Wana CCM naomba mhalalishe picha hizi

Wana CCM naomba mhalalishe picha hizi

Wana JF!

"HESHIMA MBELE NA MASLAHI YA WATANZANIA MBELE".

Dhahama hii wanayoipata kinamama wa Tz ni haki yao. Tukumbuke kwamba wakati ule pilikapilika za kuutafuta utawala, kamapeni kubwa ilielekezwa kwa akinamama. Kumbukeni "Nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda na hata shuka kwa shuka". Khanga na vitenge teletele kwa raha zao. Hatimaye wakashangilia hadi wengine tangu kuzaliwa kwetu, hatukuwahi kuyaona magego yao, lakini siku ile niliweza kuyaona hadi vidaka tonge kwa furaha waliyokuwa nayo.

Matokeo yake ndiyo haya. Acha waminyane kwenye hizo wodi nadhani ndiyo watajirudi na kutia akili.

Ni jambo ninaloliamini kwamba kama nusu ya hao kinamama watauunga mkono katika kuleta mabadiliko ya kiuongozi Tanzania, nina hakika kwamba enzi za mateso haya zingekwisha kabisa.

Kuna ndugu yangu aliwahi kuniambia kwamba "Kinamama wangekuwa si wasahaulifu wasingezaa mara mbili". Hivyo kwenye picha hizo wanaonekana wana nyuso za huzuni na simanzi lakini ngoja ifike Oktoba 2010, yote hayo watakuwa wamesha yasahau.

"MUNGU WAPE KINAMAMA WETU PUMZI YA KUTOKUSAHAU ILI ANGALAU NUSU YAO IUNGE MKONO MAPAMBANO YA KUIKOMBOA NCHI YETU KUTOKA MIKONO YA MAFISADI". AMINA!
 
kila mtu anapewa kitu alichotaka
Gavana amesema anataka nyumba nzuri ya kuishi la sivyo hawezi kufanya kazi yenye lawama namna hii na amepewa, ni haki yake. ccm ikimwambia gavana tunataka hela ya magari 200, gavana anawapa.

wakina mama wamesema wao wanataka kanga za kijani na njano, ccm imewapa. ccm ikawaambia tumekupeni mnavyotaka na nyinyi tupeni kura wakawapa za urais, ubunge na udiwani.

wakati umefika na wao kutaka hospitali, nyumba kama ya gavana na mengineyo???
wasipopata wanavyotaka wanapigie vyama vingine

huwezi amini ikifika wakati wa uchaguzi watapewa tena kanga za kijani na njano, pilau halafu watapigia nambari wani.
 
Mkuu Vangi na Wana JF wengine,

Kwa maoni yangu huyu jamaa yetu Boss alitaka kuiyeyusha hoja ya msingi na kutupeleka nje ya mada na ninaona tumeingia kwenye mtego wake. Nawashauri tuamue kubeza mawazo yake na tuendelee kujadili hili la umuhimu na gharama ya nyumba ya Gavana wa nchi inayoitwa masikini ya Tanzania vis a vis huduma muhimu za jamii jamii.

Tiba

Tiba mie kila mara nawapa ushauri wana ukumbi huu kuachana na mawazo hovyo hovyo .Kuna watu hata akili za kawaida ama commos sense hawana at all .Uananza kuacha hoja na kumjadili kumbe yey aliyokea kunywa vodka kachoka na na ana enjoy ufisadi . naaungana nawe tuendelee kukata hoja . Hoja ni kutofautisha picha hizo basi tuendelee
 
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....

Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........

Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????

Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......

Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????

The BOSS you might have missed the primary point. Here the point is why Government wrongly prioritise things on personal interest while the PUBLIC is left unattended?
 
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....

Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........

Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????

Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......

Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????

Mod,
Samahani sijawahi kutoa kutukana ndani ya ukumbi huu. Lakini hii imeniwia vigumu hii kupita hivi hivi. Haikosi huyu ni miongoni mwa uzao wa kina chenge na wengine wasiofahamu kwa nini umma wa Watanzania waendelee kutegemea huduma za serikali kama elimu, afya n.k

Huyu jamaa ni *%*#+@ kabisa. Naomba nisiendelee zaidi
 
Hivi, let me ask a very stupid question:
WHY Gavana asijenge nyumba yake mwenyewe ikiwa analipwa 18,000,000/- TAS kwa mwezi, acha allowances, per diems, katakatas, etc.

