Naona wengi wanaponda walokole, kwa uchunguzi wangu nliofanya kwa miaka mingi, hapa duniani watu walio kwenye njia sahihi ya kwenda kwa Mungu sio wakatoliki, sio waislamu, sio wabudha, ni wakristo walokole wale wa ukweli ambao huishi maisha matakatifu ndani na nje, walio dedicate maisha yao kwenye kufunga , kuomba na kusoma biblia
Mfano mchawi mwenye macho ya rohoni akimwangalia mtu kwenye ulimwengu wa roho, hasa mlokole ataona jinsi alivyozungukwa na ulinzi wa Mungu, huyo mchawi atajua tu huyu aidha ni mlokole wa kweli, mchawi mwenzangu, au mdhambi tu
Tatizo walokole wa ukweli ambao majina yao yapo kwenye kitabu cha uzima ni wachache sana, walokole wengi aidha ni feki, au shetani amewateka bila wao kujua..wakidhani wakifa wataenda mbinguni kumbe bado kuna vitu vya shetani kwenye maisha yao ambavyo vitawazuia kwenda mbinguni.