WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Kaka mkubwa mimi nipo sana ila majukumu ya kimaisha yamezidi kunibana.
Tambua: Wewe ndio member wa JF ambaye tumeonana mara nyingi zaidi. Yule wa pale level 8 pale gold crest ni case nyingine kabisaaaaaa. Mpe hi mzee wa chopa


Mzee wa chopa kawa mzee wa chopa sana siku hizi maana yuko nayo porini muda wote
Yule wa Level8 mambo yake mazito mwache tuu
Asante sana mkuu na nikutakie kila la kgeri katika msimu huu wa sikukuu
Wale jamaa wa Level8 wamekumiss sana aise wanauliza mbona haujarudi tena kwao mkuu Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
nitakutafuta Nicas Mtei unataka umuantheri mushi mdogo wngu eee maana sasa wachaga tumekuwa tishio kubwa sana ,kuna jama mchagga kahisi tu mkewe anatembea nje ya ndoa hata hajahakikisha huko segeream -tabata ameamua kuchoma nyumba moto hahahahahaha kweli sie pesa tu ndio twaziweza ila mapenzi twishalaaniwa aise hahaahahahah

Hahahaahahahaa ukintafuta ndo utajua. Usiwe unaadimika sana humu.
 
Last edited by a moderator:
Zimesalia siku chache kabla mwaka huu haujakwisha, sasa endapo hatujayajenga yale mambo yetu basi huu mwaka hautaisha vizuri kabisaaaaaa. Wale waliokosa pistol sasa wameamua kuchoma nyumba. Sasa sijui utanishawishi mimi nitumie njia gani.watoto wamekumiss sana jamani. Come back haraka.
he he heeeee, mnatia aibu mnooooooooo
sasa sijui nimrudishe home mdogo wangu! na wewe unapigapiga hodi tulikuwa tuna mpango wa kukufungulia kirahisi but naona upimaji wa future unahusu hapa.......
kunahitajika kikao cha dharura soon
 
Zimesalia siku chache kabla mwaka huu haujakwisha, sasa endapo hatujayajenga yale mambo yetu basi huu mwaka hautaisha vizuri kabisaaaaaa. Wale waliokosa pistol sasa wameamua kuchoma nyumba. Sasa sijui utanishawishi mimi nitumie njia gani.watoto wamekumiss sana jamani. Come back haraka.

mlichokosea siku ile ya mahari waume zangu ni kuniambia eti uchagani hela ndo kila kitu!
SASA MATOKEO YAKE NASAKA HELA MPKA NASAHAU KUWEKA MAJI YA KUOGA ambayo kwetu ungonini ni vere essential!
salamu hizi zimfikie Fixed Point popote alipo!
dada kubwa nitetee!
 
Last edited by a moderator:
he he heeeee, mnatia aibu mnooooooooo
sasa sijui nimrudishe home mdogo wangu! na wewe unapigapiga hodi tulikuwa tuna mpango wa kukufungulia kirahisi but naona upimaji wa future unahusu hapa.......
kunahitajika kikao cha dharura soon
mi nembwitu!
nyumbani sirudi ng'ooo!
ngati mnisahau tu!
UBAVU WA KUNICHOMEA KWENYE NYUMBA HAWANA!!
 
mlichokosea siku ile ya mahari waume zangu ni kuniambia eti uchagani hela ndo kila kitu!
SASA MATOKEO YAKE NASAKA HELA MPKA NASAHAU KUWEKA MAJI YA KUOGA ambayo kwetu ungonini ni vere essential!
salamu hizi zimfikie Fixed Point popote alipo!
dada kubwa nitetee!
kwani hujauona utetei wangu mdogo wangu? na wakiendelea kuzingua tunawarudishia mahari yao..... sisi kwetu hela haina nafasi kabisaaaaaa
 
Kaka DC,

Nashukuru kwa kunipa hii nafasi na kunifanya nitulie hapa kuweza kutuma salamu kwa wapendwa wetu hapa jamvini.

