WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Bora umecheka,
Labda ujumbe wangu utautuma ukiwa na furaha hiyo hiyo!!!
M waiting

Mmh! Haya bhana Nimeelewa!
Na ahsante sana!
...
Mi ningependekeza uwe kama ulivyo tu!
Mungu akuengezee ujasiri na ukarimu!
 
Hata mie sikuwa nikijua kama DC anaitwa babu kama Asprin.
Kwa kweli hata mimi ni miongoni mwa waliofadika na JF kwa mengi ya kufurahisha, ushauri, mafunzo, mapenzi, tiba, vituko na kila aina ya furaha.
Nawatakia wote sikukuu njema ya xmas na kila la kheri kwa siku ya mwaka mpya Mwenyezi Mungu atujalie tuuone mwaka mpya pa1 na kuumaliza pia pa1 na mingine zaidi na zaidi.
Zaidi jamani hawa ndio nimekutana nao kwa mambo kadhaa na nawapenda sana japo hatujuani Madame B BAK miss strong mimi49 babu Asprin Desidery The Boss na wengine wengi majina yamenitoka wapenzi. Kila la kheri kwa kila jambo, mmbarikiwe sana.
Ahsante House Wife! Kheri ya xmas na mwaka mpya kwako wewe pia!
 
Last edited by a moderator:
AshaDii nimeku miss ujue!!!
M'Mungu akujaalie uvuke salama mwaka huu na ujao uwe ni wenye baraka na mafanikio kwako Inshaallah!!!
Stay Blessed.

Ennie mie so humbled kumisiwa na wewe... Asante saana. Mie nimewa miss saaaaana! Na saizi tajitahidi kujichanganya ipasavyo. Pamoja Saana!

Huwezi kusahau ulivyomuahidi unaemjali bana
Hta vya mdogo wako unasahau?:frusty:

Khoh khoh khoh.... Will be right back! lol

Speed ya hii thread imenishnda. Hata sijui pa kuanzia.

Hahahahaaaa!
 
Kwako wewe huwa sifanyi utani hata kidogo and I should say that I am very very serious. Mwaka huu lazima nimpe zawadi Maxence Melo hata kama ni bakuri la uwono (dagaa watamu hao) kutoka kwa bibi.

Please take it seriously Da Asha.

Babu DC!!

sasa babu na we mbona maswala ya zawadi nilisema tuyajadili asbhi !
sa hiz ni mida ya kuswing ujue!sana sana ukiniuliza tena ntasema tumnunulie vest na boxer!
argh!
bora bana DA AshaDii kakuja mkitoka huko eneo la ndani mtarudipo na mawzo useful!
mi si mnajua navowaaminia!!
 
Last edited by a moderator:
Dah! Kabla ya kuzunguka sana, ningependa kurudisha fadhila kwa SnowBall!
Thank you so much Mkuu! Hata sikudhani mtu unaekubalika kama wewe ungeweza kumkumbuka Zombie Mashaxizo na kumtakia Xmass njema + heri za mwaka mpya!
Ahsante sana Mkuu, nami nakutakia heri na baraka za Xmass + mwaka mupya!
Ubarikiwe sana!
...
Vile vile ningependa kumpongeza babu D.C kwa kutuwekea huu uzi wenye lengo la kujenga na sio kubomoa!
Thanks so much

!

Pamoja sana mdogo wangu....
 
Back
Top Bottom