Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Word? I'm honored and flattered to know that.
But hey, If I didn't have little miss Piggy I'd have declared you my only legatee.
Lil Miss what? Mean Pa!
Word? I'm honored and flattered to know that.
But hey, If I didn't have little miss Piggy I'd have declared you my only legatee.
Umenifanya nilie wivu kabisaaaaaaa!!!
Mi najuaga mimi tu ndo huwa naukoga moyo wako kumbe tuko weeeeeeeeeengi.....lol!
Nina kesi na wewe kuhusu ule mpango wa kufungua chuo cha kuwafundisha hawa wavulana,mbona michango siioni?
ahsante babu loo mpaka mda huu hujalala?
Kwi kwi bibi ana kazi gani?
Binafsi napenda kuwashukuru wafuatao Mtambuzi kwenye hardest time alikuwa karibu sana na mie sana jamani yaani kiukweli he is one of the kind kanifungua upeo sana,mambo mengi kanisaidia ni mtu pekee anayenijua in and out.Yaani Mtambuzi ana moyo wa ajabu sana yes yaani ana impact kubwa sana kwangu.Ninamuheshimu sana
Pia napenda kuwashukuru snowhite na gfsonwin kile kikao cha siku ile pale ubungo kilinitoa kwenye handaki ujue nawashukuru sana na impacts yake before april mtaiona hapa Nicas Mtei anahusika sana.Jamani humu ndani kuna maangel hapa natamani niandike kila kitu ila nashindwa.
Napenda kuwashukuru tanga wing mlinipa support zaidi ya mara 3 tanga kwenye msiba wa dada yangu,kwenye msiba wa shangazi yangu na nlipoenda kumuuguza dada yangu mwingine kiukweli sina cha kuwalipa nilifurahi sana hapa naandika huku nalia ahsante sana YNNAH ahsante mohamed Mtoi ahsante sana nakushukuru sana hii kumbukumbu haitafutika ahsante sana Mwanyasi ahsante sana arabella ahsante mwenyekiti Dark City ahsante sana mzee CHUAKACHARA ahsanteni sana kwa kweli.
Pia napenda kumshukuru Kaizer alikuwa karibu sana na mimi ana impact kubwa sana kwangu.
Paloma ahsante mamiii ahsante kwa kila kitu umenisaidia kwa kweli na upo karibu sana na mimi.
Madame B nakushukuru kwa kweli una roho ya peke yako ahsante mama.
Nicas Mtei ahsante kwa miushauri yako ya ukweeee watu8 mtaalamu wangu ahsante kwa kutonichoka nikikwamaga mambo yetu ya technolojia mtu wangu wa ukweee.
Special thankx kwa @Maxence Mello kaka mkubwa wa ukweee.
Ahsanteni kiukweli nachoweza kusema nilingia jukwaani mweupe peee ila sahivi i have a confidence,nina msimamo balaaa yaaani mpaka mengine niliyopitia nasema kama bila jf sidhani kama ningeyamudu.
Kipaji Halisi ahsante sana jirani yangu wa ukwee.
Lil Miss what? Mean Pa!
Haki ya nani sikujua kama nina maujiko kiasi hiki.
Nakushukuru sana amu, usichoke kuwasiliana nami pale utakapoona unahitaji neno langu.
Tupo Pamoja
.......hahahaha.....swahiba, subiria mapicha tu....View attachment 127137....mpaka sikukuu ziishe!
ukiwa na mimi uko peke yako wewe
wasi wasi wako nin!i
KWANI SABUNI HII kuwa inaisha?
hawa madogo hakyanani sijui tufanyaje!
ujue natamani niwaletee lile libuku langu la enzi zile!
Nakuombea kila yaliyo mema mkuu....
Ukirudi salama nitafurahi sana kaka...ila kinyume chake ni kwamba nilikuta tahadhari....
Babu DC!!
Barikiwa sana pia Babu!
Wewe u pekee sana miongoni mwa ninaowabariki!
Ameen kaka, ....naambiwa nikutaarifu siku kuu ya mwisho ni February 14th 2014!....
Ameen kaka, ....naambiwa nikutaarifu siku kuu ya mwisho ni February 14th 2014!....
Wewe nawe kwa kutia mpira kwapani sikuwezi...
Umemtelekeza Eiyer na kumwacha kama mtoto wa mtaani...lol!!
Mzima lakini?
Mwaka 2014 hakuna kuchokozana...sawa?
Babu DC!!