kizuri kumbe hata kuringa huringi masikiniNdio tukomegeee sasa,kiherehere kwenda kuonana nao au kuwatumia picha,,,nakuambia ukiwaona wao sura zao na walivyo unamuachia Mungu cc @evelynsalt
We subiri tu nakutumiaBado nasubiri
Ee unakua na kidume humu halaf kinakuambia siwapendi kina dina sijui kina eve kumbe kuna vitu unafichwa ama anataka mfanye sirii ,,shogaa vizia pm ama anzisha uzi kua Daby ni wa kwangu kabisa. Uone wasipojitokeza jua angalau kuna heshimaKuna haja ya kuwa na mtandao wa wanawake humu, vinginevyo .....
AiseeKwakweli tukomege aisee usikute picha zinasambazwa pm huko huyu ndio shunie kibonge kifupi cheusi kama kipipa ila kinaringaa kama kizuri kumbe hata kuringa huringi masikini
Ah sasa chumvi hizi haiwezekani kuombwa hela na wanaume kiasi hiki!Ila inahuzunisha na wanaume wa humu walivyo na midomo jamani halafu mkienda pm mnaenda kukopa hela. Kuna mmoja juzi kanifuata nimkopeshe elfu 10
Sura ya kuwaringishia maadui unayo au(in deo kisandu voice) nawe tunamuachia MunguDah sina demu,sina rafiki wa kike niponipo tu!
What's wrong with meh!
Kumbe kuna mikopo ya bure upande wa pili!
Ndomana wachizi wangu wana maisha mazuri nowadays!
Thanks but NO,ni umama!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wanasambaza na picha zetu kumbe. Wakiwa wanatusema wanasindikizia na pichaKwakweli tukomege aisee usikute picha zinasambazwa pm huko huyu ndio shunie kibonge kifupi cheusi kama kipipa ila kinaringaa kama kizuri kumbe hata kuringa huringi masikini
Dina una roho mbaya ya kuumiza watu[emoji23] [emoji23]Kuna mkaka humu ana mademu sita,,mlio na wapenzi humu na mnaficha ficha jua mmepangwaa mnapishana kwenye nyumba za watu hamjijuii
Akwendreee na mi mbuzi yake[emoji23][emoji23][emoji23] subiri wewe mbuzi wapo mnadani anangoja bei
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila inahuzunisha na wanaume wa humu walivyo na midomo jamani halafu mkienda pm mnaenda kukopa hela. Kuna mmoja juzi kanifuata nimkopeshe elfu 10
Nimekuja mbio nikajua unaniumbua na mkopo wangu asee doh asante Yesu!!Ee unakua na kidume humu halaf kinakuambia siwapendi kina dina sijui kina eve kumbe kuna vitu unafichwa ama anataka mfanye sirii ,,shogaa vizia pm ama anzisha uzi kua Daby ni wa kwangu kabisa. Uone wasipojitokeza jua angalau kuna heshima
I swear.. mi nilikopwa kweli pm. Na siko peke yangu wengine pia wanalalamika kaka zetu mnawakopaaaa.. hawapendi wenzenu... nyie zenu mnakaa nazo zetu mnakaa nazo.Ah sasa chumvi hizi haiwezekani kuombwa hela na wanaume kiasi hiki!
Kuhusu sura tumuachie tu MunguNdio tukomegeee sasa,kiherehere kwenda kuonana nao au kuwatumia picha,,,nakuambia ukiwaona wao sura zao na walivyo unamuachia Mungu cc @evelynsalt
Veep tena ndio nipo hivyo mie na hiyo hela sijui kama nitatumiwa tenaAisee