WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

af ila kweli
the more zei get krezi ze haya ze riski
sa tufanyaje dada kubwa hebu nipe mwongozo!
mi najua we ni kilaza kwenye umbea tu ila kwenye makitu kama haya!
ehehehehehehhehhe ukoo mzima unakutegemea!
ha haa, we kalaghabao mdogo wangu.
Ila kwa sasa tuwalie timing tu tuone mwelekeo wao...
tukiona hawasomeki tunaanza kuchukua tahadhari, hii inabidi kukaa kama kamati
 
Yuko Meatu huko anapambana na watoto wa Erickb52 ila inaelekea wamemshinda anarudi Arusha soon
Hahahahahah sikujua mambo ni mswano kiasi hicho aise
Poa poa wazee wa level 8 bado wapo na pale ni bata kwa kwenda mbele
mimi nna hasira na wewe mwaka wa pili huu!
na hiiishi mpka nilione vogue mlangoni!
haiwezekeni kila mwaka unidanganye tu kama kifaranga cha kuku!
NIMEKUNUNIA!
 
mimi nna hasira na wewe mwaka wa pili huu!
na hiiishi mpka nilione vogue mlangoni!
haiwezekeni kila mwaka unidanganye tu kama kifaranga cha kuku!
NIMEKUNUNIA!

snowhite limekwama bandarini bana naona walilileta bila makaratasi ya kulitoa ndo maana mpaka sasa limekwama
Mwakani nafikiri litakuwa m;langoni kwako
Heri ya sikukuu na naamini Mungu atakujalia kila la heri umalize salama
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana jamani. Ila nakuomba shemeji usiniweke kundi hilo. Ukiniweka humo hautakuwa umenitendea haki. Pia msimrejeshe mdogo wenu kwenu kwa sababu tayari amekuwa wa kwetu.
ha haaa, sitamrudisha soon shem, tunaendelea kuwasoma, but really jirekebisheni. Kuna ambaye anataka kuzika ukoo mzima sababu ya penzi mlilokubaliana wenyewe? kwa hiari yenu? maumivu ya mapenzi yapo kwa kila kabila siyo wachaga pekee, why you? hamjiulizi tu jamani?
 
Afu nimekukosa muda mrefu sana! Mzima wewe?
we nae nabembeleza uteja kwa teja mwenzio hapo huoni anaweweseka dadangu anataka kurudisha mahari ujue!
mi kule nyumbani ndo konaa sasa wewe na jirani zako (manake na nyie ndo wale wale tu)mkinirestisha in peace dadangu na wenzie si wanapata uchizi!
ngoja nimpepee nicas kwanza!
 
ha haa, we kalaghabao mdogo wangu.
Ila kwa sasa tuwalie timing tu tuone mwelekeo wao...
tukiona hawasomeki tunaanza kuchukua tahadhari, hii inabidi kukaa kama kamati

waonee huruma kidogo!
naona washaanza kudata ujue!
siku hizi wamejua vingine vitamu zaidi ya pesa!ehehehehhe hakyamama wamekuwa malover boy waspanish hawaoni ndani chaaaaaaaaaaa!
 
mechoka kusubiri mimi!

Mambo mazuri hayataki haraka snowhite ukitaka haraka haraka utaletewa halafu uambiwe limeibiwa kwa Tata madiba sijui utakimbilia wapi

ha haaa, mi nimepigwa changa la macho eti nipo moyoni..... Ngoja tusubiri changa lako

yaani hapo najua ni kwamba wamenihamisha mjini bora nirudi kijijini kwangu Hungumalwa nikalime mpunga
 
Last edited by a moderator:
shukran sana wifi yangu. uwe na sikukuu njema mpenzi
Babu Dark
City
kweli kabisa tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa
wakati huu ambao bado anatuazima pumzi yake bure.

Pia kumshukuru Mungu pia kwa kutupa nafasi ya kutafakari matukio mbali
mbali yaliyotokea katika maisha yetu mazuri na mabaya,,yote kwa yote
tunafundishwa kushukuru kwa kila jambo.