Sisi ni wajinga. Civil war ni muhimu kwa Tanzania kwa sasa. Amani tuliyonayo itatumaliza kwani kuna mijitu isiyo na discipline kabisa na mali za watanzania.

We need to be all against. Forget about phucken kura na uchaguzi. We need as a public to have to nominate who will lead us and in case he lead us or we see any chances of being led astray, we remove him by hand and squeez his testikos hardly. By this we will have responsible leaders.

We must declare WAR immediately ad say STOP!!! Enough is enough!

It is completely non sense to deny students loans and build a mansion for STUPID leaders.

NONSENSE I must say.

Will come back!!
 
Alafu sikiliza hotuba zao zilivyojaa majigambo. Kwa ushahidi ni hotuba ya juzi tu ya JMK. Hawana aibu hawa! naomba hizi picha ziwekwe kwenye magazeti!
Ajabu utasikia watu wakiandamana kuiunga hotuba hiyo mkono, na wengi watakuwa wakina mama.
hivi wa tz tumelogwa?

Nami hii inanipelekea nikubali nihisi kama si kukubali kuwa wengi wetu ndio wapumbavu, maana tunadanganyika mara kadhaa hivihivi. Kwa kuwa wengi ndio wanaoadhirika na ufisadi huu, tena ambao wakiambiwa hawaelewi, ukiwakumbusha yaliyopita, hawataki kuelewa basi tuwaache wvunjike guu zao. Wewe chukua zako na usipoteze muda kuwatetea hawa, kama wakivyopanua miguu yao kwa hiari, ndivyo watakavyotoa kura zao kwa hiari. Walidanganyika na kukubali, ndivyo watakavyozidi kudanganyika na wataendelea kuteseka.

Padri mmoja alikuwa anaendesha gari kwenye mteremko mkali na wenye kona kali sana. Nyuma yake alikuwa akifuatwa na mtu ambaye naye anaendesha gari, kwa kuwa mtu yule alikwa amelewa sana, basi akawa anayumbayumba sana. Padri yule akawa anamwona mlevi kwa kioo cha gari kwa nyuma, akawa anamshangaa na kumwaangalia! Mara yeye (Padri) akagonga kwanye mti, huku mlevi akiyumba na kufanikiwa kumkwepa na kupaki gari lake pembeni vizuri kabisa.

Hivyo nawe ukizidi kupiga kelele na kuwahangaikia kama hoa akina mama, yaliyo mkuta padri huenda yakakukuta nawe pia. Zingatia mambo yako, hao ndio wengi na ndio wanaotoa kura zao kwa mafisadi.

Mfano ukiangalia kule Monduli, wamasai wenyewe wanamshabikia, kumlaki, na kumsifu mbunge wao kwa tuhuma. Hata kama ripoti bado haijasomwa, lakini ni jambo la kusubiri washabikie ushindi na sio tuhuma.
 
Kwanza hilo liBen Ndullo ni lijinga. Ikumbukwe lilishawahi kutuambia umma kuwa global economic recession haitaiathiri TANZANIA. Mara baadae Rais anatoa STIMULUS. Tanzania imejaa MAJINGA hasa viongozi wao.
 
Serikali ya CCM chini ya Rais Kikwete ambaye anatarajiwa kuwa mgombea wa CCM mwaka huu imehalalisha na kukubali matumizi ya karibu shilingi bilioni 3 kujenga upya nyumba mbili kwa ajili ya maisha ya kifahari ya Gavana wa Benki kuu na manaibu wake. Wamefanya hivyo kwa sababu mikataba ya hawa watumishi inawataka wapatiwe vitu hivyo vinginevyo wangegoma kufanya kazi BoT. Mastahili ya hayo yanazidi yale ya Magavana wa Benki kuu za Uingereza na Marekani!

16badyu.jpg

xqhop2.jpg

Hizi ni picha zilizochukuliwa katika wodi ya kina mama waliojifungua wakiwa wanapumzika pale Hospitali ya Temeke. Ni hali ndiyo ilimfanya mwanamapambo Naomi Campbell..
Temeke+Hostital

Temeke+Hospital+2

article-0-0733CA59000005DC-875_468x686.jpg

SWALI: NANI ANASTAHILI ZAIDI KATI YA GAVANA WA BENKI KUU ILIYOGUBIKWA NA UFISADI ULIOKUBUHU NA KINA MAMA HAWA NA WACHANGA WAO?