JF ni mahala ambapo member mwenyewe husika ndio huamua ni nini analenga kupata akiwa hapa kwa muda wote utakao kuwepo. Kuna kila aina ya information ya kuweza kujifunza, Kuna kila aina ya watu wa kuweza kuwasiliana nao na hata kujichanganya, kuna kila aina ya mafunzo. Mtu anauwezo wa kuongeza taarifa katika sehemu yake ya kumbu kumbu, ana uwezo wa kuongeza uwezo wa kufikiria, kudadafua, kupambanua, kuelewa na kueleza mambo hayo kwa ubora zaidi siku zitakavyo zidi kwenda. Hata hivyo ni muhimu kutambua kua hapa hapa JF mtu anaweza kushindwa kupata yote hayo niliyotaja na zaidi; na hiyo inatokana na member mwenyewe kushindwa kutambua ni nini anataka, au tu kwa kushindwa kutambua tu namna JF inaweza kutumika for the better kwa manufaa yake mwenyewe. All in all, kwa wengi waliobahatika, uwepo wetu hapa JF kambwe hatukosi kunufaika.

Mwaka huu umekua mmoja wa mwaka ambao umenibananisha kisawa sawa... Nimekuwa mara kwa mara nikitaka sana nijikite na niweze kushiriki kama ilivyokua pale nyuma kabisa but nakwama kupata hiyo nafasi ya kutosha vile nitakavyo. Ila huwa nafurahi sana nikiona familiar names... Akili ikawa imechoka (uzee sasa umeingia) kabisa naweza kushindwa kuchangia lolote but haichoki kusoma yale wenzangu wanawasilisha. Hivyo leo nimewahiii ili nitumie akili zangu zote kuweza kukumbuka watu wa kuwatumia salamu.. 🙂

Hili linafanya kunufaika kwangu hapa JF kuwe pale pale kwa uwepo wenu, Ingawa ni wachache ambao wameweza kunufaika kwa kuwepo kwangu. Hili limefanya sometimes nijione mgeni kabisa, new IDs/Members ambao huwajui kabisaa na ni wenyeji. But life goes on na mambo hubadilika saana.

I have missed so much wengi wa members ambao tulikua tukikutana mara kwa mara katika mijadala mbali mbali toka majukwaa yote ila hasa hapa MMU. I sincerely miss hapa mahala na wenzangu wote. Naona nitumie nafasi hii kutuma salamu zangu za kufunga mwaka kwako kwanza Kaka Dark City na hapa hapa kukushukuru kwa kunikumbuka kwa salamu.

Natuma salamu za kufunga mwaka kwa members wenzangu wote, wale niliowakuta, walionikuta, na tukakutana hapa hasa ambao tukiwa tukiwasiliana mara kwa mara kwa namna moja ama nyingine tukiwa hapa. Salamu zangu hizi zimeambatana na wishing them all the best katika msimu huu wa sikukuu na maisha yao yote. Mwenyezi Mungu azidi kutujaalia wote na kutubariki.

Kwa kweli ni weengi kuwataja na kuwakumbuka hasa tokana na kutokutana sana kwa sasa, hivyo natuma salamu kwa wote nitakao wataja na nisio wataja... Kwa kuanzia salamu hizo ni kwa; Kaizer, Asprin, Roulette, EMT, Husninyo, sweetlady, FirstLady1, MwanajamiiOne, Mbu, Nyamayao, nyumba kubwa, Boflo, Elizabeth Dominic, Mwita Maranya, Maty, Blue G, TANMO, Mzee, miss Judith, TIMING, Mr Rocky, RR , Mtambuzi, Rejao, Smile Fidel80, Teamo, Kimey, klorokwini, uporoto01, I Riwa, Arushaone, Steve Dii, Gaijin, Nyani Ngabu, Mwali, Eiyer, Mentor, Speaker, MKATA KIU, Nazjaz, Pauls njiwa, Globu, Raia Fulani, YNNAH, Nsiande, fazaa, Saint Ivuga, companero, Vin Diesel, The Finest, BAK, Preta, PakaJimmy, BelindaJacob, King'asti, Mwali, Ritz, Matola, Zion Daughter, Bishanga, The Boss, Nicas Mtei, bht, Balantanda, WomanOfSubstance, Nguruvi3, Mchambuzi, JingalaFalsafa, Kiranga, Cantalisia, Judgement, Shark, Jasusi, ZeMarcopolo, Pasco, cheusimangala, Chauro, Gaga, Manumbu, Tuko, SnowBall, zumbemkuu, BADILI TABIA, gfsonwin, DEMBA, KakaKiiza, HorsePower, Manyanza, Kaunga, Dena Amsi, Bigirita, Karen_Happuch , Blaki Womani, Mamndenyi, afrodenzi, WiseLady, Lizy, LD , Kongosho, platozoom, Sizinga, Bishanga, Blaine, lara 1 , jouneGwalu, Ndahani, Azimiojipya, Zakumi, Mkandara, Mrembo by Nature, Bujibuji, Erickb52, MANI, kinyoba, Mulama, snowhite, Michelle, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KOKUTONA, Apollo, moto2012, Mkirua, bacha, Leonard Robert, mwaJ, Young Master, C6 , Madame B, MadameX Katavi, OLESAIDIMU, MziziMkavu, babaV, Invisible, Cookie, Paw, Moderator, Fang, Buchanan, X-PASTER, INNOVATOR, Active, PainKiller, Mike McKee and Maxence Melo.

