Wana CCM naomba mhalalishe picha hizi

Wana CCM naomba mhalalishe picha hizi

Marekebisho kidogo mkuu, Huduma za afya kwa wakimbizi zina kiwango cha juu kulinganisha na mzawa. Mkimbizi halipii huduma kiukweli, viwango vya huduma kimataifa vinazingatiwa (Viashiria vya afya vinafuatiliwa kwa karibu na hatua zinachukuliwa kwa haraka) wazazi hupata nyongeza ya lishe wakati wa ujauzito mpaka atakapomaliza kunyonyesha. Hawalali mzungu wa nne au wa nane kama mama zetu pale Mwananyamala, Amana na kwingineko. Hii ni mifano michache tu nimekupatia. Ukitaka kujua zaidi fuatilia sakata la wakimbizi wa Burundi na sababu wanazozitoa ili wasirudi kwao
 
Wazungu wakitutukana sisi Manyani tusilalamike!Hawaamini kuwa tunaweza kusort out hili tatizo!Tuko tayari kununua Phd fake,kuendesha FWD ,na corruption./ufidadi etc!

Hata wakinamama Wabunge ndio hovyo kabisa.Mwanamke ana moyo,lakini no body cares plight ya wanawake wenzao hapa.CCM inanunua magari zaidi ya 200!
Hizi pesa zinaweza kununua vitanda,hata kujenga maternity wards !
Shame on me,shame on you ,i am sick to death watu wanalia crocodile tears kwa kifo cha Kawawa!
Niko tayari kutoa machozi kwa hawa akina mama watanzania wenzetu ambao hawana
uwezo!

...halafu wanaweka matangazo kwenye media eti wanataka 50%!!!..an african woman especially tanzanian can not be trusted for leadership!!! wote wamegeuka wasaka fursa tu!!! fucken opportunists!! na hasa kutoka ccm.
 
CCM kama walivyo mafisadi papa wengine hawana aibu,haya wala simile na ufujaji wa raslimali za nnchi hii, daima wanahuburi neema huku wakifuja kwa 100%, tunaomba misaada hata ya kujengewa vyoo katika lindi la uhujumu kama huo, lakini mimi nilidoubt tamgu mwanzo kabisa, huyu NDULU si alikuwapo pale BOT kama msaidizi wa Balali wakati raslimali ya nnchi yetu ikiliwa vizuri kupitia EPA, na mikaba ya hovyo ambayo G.Mgonja na wenzake waliisign kwa niaba yetu.
aliujua wizi ule vyema na ninahisi alihusika mahala fulani maana hatuambiwi hata kama alitimiza vipi wajibu wake wakati taifa nikinyonywa kwa kiwango hiko.sasa sioni ajabu sana nae akifuja kupitia ujenzi huo katika nnchi fukara kama hii, eti nasikia aliikataa nyumba ya awali kwa sababu haina bwawa na kuogelea.....aibu kwako ndulu.
CCM imeoza,imelowea katika harakati za kuangamiza taifa , wanafuja kama hakuna kesho, mimi naogopa kama watarudi tena 2010 hii, maana watakula hata mifupa yetu, walaaniwe wote wanaoinyonya nnchi hii...nasi raia tuamke tukatae ufirauni huu dhidi ya HAZINA ya taifa letu.
 
MMKJJ,

Tuwashauri Wapinzani na Wanaharakati wabebe projectors na screens waendapo vijijini waonyeshe hizi picha ili wananchi waelewe vizuri jinsi raslimali za taifa na jasho lao na nchi kwa ujumla inavyoliwa na wachache bila aibu wala huruma kwa wananchi wengine.

Ndio haya maisha bora kwa wote?
 
wapinzani wenyewe hawa kina Lyatonga Mrema, aah wapi tunaongopeana, Siasa za mageuzi zinataka watu wenye mioyo ya chuma, walio tayari kujitoa kwa faida ya wengine, hakika hawa kina Mrema hawako tayari kutuongoza kuelekea Kaanani ya kisiasa. hapa ni sisi wenyewe kuamua moja , na kuingia mitaani kuikomboa nnchi yetu, siasa za habari maelezo haziwezi kuikomboa nnchi hii mambayo Polisi na Jeshi zinaonyesha dalili zote za kuwa asasi za CCM...
 