Kweli Serikali ni ya kulaumiwa iwapo haitochukuwa hatuwa kwa hili , Lakini nasita kuilaumu CCM peke yake bali wanasiasa wote hata wa upinzani kwani si wanakuwa na kaumoja fulani katika kujenga matabaka ya wanaostahili kula zaidi, kupata raha zaidi,malpo bora zaidi na mengineyo.
 
Serikali ya CCM chini ya Rais Kikwete ambaye anatarajiwa kuwa mgombea wa CCM mwaka huu imehalalisha na kukubali matumizi ya karibu shilingi bilioni 3 kujenga upya nyumba mbili kwa ajili ya maisha ya kifahari ya Gavana wa Benki kuu na manaibu wake. Wamefanya hivyo kwa sababu mikataba ya hawa watumishi inawataka wapatiwe vitu hivyo vinginevyo wangegoma kufanya kazi BoT. Mastahili ya hayo yanazidi yale ya Magavana wa Benki kuu za Uingereza na Marekani!

16badyu.jpg

xqhop2.jpg

Hizi ni picha zilizochukuliwa katika wodi ya kina mama waliojifungua wakiwa wanapumzika pale Hospitali ya Temeke. Ni hali ndiyo ilimfanya mwanamapambo Naomi Campbell..
Temeke+Hostital

Temeke+Hospital+2

article-0-0733CA59000005DC-875_468x686.jpg

SWALI: NANI ANASTAHILI ZAIDI KATI YA GAVANA WA BENKI KUU ILIYOGUBIKWA NA UFISADI ULIOKUBUHU NA KINA MAMA HAWA NA WACHANGA WAO?

I thought lawama ziende kwa SERIKALI, kumbe ni kwa CCM?
 
Mwanakijiji,

Asante sana mzee kwa hizi picha nilikuwa naomba kama ikiwezekana ile picha ya kwanza na jengo la gavana ziwekwe pamoja. Hii inatosha kuonyesha Tanzania mbili, moja ambayo watu wengi wanaifahamu nyingine inayofuraiwa na wachache.

Kitu kingine kinachoniumiza kichwa hawa wapinzani wako wapi? Hizi ndio hoja za kushikia bango! Waachane na operesheni sangara ambazo ni vigumu kwa mwananchi wa kawaida kuelewa.
Rufiji,
Sina hakika kama unafahamu mazingira halisi ya Operation Sangara. Umstushwa na hii picha baadaya ya kuonyeshwa kwenye mtandao. Hata tungelizishikia bango zitafikaje vijijini? Ni dhahiri huna touch na reality ya vijijini! Ungelituuliza tunaofanya Operation Sangara tungelikupa picha kamili. Nenda Handeni hata dishi za Satelite (kuona TV) ziko katikati ya mji tu, tena nyumba za vigogo. Nenda kijiji chochote iwe Handeni au Kilindi ambapo hata simu ya kawaida ya Kigaganjani au haipo au lazima upande juu ya mti mrefu au mlima kupata mtandao. Magazeti yako Handeni mjini tu, tena ya siku ya baadaye. Hivyo, Operation Sangara katika vijiji vingi nchini, (siyo Tanga tu) ndiyo njia pekee ya kupeleka elimu kwa wananchi walio wengi. Ni bahatimbaya kila kinachosemwa kwenye Operation Sangara hakiwafikii ndugu zetu mlio mbali kwani waandishi wanaandika wanayopenda kuandika. Lakini ingelifaa siku mmoja kuwekewa live kila kinachowekwa katika hotuba za Operation Sangara ndipo muweze kuthamini operation Sangara na muweze kuelewa vizuri. Kwa mtu ambaye hayuko on the ground ni rahisi sana ku comment kama ilivyo kwa mtu anayetazama mpira wa miguu kutoka nje, na asiweze kuelewa mpiga penalty anashindwa kuingiza mpira kwenye goal!!! Tunahitaji kutafakari sana siyo tu hali ya elimu ya wananchi wetu lakini pia namna ya kufikisha elimu hiyo kwa wananchi wetu zaidi ya asilimia 80 wanaoishi vijijini. Isitoshe, ni vema kufahamu kuwa Tanzania ina vijiji zaidi ya 12,500 kabla ya ( uandikishaji uliofanyika kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa). Ni vema mtu makini akafikiria jinsi ilivyo ngumu kufikia vijiji hivyo katika muda mfupi. Hata ungelitembea bila kulala, bila kula unahitaji siku 12,500( ongeza na vijiji vilivyoongezeka). Mwaka mmoja una siku 365(6). Sasa fikiria unahitaji kusafiri miaka mingapi kufikia vijiji vyote. Rahisi kuwa critical, lakini ngumu sana kutoa "solution" sahihi kukomboa taifa hili.
 
Asante sana Dr. Slaa kwa ufafanuzi wako lakini ni vizuri kila fursa inayotokea ikatumika vizuri kwa mfano yangetengenezwa Mabango Mazuri yanayoonyesha Hizo myumba pamoja na Hizo wadi hata shule kwa mfano kuna shule moja picha yake ililetwa hapa Juhudi Primary school huko kigoma, Sehemu nyingine ni vizuri Illustration zikatumka ili wananchi waelewe vipaumbele vya serikali waliyoiingiza madarakani then waamue kama wako tayari kuipa ngwe nyinge

Mambango yangekuwa na Picha na maneno kama Shame on you nakadhalika
 
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....

Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........

Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????

Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......

Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????

Kweli wewe ni JF Senior Expert Member na unaongea upuuzi kama huu??It is either wewe una miaka kumi na mbili au hauna uchungu na jinsi kina mama hawa wanaojifungua kwenye mazingira haya.Kumbuka huduma bora za afya ni haki ya kila Mtanzania.Pia nina wasiwasi haukuielewa post ya MMK.Usikurupuke na kujiaibisha hapa ili mradi uonekane umepost comments zako ambazo hazina mantiki.Think before writing/talking!Wewe hauna tofauti na hao CCM then kwa sababu unakubaliana na hali hiyo..eti unawalaumu wakina mama.Kwa hiyo ulitaka wajifungulie makwao?Ningekuita jina linalokustahili lakini nimestahi kwa sasa!Amazing!!!
 
Ukiangalia fixtures chache zinazoonekana ndani ya hospitali (pichani) pia na hali ya sakafu na kuta, inaridhisha kabisa. Ikonyesha kua ingalao kuna mtu wa serikali ya CCM anajali. CCM kwa ujumla ni failure lakini hapo hospitali ingawa hali ya msongamano si nzuri lakini inakubalika kabisa.
Nafurahi kua wengi wa watoa hoja wamelaani msongamano wa akina mama lakini kila mmoja anaridhika kua matibabu ni bora, kitu ambacho ndio muhimu.
Hao wazazi kwenye picha wanahali nzuri kabisa na wanaonekana wakiwa na furaha.

Hoja hapa ni kwamba inakuwaje kuwe na msongamano kama huo wakati Ndullu kaingia juzi kwenye jumba lililojengwa kwa zaidi ya shilingi bilioni 1? Kwa nini kusiwe na hospitali nyingi zaidi zitakazojengwa kwa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyo ya lazima, kama ujenzi wa nyumba za wakubwa kwa gharama za juu kupita kawaida, na kupunguza safari nje ya nchi tena kwa makundi ya watu wengi kupindukia!

Hoja siyo akina mama kuwa na afya hapo ndugu yangu!!! Hapa tunaongelea vipaumbele vyetu kama watanzania kupitia Serikali yetu. Naogopa zaidi kwamba hata safari za wakubwa hawa nje ya nchi huwa zinaujumbe pengine usiobeba vipaumbele muhimu kupunguza matatizo ndani ya Nchi yetu. Pengine hotuba zenyewe nje huishia tu kuongea masuala yenye maslahi zaidi kwa kundi la watu na si umma wa watanzania.

Tumwombe Mungu wetu ili asaidie kutokomeza fikra kama hizi zinazoweka watu wetu kuishi kama wakimbizi makambini!!!
 
