naunga mkono alicho sema, mwenzetu hapo juu, Chadema washirikiane na CUF, na kumuunga Mkono Lipumba kwenye Uraisi , na sehemu za Wabunge wapime ni mwanachama gani anaye faa wa Chadema/CUF, ingawa ningependekeza Wapitishwe wabunge wengi wa Chadema ilikuwepo na uwiano katika kuongoza Nchi, simple as that.dr slaa
je kwanini nyinyi na cuf msikae mkafikiria kuungana jamani.
Hichi ni kilio kikubwa sana cha wananchi.
Freeman hataki kugombea urais, mumsimamishe lipumba na nyinyi wengine msukume chama mbele na muongeze idadi ya wabunge
naunga mkono alicho sema, mwenzetu hapo juu, Chadema washirikiane na CUF, na kumuunga Mkono Lipumba kwenye Uraisi , na sehemu za Wabunge wapime ni mwanachama gani anaye faa wa Chadema/CUF, ingawa ningependekeza Wapitishwe wabunge wengi wa Chadema ilikuwepo na uwiano katika kuongoza Nchi, simple as that.
Kubwajinga; Huwa nikisema tunahitaji mapinduzi si mnauliza ni mapinduzi gani?Na kwamba ninayoongea ni maneno mabaya na yenye kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani?Haya sasa....Cry Tanzania. Those trained to help the country are now in the forefront to vandalize the little revenue and savings we have.Wana CCM amkeni, JK na watu wake wanaimaliza nchi.
- The president and his cabinet, are in perpetual trips abroad. Flying first/business class, staying in the lavish 4/5 star hotels for weeks, acumulating for themselves thousands of per diems, all paid by the TZ coffers. Shameless?? With the availability of fast speed internet in Tanzania and embassies all over the world, can't these people stay at home and carry out their duties from their offices and save the country's resources?
- The JK government is full of luxurious vehicles which are mainly used in private business. Why not have a controlled Car Pool that is shared by everyone whenever needed including the honorable ministers?
- Those who are paid super salaries by the same government that can not pay the teachers, are also remunerated heavily with posh cars, houses, maids e.t.c.? Why? .......Did they compete for these jobs?
- If these positions needs to be superbly remunerated in order to get and keep the best and the brightest, why then not advertise the job so that the best can compete and work responsibly?
Ili tuendelee, sasa tunahitaji vitu vitatu;
- JK aondoke madarakani ASAP
- JK aondoke madarakani ASAP
- JK aondoke madarakani ASAP
Hii topic ni muhimu lakini mtiririko wake umeharibiwa na Tha Boss. Mkuu Tha Boss unaweza kufuta posts zako ili topic ijadiliwe vizuri, halafu wewe kaanzishe ya kwako ambayo utaweza kucontrol huo wazimu wako.
Mkuu Mwanakijiji sababu umeanzisha hii topic nzuri ebu ongea na Invisible, posts za Tha Boss zitoke ili topic hii ijadiliwe vizuri labda mkuu wetu Jk anaweza kupata mawazo mazuri ya kusaidia wananchi wetu.
Mh Dr. Slaa,
Vipi suala la kuwa na Redio yenu......je hamuonikuw aredio itakuw ani njia moja muhimu sana kuafikishia wananchi ujumbe........pamoja na hilo hongereni sana na juhudi zenu za " Op....Sangara"
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Kama Kikwete hakushtushwa na "vijisenti" vya Chenge na kumuacha aendelee kuwa Waziri mnafikiri atashtushwa na hili?
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Kuna Binti wa Kitanzania, USA. Huwa anatoa bure Vitanda kwa Hospitali mbalimbali za Bongo. Kule Singida ametoa Vitanda Vizuri sana sijui kama hawezi kusaidia Hospitali ya (Mkoa) Temeke, Dar es Salaam. Ambayo Mnyange Naomi Campbell alitembelea?Kama serikali ya CCM haikufanya lolote kwa miaka kuhusu ufisadi wa benki kuu hadi kelele zilipozidi, mnafikiri watakuwa na sababu ya kufuatilia tujisenti twa bilioni 2? Kama Kikwete hakushtushwa na "vijisenti" vya Chenge na kumuacha aendelee kuwa Waziri mnafikiri atashtushwa na hili?
change is necessary; change is inevitable.
Kuna Binti wa Kitanzania, USA. Huwa anatoa bure Vitanda kwa Hospitali mbalimbali za Bongo. Kule Singida ametoa Vitanda Vizuri sana sijui kama hawezi kusaidia Hospitali ya (Mkoa) Temeke, Dar es Salaam. Ambayo Mnyange Naomi Campbell alitembelea?
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Mzee, Nimefungua Vitabu kidogo, nimegundua tatizo ni mfumo mbovu wa Afya, tena kuna Tafiti imefanywa na Marehemu Dr. Nassor Hamudu na Wenzake ina mapendekezo mazuri sana mojawapo ni?tatizo siyo vitanda hata mimi naweza kusaidia vitanda!