Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wewe bibie tulia kwanza upone

Niliwapiga na kitu kizito naona mnaweweseka mnanitafuta kila topic...hamnipati bwana weeeeeeee
Nimekuuliza swali mbona ujanijibu "nikuwa na nyege na nikakuomba unisaidie unipe mbususu je utanipa bure bila masharti yoyote"?
 
Nadhani katibu uendelee kukaribisha wanaume waendelee kutoa maoni yao.......

Kikao kinaenda vizuri kabisa.
IMG_20210720_171112.jpg
 
Tafuta pesa zako dada, tafuta pesa huone ni jinsi gani ni Raha kuzila bila kupangiwa... Pesa ya mtu anayeitwa mwanaume ni lazima akitoa ilipwe tu, akikusaidia basi ujue ana expect something from you. Wachache Sana ndiyo husaidia mwanamke bila kutegemea kitu, lkn wanaume wengi akikusaidia ujue jiandae kutoa mbususu, atakusumbua tuu... Mwanaume ambaye ukimuomba hawez tegemea kitu Toka kwako ni baba, kaka.na ndugu wengine. Lkn siyo asiye ndugu yako Tena awe anaisaka Kwa jasho haswaaa[emoji16] utaisoma namba.
 
Najisikia raha sana nikiona mwanamke analalamika hivi

Anyway hatupo serious siku hizi maaana nyie mnaona sisi kitega uchumi chenu

Wanamke wengi wa sasa hawawezi kuanza from zero na mwanaume

Wazee tumeelewana missed call mwisho 3
Wakiomba hela waijie geto

Akili mtu wangu [emoji848]
Kabisa hamna kuwaonea huruma hapa ni mwendo wa kufuata hela magetoni
 
Tafuta pesa zako dada, tafuta pesa huone ni jinsi gani ni Raha kuzila bila kupangiwa... Pesa ya mtu anayeitwa mwanaume ni lazima akitoa ilipwe tu, akikusaidia basi ujue ana expect something from you. Wachache Sana ndiyo husaidia mwanamke bila kutegemea kitu, lkn wanaume wengi akikusaidia ujue jiandae kutoa mbususu, atakusumbua tuu... Mwanaume ambaye ukimuomba hawez tegemea kitu Toka kwako ni baba, kaka.na ndugu wengine. Lkn siyo asiye ndugu yako Tena awe anaisaka Kwa jasho haswaaa[emoji16] utaisoma namba.
Mueleze huyo
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Kwaiyo utaka uichukue elfu 30 yake harafu mapenzi ukampe mtu mwingine je huo ndo utu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una tatizo la kufikiri,.. Utu wa kumlia mtu pesa na humpendi na wala hutaki na wewe kuwa na utu,.. Mnakula nauli, mnakula pesa za saloon harafu mnamdharau mtu na utu wake,.. Nyie sio wa kusaidiwa hata kidogo,..
 
Tafuta pesa zako dada, tafuta pesa huone ni jinsi gani ni Raha kuzila bila kupangiwa... Pesa ya mtu anayeitwa mwanaume ni lazima akitoa ilipwe tu, akikusaidia basi ujue ana expect something from you. Wachache Sana ndiyo husaidia mwanamke bila kutegemea kitu, lkn wanaume wengi akikusaidia ujue jiandae kutoa mbususu, atakusumbua tuu... Mwanaume ambaye ukimuomba hawez tegemea kitu Toka kwako ni baba, kaka.na ndugu wengine. Lkn siyo asiye ndugu yako Tena awe anaisaka Kwa jasho haswaaa[emoji16] utaisoma namba.
Waambie hao, hela yako mwenyewe tamu maana haina usumbufu. Hao ndugu wenyewe hawawezi kutoa hela yao kizembezembe.
 
Back
Top Bottom