Rufiji,
Sina hakika kama unafahamu mazingira halisi ya Operation Sangara. Umstushwa na hii picha baadaya ya kuonyeshwa kwenye mtandao. Hata tungelizishikia bango zitafikaje vijijini? Ni dhahiri huna touch na reality ya vijijini! Ungelituuliza tunaofanya Operation Sangara tungelikupa picha kamili. Nenda Handeni hata dishi za Satelite (kuona TV) ziko katikati ya mji tu, tena nyumba za vigogo. Nenda kijiji chochote iwe Handeni au Kilindi ambapo hata simu ya kawaida ya Kigaganjani au haipo au lazima upande juu ya mti mrefu au mlima kupata mtandao. Magazeti yako Handeni mjini tu, tena ya siku ya baadaye. Hivyo, Operation Sangara katika vijiji vingi nchini, (siyo Tanga tu) ndiyo njia pekee ya kupeleka elimu kwa wananchi walio wengi. Ni bahatimbaya kila kinachosemwa kwenye Operation Sangara hakiwafikii ndugu zetu mlio mbali kwani waandishi wanaandika wanayopenda kuandika. Lakini ingelifaa siku mmoja kuwekewa live kila kinachowekwa katika hotuba za Operation Sangara ndipo muweze kuthamini operation Sangara na muweze kuelewa vizuri. Kwa mtu ambaye hayuko on the ground ni rahisi sana ku comment kama ilivyo kwa mtu anayetazama mpira wa miguu kutoka nje, na asiweze kuelewa mpiga penalty anashindwa kuingiza mpira kwenye goal!!! Tunahitaji kutafakari sana siyo tu hali ya elimu ya wananchi wetu lakini pia namna ya kufikisha elimu hiyo kwa wananchi wetu zaidi ya asilimia 80 wanaoishi vijijini. Isitoshe, ni vema kufahamu kuwa Tanzania ina vijiji zaidi ya 12,500 kabla ya ( uandikishaji uliofanyika kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa). Ni vema mtu makini akafikiria jinsi ilivyo ngumu kufikia vijiji hivyo katika muda mfupi. Hata ungelitembea bila kulala, bila kula unahitaji siku 12,500( ongeza na vijiji vilivyoongezeka). Mwaka mmoja una siku 365(6). Sasa fikiria unahitaji kusafiri miaka mingapi kufikia vijiji vyote. Rahisi kuwa critical, lakini ngumu sana kutoa "solution" sahihi kukomboa taifa hili.
Inafurahisha na kupendeza saana viongozi wanapojitokeza na kujibu yale yanayolekezwa kwao. We hope next General Secretary wa CCM atakuwa anakuja kuchungulia hapa maana Makamba wakati wake umepita ndio maana na maamuzi na majibu yake huwa ya kuchekesha hata pale seriousness inapohitajika.
Mh Dr Slaa, tathmini yako ni nzuri katika kutetea opereshen Sangara. Lakini output haifanani na nguvu hiyo. Binafsi nautazama mfumo wa vyama vingi Tanzania km mfumo uliofeli. Yaani unakuwa hakuna tofauti na asasi zisizi za kiserikali nikimaanisha NGO's. Maana kelele zao zinafana. Hivi tukijiuliza hali ya upinzani takribani miaka 15 toka uanze unazidi kulega au kuimarika? Angalia tathmini ya kura za Rais na wabunge mwaka 1995 na hali ya sasa. Tunaelekea wapi?
Pia maoni ya ukubwa wa nchi yapo sahihi. Lakini wewe Slaa huwezi kuzunguka na Mbowe nchi nzima eti OPresheni Sangara. Jengeni uwezo mikoani maana chama kinaonekana km baadhi ya watu wakikaa pembeni nacho kimedidimia. Wawezesheni hao wenyeviti wa Mikoa (natambua mna kitu kinachoitwa kanda). kwa ukubwa wa nchi na strategies mnazotumia itawachukua miaka 50 (sina hakika km mtakuwa hai) mbeleni kujiimarisha. Jaribuni kudelegate na muwe wafuatiliaji wa malengo na mpime mafanikio. Kwa kuanzia wekeni target ya idadi wa wabunge mwaka huu.
 
Wazo zuri but nikuulize swali unaweza kudelegate pasina kuwa na kitu mfukoni??? Hivi unaijua bajeti ya CCM ni mara nne ya vyama vengine??? Kufeli kwa mfumo wa vyama vingi umechangia na wapinzani na pia serikali yenyewe. Haiwezekani chama kimoja kinapewa pesa mara mbili au tatu ya vyama vengine (zikiwamo nyanja za ufisadi).