Pamoja na wengine wengi saana ambao nimesahau, nitaenda nikiwakumbuka taratiibu.


Pamoja Saana with loads of Love.:grouphug:


AshaDii.


P.S Msalimie mama DC.

I am humbled, thank you very much!!!
 
mi nembwitu!
nyumbani sirudi ng'ooo!
ngati mnisahau tu!
UBAVU WA KUNICHOMEA KWENYE NYUMBA HAWANA!!
we sema tu hawana ubavu..... dadako Alpha Newa si umemwona? kaishia kupoteza mdogo wetu na lishem la nguvu kwa hao hao wachaga.....
 
we sema tu hawana ubavu..... dadako Alpha Newa si umemwona? kaishia kupoteza mdogo wetu na lishem la nguvu kwa hao hao wachaga.....

af ila kweli
the more zei get krezi ze haya ze riski
sa tufanyaje dada kubwa hebu nipe mwongozo!
mi najua we ni kilaza kwenye umbea tu ila kwenye makitu kama haya!
ehehehehehehhehhe ukoo mzima unakutegemea!
 
Mzee wa chopa kawa mzee wa chopa sana siku hizi maana yuko nayo porini muda wote
Yule wa Level8 mambo yake mazito mwache tuu
Asante sana mkuu na nikutakie kila la kgeri katika msimu huu wa sikukuu
Wale jamaa wa Level8 wamekumiss sana aise wanauliza mbona haujarudi tena kwao mkuu Nicas Mtei

Mzee wa chopa yuko chugga au dar? Habari nzito za yule wa level 8 kwa kweli zilinishinda ikabidi nijiuzulu mapemaaaaa. Waambie wadau wa level 8 wasijali nitarejea kule soon..
 
Last edited by a moderator:
Shukrani Babu Dark City.... Kwanza Sh'kamoo babu naomba sh'ng mia! Hahahaaa wewe ni babu yangu lazima nkutanie kiduchu....

Back to topic..... Kama nilivyosema katika uzi wangu wa juzi katika "5th Anniversary" naomba kunukuu baadhi ya maneno.....

"Napenda kuwashukuru WANAJAMIIFORUM woooote kwa
kunitia moyo kwa namna moja ama
nyingine, nimekuwa nikisoma post
za watu waliopitia changamoto
zinazofanana na zangu na jinsi
gani wamekuwa wakizikabili.
Mmekuwa msaada kwangu
kimawazo, pia hata katika
kupunguza stress hasa jukwaa la
picha na Jokes. Huwa nafarijika
sana kwa kupita majukwaa hayo ili
kupunguza stress za kazi. Daddy
angu watu8 na Mzee Mtambuzi
hamkuwa nyuma kunitia moyo,
hakika mawazo na ushauri wenu
umenijenga sana. Mbarikiwe
saaaaaaaana, mnaweza msijue ni
kwa namna gani mmenifanya
nimekuwa strong katika kazi ila
napenda kuwaambia ushauri wenu
ni mkubwa sana na sitawasahau"

Kwa kuongezea JF imenipa marafiki wengi ambao wamekuwa.msaada kwangu kwa namna moja ama nyingine. Sitawasahau Rock City wing chini ya Mwenyekiti Rock City (your the best friend), Arusha Wing nawashukuru kwa kunipa muongozo hasa King Mswati Arushaone (Nashukuru kwa muongozo na tahadhari).