Picha zote inapaswa atumiwe Rais wetu maana hapa ni aibu na tena dhambi sana kwa Mungu. Ipo siku moja Mungu atakasikila na kuwa shusha watu wa aina hii. Jamani ni dhambi sana kwa Mungu wetu
 
MMKJJ,

Tuwashauri Wapinzani na Wanaharakati wabebe projectors na screens waendapo vijijini waonyeshe hizi picha ili wananchi waelewe vizuri jinsi raslimali za taifa na jasho lao na nchi kwa ujumla inavyoliwa na wachache bila aibu wala huruma kwa wananchi wengine.

Ndio haya maisha bora kwa wote?

watanyimwa vibali, wataambiwa wachochezi. nchi hii viongozi wetu wakisikia elimu ya uraia na haki ya mtanzania wanaogopa. wanataka kutawala watanzania wajinga miaka yote.
 
Picha zote inapaswa atumiwe Rais wetu maana hapa ni aibu na tena dhambi sana kwa Mungu. Ipo siku moja Mungu atakasikila na kuwa shusha watu wa aina hii. Jamani ni dhambi sana kwa Mungu wetu

Zote anazo na cha kufurahisha anaingia humu JF.
 
MMKJJ,

Tuwashauri Wapinzani na Wanaharakati wabebe projectors na screens waendapo vijijini waonyeshe hizi picha ili wananchi waelewe vizuri jinsi raslimali za taifa na jasho lao na nchi kwa ujumla inavyoliwa na wachache bila aibu wala huruma kwa wananchi wengine.

Ndio haya maisha bora kwa wote?

Kwani unafikri vijijini wana raha zaidi kuliko hao waliolala kwenye sakafu mpaka wakaonyeshwe hizo picha?

Kwa kijijinini hao waliolala kwenye sakafu wataonekana wana nafuu kuliko wao , kijijini watu wanajifungua majumbani bila gloves wanatumia mifuko ya plastiki maarufu kama rambo,mjamzito akizidiwa hubebwa kwa baiskeli kupelekwa zahanati iliyopo karibu wengine hufia njiani,nimepata kushuhudia kwa macho yangu wanakijiji wanampeleka mjazito kituo cha afya wakitemeba kilomita 10 walimweka kwenye kitanda cha kamba wakipozekana kama wanabeba jeneza.
 
MMKJJ,

Tuwashauri Wapinzani na Wanaharakati wabebe projectors na screens waendapo vijijini waonyeshe hizi picha ili wananchi waelewe vizuri jinsi raslimali za taifa na jasho lao na nchi kwa ujumla inavyoliwa na wachache bila aibu wala huruma kwa wananchi wengine.

Ndio haya maisha bora kwa wote?

Tusipende kuwafanya watu wa vijijini kwamba ndio hamnazo,
ukiangalia kwa makini nutaona kwamba watu wa vijijini wanaijua vizuri siasa ya kibongo kuliko sisi tunaojiita wa mjini.

Hadi sasa unaweza kuona ni wabunge wangapi wa kutoka vyama vya upinzani wamechaguliwa katika majimbo ya vijijin ulinganishe na wanaowakilisha majimbo ya mjini halafu uniambie kati ya vijijini na mijini ni wapi watu wana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko katika maisha yao.

sisi tulio mjini ndio tuna matatizo nadhani hizo picha zinatufaa wa mjini na sio wa vijijini.

uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni unaewza kukusaidia pa kuanzia, ni maeneo yepi wapinzani wamepata ushindi mkubwa kati ya mijini na vijijini.
 
Ni aibu kubwa. Shilingi zisizozidi bilioni tano zikitumika kununua vitanda tutakuwa na ukakika kuwa hakuna mgonjwa atakayelala chini katika hospitali zetu za mkoa na wilaya. Ni muhimu tukianzia hapo. Kumbukeni pia katika bajeti ya mwaka huu wa fedha (2009/2010) Waziri wa nchi ofisi ya Rais Utumishi amepangiwa shilingi kama milioni 300 (Source: Mjadala wa Bunge la Bajeti) kwa ajili ya safari za mikoani. Kama akipunguza hizo safari kwa asimilia 50% tuna ukakika wa kupata vitanda si chini ya 1000.

Inabidi tuombe MUNGU sana na bila kuchoka.
 
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....

Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........

Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????

Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......

Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????

Mpwa Ulikuwa wewe mwenyewe ukiandika hayo maneno hapo Juuu au kuan mtu alikusaidia kuandikaaaaaa??????

Mmoja tu nadhani wewe huajakumbwa na matatizo au ulikubwa na sasa umeisha EPA sehemu na maisha kwako bomba sn sasa u dnt give a GDAMN to any one. eeeeh

Tafuadhali fikiria kwanza before you comment!!!!!

Mtazamo wangu kwako period!!!