Na tena kwa kutupa marafiki hapa JF na pia kwa elimu nafundisho na
changamoto mbali mbali .

Kipekee namshukuru sana MUNGU kwa kila jambo na kwa kila changamoto
niliyoipata mwaka huu hadi leo nikiwa hapa mbele ya key board.

Mwaka huu kwangu umekuwa na ups and downs za kutosha, but ki ukweli
namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na marafiki wa ukweli hapa JF,
niliowaona face to face, na weengine just behind the keyboard. When i
was down karibu ya kuzama kwa kweli mliniinua.MUNGU awabariki sana
sana.
I will always love you ALL

To mention few in behalf Dark City babu yangu
kipenzi, Mwanyasi,
YNNAH, Arabela
CHUAKACHARA,
PakaJimmy, Mzee wa
Rula
, Arushaone
Preta, Blaki Womani,
Lily Flower, erckb52
baba JR thanks for being a good father tom my son,
IGWE, Liverpool FC,
Filipo, marejesho,
Kaizer, watu8,
Madame B, Smile,
AshaDii a woman i inspire the most,
Mtambuzi, KakaKiiza,
Nicas Mtei, COPPER,
amu, @Nivfea, Fixed
Point
i always remember you my sister, ulikuwa unanifariji
sana in my sand moments, Avemaria,
BAK the BFFL, BHULULU,
Fidel80, Baba V,
mzabzab, gfsonwin,
Simplicity, Tutor B,
charminglady,
sweetlady, Ladymasa,
@C6, Vin Diesel
Mentor, DEMBA wifi
yangu, Mwita Maranya, lara
1
, Ennie,
zion Daoghter, babu
Asprin, kaka
Rutashobolwa na wifi yangu
Passion Lady, Eiyer,
Mr Rocky, Karucee,
FirstLady, kiwatengu,
shansharie,
Mamndenyi, Jiwe
Linaloishi
, Mungi,
Mkirua you are the best firiend,
The Boss, kipipi,
kokudo, Mutta,
N-handsome, Negrodemus,
zubedayo_mchuzi,
nitonye, Bishanga,
Mamzalendo, Mrembo by
Nature
, The secretary,
Zinduna, Ablessed,
Tuko Heaven on Earh,
Lady doctor, Evelyn
Salt
, Mzizi Mkavu,
Rweye, MAKOLE
King'asti,
And many many more ambao sijawataja, I owe you my friendship.

Special thanks to JamiiForums FOUNDERS, Tanga Wing, Arusha Wing and Dar
wing.

Nimejifunza mengi kutoka kwenu na nimepata mengi ya faida yatokanayo na
posts/threads kwenye majukwaa yote.

Kwa kumalizia I just wish you a.......

2279231.jpg



FRIENDSHIP FOREVER
KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:
waonee huruma kidogo!
naona washaanza kudata ujue!
siku hizi wamejua vingine vitamu zaidi ya pesa!ehehehehhe hakyamama wamekuwa malover boy waspanish hawaoni ndani chaaaaaaaaaaa!
hivi waspanish wanatumia bastola? au wao hawatendwi? wameingia kwenye game siyo yao....
itabidi tuwaombe kaka zetu wawape semina shem zetu...
cc. Nicas Mtei..... mkitoka huko kwa kikao chenu nawaandalia semina ya kukabiliana na vibuti, hata kama uliinvest mabilioni....
ha haaa, nakumbuka kuna kakangu alioa mchaga. akampeleka chuo, kule mdada akapata kaBF. kaka alimfumania live, akamwambia vaa, akampandisha kwenye gari lake, break ya kwanza ilikuwa migombani kwa wazazi wa binti kuwaambia nimekuja kukabidhi laana yenu hii, itawasimulia kilichotokea. sitaki mrudishe mahari wala hela zoote nilizotumia kumsomesha na mambo mengine........ sasa hivi kaka ana mke mwingine, bombaaa, maisha yanasonga mbele. chezeya wangoni weye,..... mwanaume kujiamini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom