Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Niko vizuri babu DC, namshukuru Mungu.
Asante kwa kunipa hiyo recognition ambayo kiuhalisia siistahili.
Niko vizuri babu DC, namshukuru Mungu.
Asante kwa kunipa hiyo recognition ambayo kiuhalisia siistahili.
Nikutumie ticket ya boat, ndege, bus au unataka private drive?
Sema unachiotaka my cute grand daughter!
Babu DC!!
Asanteni babu DARKCITY na dada AshaDii kwa salamu nzuri za kufungia mwaka nami nakiri kuwa kwa kweli jf ni sehemu nzuri ya kujifunzia,kufahamiana kujenga mahusiano mazuri,kuelemishana,kukosoana pale inapofaa,kufahamishana mambo yanayoendelea katika jamii zetu, kupata ushauri ambao ukitumiwa vizuri ni wenye manufaa JF na idumu.
awwwwwwwwwhhh!!! babu umenismailishajee! ticket ya bus tu inanitosha. sina makuu mjukuu wako.
Naomba niwe assistant wako katika hili kaka DC. Mie napenda kweli kuchagulia watu zawadi. 😎
Naomba nikubalie tafadhali. lol
Basi nimekubali kwamba wewe siyo dot com...with all those options and yet you opted kuchukua bus? (Kuna jamaa fulani na mafweza yao walikuwa anaikashifu bus kwamba ni "looser cruiser"!
Kama kuna kitu huwa kinanifanya nisikie furaha na amani, ni taarifa kama hii kwamba kuna mtu ame-smile kwa sababu yangu. You made my day Hus,
ubarikiwe sana,
Babu DC!!
BAK anawapenda woooooteeeeeee
CC:Keren_Happuch (Ni aje kingunge? 🙂🙂), @WomanofSubtance (Jirani wa ukweeee), Fixed Point (MSULI), Michelle (I miss you so much girl, I hope those beautiful angels are doing well), Ablessed, Mbu, Gaijin, FirstLady1, Neylu, BelindaJacob, sakapal, Nzi, VUVUZELA, Dr MziziMkavu, farkhina, mimi49, NATA, Mr Rocky, Mentor, House Wife, Wacha1 snowhite, Nicas Mtei, kisukari, Karucee, Dingswayo, Nyani Ngabu, Belo, Peasant, Richard, Ngambo Ngali, Steve Dii, jmushi1 Chocs, afrodenzi, FaizaFoxy (Ajuza) Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Heaven on Earth, KOKUTONA, amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, zion daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @C6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo, ladyfurahia, nameless girl, Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Superman, Bishanga, The secretary Rejao, boss, Mzee Mwanakijiji, Invisible na wengineo wote wa hapa jamvini.
dalaliii i miss u kweli kipekee nawashukuru kwakutambua tu uwepo wangu na kuthamini asante sana @-nicas mteiKwanza kabla ya yote napenda sote kwa pamoja hapa MMU tuutunuku uzi huu kuwa uzi bora wa kufungia mwaka kwa pamoja. Ni imani yangu kuwa kili mmoja wetu humu ataelezea namna ambavyo MMU imekuwa nzuri kwa upande wake.
Kwa upande wangu mie. Kiukweli sijawahi kujuta kuwepo humu na kufahamiana na yeyote humu. Nimepata marafiki wengi. Na wengine wamekuwa zaidi ya ndugu kwangu.
Kwa upande wa MMU kwa kweli nimepata mengi sana ya kujifunza. Zamani kidogo ilikuwa ngumu sana kuamini kama itawezekana kuishi na kuelewana na mtu ambaye hamjawahi kuonana hata kwa sura. Naweza kusema kuwa nimefahamiana na wengi humu na tumekuwa tukisaidiana, tukishauriana kwenye mambo mengi. Sasa kupitia MMU nimeamini kuwa jamii hii ya humu mtandaoni haina tofauti na hizi ambazo tuko nazo mitaani tuishipo.
Shukrani ziwafikie Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Mentor, Heaven on Earth, KOKUTONA amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, @FP, Fixed Point, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, Zion Daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @c6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo ladyfurahia, BAK, nameless girl, @lara1 Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Sanctus Mtsimbe Bishanga, The secretary Rejao, Kaka Kiiza Ablessed King'asti, Paw, Mr Rocky, Kwa kweli kutoka moyoni mwangu wanaotakiwa kushukuriwa ni wengi sana. Hao niliowataja ni wachache sana. Ambao sijawataja msidhani nimewasahu. Nikisemaniwataje wote humu basi hii post itakuwa ndefu sana.nawashukuru wote kwa pamoja.
Mungu ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki JF, Mungu awabariki viongozi wa JF na members wote.
Thanks Kokutuna and all JF members, be blessed
ahsantee jiraniahsante babu loo mpaka mda huu hujalala?
Kwi kwi bibi ana kazi gani?
Binafsi napenda kuwashukuru wafuatao Mtambuzi kwenye hardest time alikuwa karibu sana na mie sana jamani yaani kiukweli he is one of the kind kanifungua upeo sana,mambo mengi kanisaidia ni mtu pekee anayenijua in and out.Yaani Mtambuzi ana moyo wa ajabu sana yes yaani ana impact kubwa sana kwangu.Ninamuheshimu sana
Pia napenda kuwashukuru snowhite na gfsonwin kile kikao cha siku ile pale ubungo kilinitoa kwenye handaki ujue nawashukuru sana na impacts yake before april mtaiona hapa Nicas Mtei anahusika sana.Jamani humu ndani kuna maangel hapa natamani niandike kila kitu ila nashindwa.
Napenda kuwashukuru tanga wing mlinipa support zaidi ya mara 3 tanga kwenye msiba wa dada yangu,kwenye msiba wa shangazi yangu na nlipoenda kumuuguza dada yangu mwingine kiukweli sina cha kuwalipa nilifurahi sana hapa naandika huku nalia ahsante sana YNNAH ahsante mohamed Mtoi ahsante sana nakushukuru sana hii kumbukumbu haitafutika ahsante sana Mwanyasi ahsante sana arabella ahsante mwenyekiti Dark City ahsante sana mzee CHUAKACHARA ahsanteni sana kwa kweli.
Pia napenda kumshukuru Kaizer alikuwa karibu sana na mimi ana impact kubwa sana kwangu.
Paloma ahsante mamiii ahsante kwa kila kitu umenisaidia kwa kweli na upo karibu sana na mimi.
Madame B nakushukuru kwa kweli una roho ya peke yako ahsante mama.
Nicas Mtei ahsante kwa miushauri yako ya ukweeee watu8 mtaalamu wangu ahsante kwa kutonichoka nikikwamaga mambo yetu ya technolojia mtu wangu wa ukweee.
Special thankx kwa @Maxence Mello kaka mkubwa wa ukweee.
Ahsanteni kiukweli nachoweza kusema nilingia jukwaani mweupe peee ila sahivi i have a confidence,nina msimamo balaaa yaaani mpaka mengine niliyopitia nasema kama bila jf sidhani kama ningeyamudu.
Kipaji Halisi ahsante sana jirani yangu wa ukwee.