Maskini!!!!, wengi wa mama zetu hawa hata habari elimu kama hizi za namna kura zao zinavyotumika kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya...hawazipati. Ukifika wakati wetu ule....siku chache zijazo wengi wao watakuwa hawajajiandikisha kupiga kura. Na hata wakijiandikisha habari pekee watakazokuwa nazo ni khanga, Tshirts, pilau na Ngoma ya bure kutoka kwa wagombea wao ambao wana kawaida ya kuwakumbuka kila baada ya miaka mitano. Wakati huo vijibarabara vya mitaani kwetu..huku uswazi vinajazwajazwa udongo wa uongo na kweli.

Labda cha maana atakachofanya mwanasiasa kwa hawa kinamama(mama zetu) ni kuwatembelea hapo na kujifanya mkali, na kinafki kabisa atajifanya kushangaa kwa hali anayoikuta na wakati mwingine hata kufukuza kazi kiongozi wa hospitali mbele ya TV aonekane anajali(Siasa za enzi za Zinjanthropus-UNAFIKI MTUPU!!)

Safari hii sijui!!!!
 
watanyimwa vibali, wataambiwa wachochezi. nchi hii viongozi wetu wakisikia elimu ya uraia na haki ya mtanzania wanaogopa. wanataka kutawala watanzania wajinga miaka yote.

Elnino, Never give up trying!

Mwalimu Nyerere katika moja ya hotuba zake kutoa hadithi ya kizanaki ifuatavyo:

"From the elders of my tribe I learned a wee story. Here it is in the original!

'Wakasusu, nihe wagya?
Nagya kwita Wanzugu!
Oragya kutura?
Ndagya kusaya-sayamu, Ndinukira!'

Rabbit, where are you going?
I am going to kill the Elephant!
Can you do it?
Well, I'll try, and try again!"

Kama Nyerere na wenzake waliweza kupigania Uhuru na ukapatikana hata sasa mabadiliko ya kweli kwa manufaa ya wananchi yanaweza kupatikana kwa dhamira ya kujitolea kujaribu na kujaribu hadi yapatikane.
 
Haya ya Magavana versus huduma mbovu za kijamii ndizo zinanifanya nisiwe active humu JF.

Natamani kulia. Ewe bwana Mungu waangalie hawa viongozi wabinafsi, hasira zako ziwashukie.

Aaamen!
 
Hizi picha za mama zetu wanao lala chini na zile za wanafunzi wanao somea chini kwenye madarasa yasio sakafiwa huku walimu wao wakilala kwenye nyumba za miti na zile za mama zetu wanao tembea zaidi km.10 kuteka maji ya kunywa iwa zinanitoa machozi sana kama hivi sasa nalia tu sijui tumelogwa na ninafikiri mchawi alie tuloga amesha fariki maana dawa yake ni kizungumkuti tutaandika weeeeee lakini hakuna kitu kinacho badilika mama zetu, ndugu zeetu wanzidi kutaabika.
 
Mkuu hapo watakula kobis tu. Jibu lao maarufu siku hizi ni kuwa mtoa hoja kama ya thread hii anasumbuliwa na Wivu na Chuki tu. Wao wameshaamini kuwa wa-Tanzania wote hivi sasa ni wezi (tofauti ni fursa tu) kutokana na mfumo walioujenga kwa miongo mingi haswa tangu Azimio la Z'bar. Hivyo ni vigumu sana kwa wana CCM kuwa na mtazamo (perspective) mwingine kuhusu masuala mazito ya nchi zaidi ya kudhani kwamba tatizo ni wale wanaotaka kuwanyang'anya fursa ya ulaji na kula wao. Na ukiangalia trend ya ulaji tangu awamu ya kwanza (yes, awamu ya kwanza) kufikia kilele cha enzi za BWM utaona kuwa kuna utashi wa kutaka kuvunja rekodi ya waliotangulia.
Wakati mwingine nawasikitikia JK na timu yake kwamba wameingia kipindi ambacho jamii imepata ujasiri wa kuwabana na kuwaadhiri mara wanapotaka kutia mkono pasipostahili. Aidha, hawana bosi ngangari asiye na unafiki wala simile kama alivyokuwa BWM inapokuja kwenye harakati zao za kuhujumu nchi. The main point is that sentimentalism has no place in CCM echelons. the leadership is a ruthless bunch of rascals.
 
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....

Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........

Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????

Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......

Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????

This is not fair. Sasa hawa akina mama wamekosa nini hata uwaporomoshee matusi kiasi hiki? Inabidi uombe radhi kwa ufedhuli huu. Honestly...
 
Back
Top Bottom