Usiwalaumu kina slaa mzee wanajitolea vya kutosha cha msingi, mie nadhani wanashindwa kedelegate kwasababu hawana kitu. Hivyo wanapunguza gharama kwa kuwa wanakwenda wenyewe huko. mie nadhani tukitaka uwiano na ushindani halisi kuwapo na usimamizi wa nyanja za pesa kwa vyama vyote.
 
Inafurahisha na kupendeza saana viongozi wanapojitokeza na kujibu yale yanayolekezwa kwao. We hope next General Secretary wa CCM atakuwa anakuja kuchungulia hapa maana Makamba wakati wake umepita ndio maana na maamuzi na majibu yake huwa ya kuchekesha hata pale seriousness inapohitajika.
Mh Dr Slaa, tathmini yako ni nzuri katika kutetea opereshen Sangara. Lakini output haifanani na nguvu hiyo. Binafsi nautazama mfumo wa vyama vingi Tanzania km mfumo uliofeli. Yaani unakuwa hakuna tofauti na asasi zisizi za kiserikali nikimaanisha NGO's. Maana kelele zao zinafana. Hivi tukijiuliza hali ya upinzani takribani miaka 15 toka uanze unazidi kulega au kuimarika? Angalia tathmini ya kura za Rais na wabunge mwaka 1995 na hali ya sasa. Tunaelekea wapi?
Pia maoni ya ukubwa wa nchi yapo sahihi. Lakini wewe Slaa huwezi kuzunguka na Mbowe nchi nzima eti OPresheni Sangara. Jengeni uwezo mikoani maana chama kinaonekana km baadhi ya watu wakikaa pembeni nacho kimedidimia. Wawezesheni hao wenyeviti wa Mikoa (natambua mna kitu kinachoitwa kanda). kwa ukubwa wa nchi na strategies mnazotumia itawachukua miaka 50 (sina hakika km mtakuwa hai) mbeleni kujiimarisha. Jaribuni kudelegate na muwe wafuatiliaji wa malengo na mpime mafanikio. Kwa kuanzia wekeni target ya idadi wa wabunge mwaka huu.
bnhai,
Thanks advice noted. As well as advice on Mabango noted. Niseme tu kwa yeyote anayetaka kuona ufanisi au tathmini ya operation Sangara atazame matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Bussanda na Biharamulo. Kazi mmoja kubwa ya Operation Sangara ambayo pia haitangazwi ni kujenga mtandao wa chadema katika vijiji vingi. Mtandao unaozungumzia unaanzia kwenye Operation Sangara, na matokeo yake yameisha kuanza kuonekana. Najua utazungumzia kwanini matokeo hayakuwa mazuri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, nadhani kama anayetaka atarejea maelezo yangu kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa atajua kwanini tulilalamika kuwa uchaguzi huo ulikuwa wa kihuni, na nilitoa sababau za kimsingi ambazo hadi leo Serikali imeshindwa kuzijibu pamoja na Mhe. Kombani kujaribu kujitetea. Ni kwa msingi huo watanzania wasipoamka na kulinda haki zao za msingi uhuni huo utajirudia. La msingi hapa ni performance ya Operation Sangara, ambayo sisi tunaoifahamu in and out tunaridhika sana, na matokeo yake tumeyaona. We only need to complete the 13 remaining regions before June. A political earthquake will be reckoned very soon. I hope Operation Zinduka of CUF will also add fuel and firewood to it.
 
Very well said Mh Padre.Dr.KM W. Slaa .
Utanisamehe na kuanza na upadre lakini hii title haifi naamini walijua hili . Ndugu Slaa mimi binafsi nayajua mazingira ya wapinzani na siasa on the ground is hard ila hapa vijana wetu wengi wanakunywa chai ya maziwa na mkate wa siagi wako Ulaya na Marekani na hawajaenda Tanzania for a very long time so they got no idea wanabakia kusoam tu na kusema watakalo bila ya kujua uhalisia wa siasa za Tanzania .

Mimi nawapa wapinzani serious ambao si akina Mrema hongera sana .You have said it well na hii imeonyesha ukomavu mkubwa na nia njema kwamba Op Zinduka ikamate kasi na moto uwake zaidi .Najua makes makes CCM na watu hapa wahahe .

Jambo moja nalo ni kulia na Tume ya Uchaguzi ndugu Slaa . Bila ya kuona Tume huru nasema juhudi zote ni bure. Kumbuka uchaguzi wa Tarime na Tossi alicho kifanya . Unakumbuka nilikuita nikakupa ushahidi wa Toss na ukaenda hewani ikawa nafuu .

