Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
Hapo sawa wa kunyumbaVya kuendea sokoni wakunyumba
Hapo sawa wa kunyumbaVya kuendea sokoni wakunyumba
Nikifikilia hivyo nazidi kuogopaNa thread uanzishiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nakumbukaYaani hiyo siku nilicheka acha kabisa.
Hahahah itabidi nikutumie visa!!Hivi umejificha wapi mzee wa jehanam nichukue tujifiche wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa za kudangiaHahahaaaaa!! Kwa sura gani nzuri walizonazo sasa!! Watakwambia "mwanaume hasifiwi sura" ila pesa pia nehiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kusikojulikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani sasa mliishia wapi lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila inahuzunisha na wanaume wa humu walivyo na midomo jamani halafu mkienda pm mnaenda kukopa hela. Kuna mmoja juzi kanifuata nimkopeshe elfu 10
Wanakosea sana sana halaf mtu anafanya maksudi tu ili akujue tu unavyofananiaWanajikutaga kama waumbaji vile kumbe hata nzi hajawahi umba, nyodo kibaooo. Yaani unampa jibu moja takatifu akukumbuke milele.
Ahahhah Mungu wetu sote Mungu fundi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio zao hizo, sasa wao wenyewe mweeeh!! Unamuachia Mungu tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyambaaafu!!!
Wana gia yao kwanza anaanza kulike kila unachopost, then anaanza kukusifia sifia, ukijaa sifa tu ujue umekwisha.
Na story zao za kutunga, fulani kanitongoza,fulani nimekula. Kumbe uongo mtupuu, sijui wanatafutaga sifa!! Wakianza kukusambazia uongo ndio utafurahi. Mie huishia kucheka tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wanasambaza na picha zetu kumbe. Wakiwa wanatusema wanasindikizia na picha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyambaaafu!!!
Wana gia yao kwanza anaanza kulike kila unachopost, then anaanza kukusifia sifia, ukijaa sifa tu ujue umekwisha.
Ungemwambia uza mbuzi upate hela.Akwendreee na mi mbuzi yake
Wanataka waonekane vidume. Umesahau kuna mmoja alijisemea humu kala wanawake 43 etii wa humuNa story zao za kutunga, fulani kanitongoza,fulani nimekula. Kumbe uongo mtupuu, sijui wanatafutaga sifa!! Wakianza kukusambazia uongo ndio utafurahi. Mie huishia kucheka tu.
Hivi wa kunyumba kumlea huko kweli atakuja niowa au ndio nalea Ben10 wangu mwisho wa siku aniache na uzee wangu aoe vijana wenzieHalafu na ada pia umchangie mumeo
nakuja PM ila usinitangaze tafadhaliSawa