Walokole wengi nuksi sana

Walokole wengi nuksi sana

Siku hizi hamna walokole kuna waoiga dili mjini...siku ukibahatika kujua yanayoendelea juu ya haya makanisa pendwa hutopata presha, yaani mm nitawaamini kama siku wakimponesha kilema ninayemjua mm tangu nazaliwa sio hawa wanaotokea kusuprise madhabauni...........WAPIGA DILI MJINI
 
Wanipige msumari wa Neno li Mungu, labda mbele za watu ila lazma anizungukie kunitongoza..... Hao ndo walokole
Huyo siyo mlokole, mbona hamsemi kuwa ni "mlokole feki"? Walokole feki wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwamwitu, wamo wengi ndani ya kanisa. Kama mnawasema hao, ninakubaliana nanyi kwa 100% but it seems you are generalizing all in the same consignment.
Ukweli unabaki pale pale, walokole wa kweli (the faithful ones before the Lord's eyes) wapo BUT are very few!
 
Kuna ka ukweli hapo. Wengi ujioni wakamilifu kuliko wengine, huwadharau wasio sali kwenye makanisa yao, kama wewe sio mlokole uwezi oa au kuolewa na wakwao.....kama itatokea basi nadra sana tena kwa shinikizo....na kweli kwenye maubiri yao kina Lutheran, na katoliki watakoma
Huwa ni unafiki tu, mbona kwenye mikutano ya Mwakasege ambaye ni Mluteri wanajazana utadhani mikutano wameandaa wao?!

Wabadilike tu.
 
Waloloke, wakatoliki karismatiki, waislam sala 5 na wasabato ni watu wabaya sana. Zaidi ya unavofikiria. Ni wachoyo na wana roho na chuki za kichoyo. Nakuambia kutoka kwa experience.
Hawa watu wa dini dini ni watu wabaya sana.
Bora sisi tusio na dini lakini tunaishi ktk misingi ya "RIGHT na WRONG"
Hapo kwenye red fafanua...
 
Nina mama yang mdogo ni mlokole enzi ya utoto (16yrs) niliwahi kumkuta kwenye mabanda ya uwani yupo na lijamaa linamgegeda,akaniwahi kunishtaki kwa mjomba kuwa nilikuwa namchungulia chooni aisee nilikula bakora za maana lakini sikusema ukweli kama nilimkuta anagegedwa Ili kumlindia heshima,nikakubali kosa la uongo la kumchungulia chooni,hadi leo nikimuona roho inaniuma sana.
mi nkajua akakupa game ili kukuziba mdomo,vipi alikuwa na chura?🙂🙂🙂
 
Dini zote upumbavu tuu...totally nonsenses...sema hao wamezidi aisee
Tatizo Kubwa Lililopo Katika Dini Hizi Ni Kutaka Kumwelewa Mungu Kwa Mitazamo Ya Dini Husika. Hata Huu Mgawanyiko Wa Madhehebu Ni Muendelezo Uleule Tu Wa Kuhisi Kuwa Dhehebu "A" Halielezi Vizuri Kuhusu Mungu, Tuanzishe Dhehebu "B" Ili Tumwelezee Vizuri Zaidi.
Hapo Ndipo Kunapoibuka Watu Wa Dhehebu Fulani Au Kikundi Fulani Kujiona Bora Kuliko Wengine.
Yapo Yale Makanisa Mengine Kazi Ni Kuhubiri Mafanikio Tu, Hayana Muda Wa Kuwalisha Neno Waumini. Wao Ibada Nzima Ni Kuzungumzia Majumba Na Magari Ya Kifahari. Hawa Kama Husali Kwao Wanakuona Kapuku Tu.
Nadhani Ni Wakati Sasa Wa Kumtafakari Mungu Bila Kuwa Na Mitazamo Ya Dini Wala Madhehebu Yetu Ili Tuweze Kumwelewa Vizuri Zaidi Na Kuacha Majivuno.
 
Huyo siyo mlokole, mbona hamsemi kuwa ni "mlokole feki"? Walokole feki wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwamwitu, wamo wengi ndani ya kanisa. Kama mnawasema hao, ninakubaliana nanyi kwa 100% but it seems you are generalizing all in the same consignment.
Ukweli unabaki pale pale, walokole wa kweli (the faithful ones before the Lord's eyes) wapo BUT are very few!
Sijawahi kuona mlokole ana roho nzuri, na sio mlokole tu wafia dini wa dini zote ni watu wa ovyo
 
Sijawahi kuona mlokole ana roho nzuri, na sio mlokole tu wafia dini wa dini zote ni watu wa ovyo
Basi nakupa pole, hiyo ni abnormal coincidence! Kwa uzoefu nilionao, watu wenye majini ndio wana allergy na walokole (I don't mean walokole feki)! Majini yao huwa yanapata shida sana.
 
Hiyo tafsiri umeinukuu wapi? Na vipi kuhusu ambao si walikole, unawa-define vipi?

Vv
Hiyo tafsiri inapatikana hata kwa yesu mwenyewe ningekuwa na muda ningekuonyesha uongo wa makanisa ya Leo mfano fungu la 10 soma sawasawa biblia kuusu fungi la 10 na hekaru utagundua utapeli unaoendelea makanisani
 
Kuokoka ni kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako . Baada ya tendo hilo unaacha kabisa mambo yote mabaya na unahesabiwa haki bure, unazaliwa upya kwa jinsi ya roho na kuishi kwa kumtegemea Mungu kwa 100%.
Kama ni hivyo mbona akuna neno mlokole au ulokole kwenye biblia acha wehu wewe yesu alikuja ili watu wawe watakatifu siyo walokole nyinyi ndo mnawaita watu wawe walokole mbona uelewi wewe boya utaelewaje wakati ni mlokole = unafiki + usukule
 
We should Strive for spirituality rather than religiosity.
 
Kwenye ubinafsi na dharau nakuunga mkono
 
Dah usiombe uwe na walokole kadhaa ofisini utajuta *****
 
Back
Top Bottom