Slaa kuna kilio kwamba mkiwa kweney Sangara Op hamsemi mabaya ya CCM na kuwapa wananchi Mbadala kwamba nyie Chadema mnataka kufanya nini juu ya matendo hayo. Mimi najua huwa mnasema maana nimekuona Mkaoni Mara , Dar , Mwanza na nimesikia mnasema mbadala lakini leo wajibu wadau ni kwa nini Chadema hawasemi wanataka kufanya nini badala ushambulia tu kama inavyo aminiwa hapa forum ?
 
bnhai,
Thanks advice noted. As well as advice on Mabango noted. Niseme tu kwa yeyote anayetaka kuona ufanisi au tathmini ya operation Sangara atazame matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Bussanda na Biharamulo. Kazi mmoja kubwa ya Operation Sangara ambayo pia haitangazwi ni kujenga mtandao wa chadema katika vijiji vingi. Mtandao unaozungumzia unaanzia kwenye Operation Sangara, na matokeo yake yameisha kuanza kuonekana. Najua utazungumzia kwanini matokeo hayakuwa mazuri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, nadhani kama anayetaka atarejea maelezo yangu kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa atajua kwanini tulilalamika kuwa uchaguzi huo ulikuwa wa kihuni, na nilitoa sababau za kimsingi ambazo hadi leo Serikali imeshindwa kuzijibu pamoja na Mhe. Kombani kujaribu kujitetea. Ni kwa msingi huo watanzania wasipoamka na kulinda haki zao za msingi uhuni huo utajirudia. La msingi hapa ni performance ya Operation Sangara, ambayo sisi tunaoifahamu in and out tunaridhika sana, na matokeo yake tumeyaona. We only need to complete the 13 remaining regions before June. A political earthquake will be reckoned very soon. I hope Operation Zinduka of CUF will also add fuel and firewood to it.
Mh Dr Slaa, Mimi binafsi nifmuatiliaji wa karibu saana wa vyama vya siasa na siasa za nchi yetu. Unadhani inatosha tu kwa nyie mli ondani ya chama kueleza mafanikio yanapatikana? Sisi nje tutajiridhisha vipi? Hali ya Busanda na Tarime, binafsi naitazama tofauti. Kumbuka katika uchaguzi mkuu mtakuwa mna majimbo mengi na focus haitakuwa busanda tu. Nguvu za Busanda zilisaidia na udogo wa eneo. Lakini lazima niseme effort zeto ni commendable tutawaunga mkono.
Labda km unaweza kunijibu (maana hata serikali zilizopo madarakani huulizwa haya). Malengo yenu ya uchaguzi 2010 ni majimbo mangapi?
 
bnhai,
thanks advice noted. As well as advice on mabango noted. Niseme tu kwa yeyote anayetaka kuona ufanisi au tathmini ya operation sangara atazame matokeo ya uchaguzi mdogo wa bussanda na biharamulo. Kazi mmoja kubwa ya operation sangara ambayo pia haitangazwi ni kujenga mtandao wa chadema katika vijiji vingi. Mtandao unaozungumzia unaanzia kwenye operation sangara, na matokeo yake yameisha kuanza kuonekana. Najua utazungumzia kwanini matokeo hayakuwa mazuri wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, nadhani kama anayetaka atarejea maelezo yangu kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa atajua kwanini tulilalamika kuwa uchaguzi huo ulikuwa wa kihuni, na nilitoa sababau za kimsingi ambazo hadi leo serikali imeshindwa kuzijibu pamoja na mhe. Kombani kujaribu kujitetea. Ni kwa msingi huo watanzania wasipoamka na kulinda haki zao za msingi uhuni huo utajirudia. La msingi hapa ni performance ya operation sangara, ambayo sisi tunaoifahamu in and out tunaridhika sana, na matokeo yake tumeyaona. We only need to complete the 13 remaining regions before june. A political earthquake will be reckoned very soon. i hope operation zinduka of cuf will also add fuel and firewood to it.
dr slaa
je kwanini nyinyi na cuf msikae mkafikiria kuungana jamani.
Hichi ni kilio kikubwa sana cha wananchi.
Freeman hataki kugombea urais, mumsimamishe lipumba na nyinyi wengine msukume chama mbele na muongeze idadi ya wabunge
 
Back
Top Bottom