Na wale woote ambao tumekutana kupitia JF mbarikiwe saaaaana....

Mwenyezi Mungu awe pamoja nasi mpaka tutakapokutana tena mwakani, ingawa ni siku chache zimebaki ila ni nyingi sana katika ulimwengu wa roho!

Cheers

CL....



Thank you!
CC: Lady doctor
Passion Lady.
 
Last edited by a moderator:
he he heeeee, mnatia aibu mnooooooooo
sasa sijui nimrudishe home mdogo wangu! na wewe unapigapiga hodi tulikuwa tuna mpango wa kukufungulia kirahisi but naona upimaji wa future unahusu hapa.......
kunahitajika kikao cha dharura soon

Inasikitisha sana jamani. Ila nakuomba shemeji usiniweke kundi hilo. Ukiniweka humo hautakuwa umenitendea haki. Pia msimrejeshe mdogo wenu kwenu kwa sababu tayari amekuwa wa kwetu.
 
Yaani hata mie nina shukrani tele kwa jf nikitaka kutoa shukrani zangu hapa nadhani ukurasa wote huu utakuwa mdogo pasitokee nafasi ya yale yaliyojaa moyoni mwangu, na uzi huu unanifanya nianze kutoka na machozi kwani umenibariki sana na kunikumbusha mengi yaliyopita hapa jamvini.

Kupitia jf nimejifunza vitu mbalimbali
-nimeweza kupata marafiki wengi hapa jf,
-nimeweza kujitangaza biashara yangu hapa jf,
- Nimeweza kupata ndugu wenye upendo wa kweli, wakarimu hapa jf mfano: Lady doctor, Passion Lady, charminglady, sweetlady, FirstLady, Erickb52, kabanga, Mr. Rocky, Paloma nk
- Nimepata marafiki wengi na wengine wamenijali na kuonesha hisia zao kwangu.
- Nimeweza kupata rafiki wa karibu MENTOR sitamsahau maishani mwangu nkughanile fijo
- Nimeweza kupata changamoto za maisha, Kukumbana na majanga mbalimbali laikini Mungu alinishindia
- Nimepata wataalamu wa kunisaidia katika fani yangu na mengineyo mengi
Mungu aizidishie kheri na baraka watendaji wote wa jamiiforum.
 
Last edited by a moderator:
mlichokosea siku ile ya mahari waume zangu ni kuniambia eti uchagani hela ndo kila kitu!
SASA MATOKEO YAKE NASAKA HELA MPKA NASAHAU KUWEKA MAJI YA KUOGA ambayo kwetu ungonini ni vere essential!
salamu hizi zimfikie Fixed Point popote alipo!
dada kubwa nitetee!

Kuna kipindi nakuruhusu kiroho safi kabisa but kuna kipindi kingine nakuwa natoa ruhusa kwa shingo upande. Sina namna. Napenda kuona ukiwa unachakarika
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa chopa yuko chugga au dar? Habari nzito za yule wa level 8 kwa kweli zilinishinda ikabidi nijiuzulu mapemaaaaa. Waambie wadau wa level 8 wasijali nitarejea kule soon..

Yuko Meatu huko anapambana na watoto wa Erickb52 ila inaelekea wamemshinda anarudi Arusha soon
Hahahahahah sikujua mambo ni mswano kiasi hicho aise
Poa poa wazee wa level 8 bado wapo na pale ni bata kwa kwenda mbele
 
Last edited by a moderator:
Yaani jf!!!!
Sifahamiani na wengi nje ya hapa lakini nimepata marafiki na washauri ambao wanafanya magumu nisiyaone magumu tena maana kwa ushauri wao yanakuwa mepesi.
Nina wengi wa kuwashukuru ila kwa uchache JF Arusha Wing wote MziziMkavu, Dena Amsi (Naku miss ujue), Fixed Point, Mamdenyi amu(una nafasi ya pekee kwangu), Heaven on Earth, OLESAIDIMU, umbuje KOKUTONA, shem Young Master na wengine wengi.
Shukran za pekee kwa wana MMU wote.
Jf ni nyumba ambayo kila mtu angefurahia kuishi.

Thank you. CC PakaJimmy, Mzee wa Rula Blaki Womani, Preta Filipo, Erickb52, LiverpoolFC, IGWE, marejesho, Cantalisia among all.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom