Wacha
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 1,052
- 287
Boss
 
Naomba ufute usemi wa kwamba ''sio kila kitu utegemee serikali'' tunaongelea Hospitali.
I mean waambie hao serikali wasichukue kodi basi? Walipa kodi wanalipa hiyo kodi ili ifanye shughuli kama hizi. Kama haifanyi shughuli kama hizi inapeleka wapi hizo pesa?
Wananchi hawalipi kodi ili Chama Cha Majambazi wakanunulie wake zao shopping kule ulaya? Tunadai haki ya kikatiba ambayo serikali inatakiwa kufanya. Hatuombi msaada hapa hizi ni pesa zetu ambazo serikali inakusanya kufanya yale ambayo wananchi tunataka ifanye.