Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Kuna katabia kamezuka ka wanaume kukopa either girlfriend au marafiki zake halafu hawarudishi, kukopa sio kitu kibaya ila unavyokopa wakati huna mpango wa kurudisha sio uanaume na ubinadamu, yani mwanamke umkope papuchi na hela pia jamani? Ndo maana wanawake tunaonaga saa nyingine bora kutembea na wenye hela tu maana nyie tunaowavumilia na umaskini wenu bado mnakopa na vihela vyetu vidogo tulivyo navyo. As for me ukinikopa papuchi fresh sababu utamu tunapata wote ila hela yangi jamaani siwezi kukuelewa. Wanaume wa zamani hawakuwahi hivi halafu hawa wanaoaibisha jinsia ya kiume sasa hivi sijui wametokea wapi, kuna kesi nyingi sana mtaani za aina hii kijana anakuja na fix kibaooo unajua umepata mwanaume mfanye maisha kumbe kaja kukudanga, kwa style hii mpaka magufuli atoke madarakani kuna wanaume wataanza kujipanga barabarani nao wanunuliwe.
MWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?
Umekutana na wavulana si wanaume. Tafuta wanaume halis na si wavulana.
 
Narejea kwenye uzi wako wa kupishana na gari la mapenzi. Tatizo lako ulilo nalo ni kukosa umakini na watu unaotoka nao. Na tatizo mabinti mkishakutana na masharobaro ndo mnawashobokea ili muonekane wa kisasa kwa rafiki zenu. Matokeo yako ndo kama haya yanayokukuta.

Utaepukana na karaha ya mahusino endapo unatoka na wanaune wenye staha zao sio hawa wavaa mlegezo na mtu haeleweki anafanya nini. Kuwa makini dada nyuzi zako zinanionyesha una upungufu wa umakini unapofanya maamuzi ya kimahusiano. La sivyo unaoongozwa na mihemuko ya mapenzi kuliko logic.
 
Kuna katabia kamezuka ka wanaume kukopa either girlfriend au marafiki zake halafu hawarudishi, kukopa sio kitu kibaya ila unavyokopa wakati huna mpango wa kurudisha sio uanaume na ubinadamu, yani mwanamke umkope papuchi na hela pia jamani? Ndo maana wanawake tunaonaga saa nyingine bora kutembea na wenye hela tu maana nyie tunaowavumilia na umaskini wenu bado mnakopa na vihela vyetu vidogo tulivyo navyo. As for me ukinikopa papuchi fresh sababu utamu tunapata wote ila hela yangi jamaani siwezi kukuelewa. Wanaume wa zamani hawakuwahi hivi halafu hawa wanaoaibisha jinsia ya kiume sasa hivi sijui wametokea wapi, kuna kesi nyingi sana mtaani za aina hii kijana anakuja na fix kibaooo unajua umepata mwanaume mfanye maisha kumbe kaja kukudanga, kwa style hii mpaka magufuli atoke madarakani kuna wanaume wataanza kujipanga barabarani nao wanunuliwe.
MWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?
Nataka Papuchi nikulipe shngap me uaga sikopi futa kauli yako iyo sio wote
 
Anakuja na bit la kukudolishia kwanza ye ni don ana hela, ana mbuzi bla bla bla baade anakwambia umkope kachelewa kwenda bank.... kuliko kudangiwa na vijeba heri uniite mie bana uninyweshe teh
Ahahahhaha akiii natamani kumjua nicheke kwanza hapana asee bora nikunyweshe best ulewe kuliko kudangiwa na kijeba
 
Hadi wametupiku, wanadanga na meseji zenye emoji za vicheko pambaafff wakachekee mbali huko, wasome maandiko waelewe maana ya kula kwa jasho
Wakiwa kwenye nyuzi wanajisifia kweli wana hiki wana magari,wana nyumba wanaishi maisha mazurii ,kumbe wanapima upepo wakija pm anaanza na vimaneno vya kukulainisha na kujifanya ana busara kumbeee anataka kukopa pesa utashangaa tu siku moja ,,"nikuambie kitu"ujue unapigwa mzinga
Leo tuseme tu maana wao huwa tunawatunzia siri,,lakin wao kutwa kutunanga alaaa
WANAUME WA JF ACHENI KUJA PM KUTUKOPA PESA
 
Back
Top Bottom