Hivi mtu akiwa nchi nyingine ni ngumu kumkamata aseee !! Mfano Mange angekua kwenye hizi nchi za Africa au Huko Latin America !! Marais wangeshapigiana simu kitambo sana😂😂😂 mtoto analetwa hapa mbichi kabisa magogoni !!

Kweli Marekani demokrasia ipo
Marekani ni Baba wa Democrasia, anayoyafanya Mange ndio yanampa uhalali wa kubaki Marekani na kulindwa na FBI.
 
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.

Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.

Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.

#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??

Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Chaguzi za nchi kuporwa hakuwaumi, Wala fedha za wananchi kuporwa na wajanja hakuwaumi, ila matusi ndio mnajifanya yanawauma sana.
 
Yule Dem wamteke,wamgonge matundu yote wakimrekodi,wamtue kkoo uchi,wamlazimishe apost kwenye akaunti zake,Kisha wajifanye kumkamata na kumfungulia mashtaka,ambayo Nina hakika yatafika 200,wamfunge maisha jela
Yule ana watu nyuma yake,, hajiamini hivihivi tu
 
Wanaharakati ndio zao, hukaa kimya pale upande wanaoupinga ukiwa unadhalilishwa kwa matusi ya nguoni, "mara nyingi Wanaharakati hawako "centered " katika harakati zao, huu ndiyo upumbavu wao!
Hao wanaharakati wanajishughulisha na mambo rasmi, sio huo uhuni wenu wa huko Mitandaoni.
 
Ila wakuu wanaume kweli tumebaki wachache sana ,
Bila unafki mimi huwa napita pita kule kwa yule binti lakini nachki tu napita kule.
Kinachonishangaza amini msiamini madume ndio yanaongoza kule kuandika" da mange we kiboko, mara da mange huna baya dhambi zako nipewe mimi, mara da mange dada wa Taifa wanaume hao??! Inaumiza sana tuwe wakweli tu ukiachana na yote hata yule binti mwenyewe anaamini kabisa mwisho wake hautakua mzuri kabisa anajua hilo hana adabu hata kidogo.
mkuu unasema wanaume waandika "da mange" bora nilijitoaga kwenye huo mtandao mapema,
 
Back
Top Bottom