Walokole wengi nuksi sana

Walokole wengi nuksi sana

Walokole wote wanafki. Kwanza wanajiona wao tayari washafika mbinguni sisi tusio walokole jehanamu ni yetu. Halafu wana tabia za ajabu za kukwaza wengine. Mi nampenda Mungu na naamini katika dini ila mume mlokole simtaki. Sitaweza vumilia tabia zao za ajabu ajabu.
 
Lazima uwaone wa ovyo sana maana wakikuona umevaa kama avatar yako inavyoonesha, lazima wakupige msumari wa Neno la Mungu! Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli. Makanisani kwenu dhambi haikemewi kwa kumaanisha. Ni yale makanisa ambayo utasikia mhubiri anasema, "fuata ninachohubiri, usifuate matendo yangu". Sasa hapo hakuna unafiki?
Wanipige msumari wa Neno li Mungu, labda mbele za watu ila lazma anizungukie kunitongoza..... Hao ndo walokole
 
Ulokole unawezekana tu kama umeishafanikiwa kiuchumi. Bila hivyo lazima utakuwa kero kwa familia yako.
 
Mawazo ya kufikirika tu haya
Okoka tena
Wokovu una raha yake
 
ULOKOLE ni usanii mpya Afrika huko Amerika na ulaya husanii huu upo kitambo sasa huku kwetu Afrika ndo unavuma ile mbaya waliowahi wamepiga pesa tatizo umaskini watu wanaaminishwa watafanikiwa kwa kupitia jina la huyo jamaa yao MAUWONGO tu NDUMBA kwa sana
 
ULOKOLE ni usanii mpya Afrika huko Amerika na ulaya husanii huu upo kitambo sasa huku kwetu Afrika ndo unavuma ile mbaya waliowahi wamepiga pesa tatizo umaskini watu wanaaminishwa watafanikiwa kwa kupitia jina la huyo jamaa yao MAUWONGO tu NDUMBA kwa sana
 
Walokole wote wanafki. Kwanza wanajiona wao tayari washafika mbinguni sisi tusio walokole jehanamu ni yetu. Halafu wana tabia za ajabu za kukwaza wengine. Mi nampenda Mungu na naamini katika dini ila mume mlokole simtaki. Sitaweza vumilia tabia zao za ajabu ajabu.
Kama washafika mbinguni wanafanya nn duniani?
 
Nina mama yang mdogo ni mlokole enzi ya utoto (16yrs) niliwahi kumkuta kwenye mabanda ya uwani yupo na lijamaa linamgegeda,akaniwahi kunishtaki kwa mjomba kuwa nilikuwa namchungulia chooni aisee nilikula bakora za maana lakini sikusema ukweli kama nilimkuta anagegedwa Ili kumlindia heshima,nikakubali kosa la uongo la kumchungulia chooni,hadi leo nikimuona roho inaniuma sana.
Mawazo ya kufikirika tu haya
Okoka tena
Wokovu una raha yake
 
Including you!
No, i'm exception, it's you and the rest who are paranormally psychopath with a sense of antsocial.

And i strongly insist you need deliverence because you sound like possessed silverback who's devoid of empathy for her mates.
 
Pole sana, lakini huo ndio ukweli! Kama hujaookoka wewe ni mataifa.

Nini maana ya kuokoka? Wengi wenu ni wanafiki mnaishi maisha ya kuigiza tu, wala hamfanani na wokovu wenyewe, ishini ukweli mtakuwa huru!
 
Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.

kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.

NB: Matusi sitaki tafadhali
1.Kuna mdada mtu mzima MLOKOLE alikuwa anasali kwa kububujika.....
2.Kuna jamaa ana watoto wadogo mkewe alifariki,akawa anatafuta mke.......
3.Kuona mdada anavyosali na kuabudu kwa msisismo akaona naam huyu anafaa kuwa mke.......
4.Akaamua kumchumbia......
5.Siku ya kwanza akamkaribisha kwake,MDADA akagoma kuondoka mpaka usiku mkubwa akaomba kulala kwa jamaa.
6.Usiku amri ikavunjwa
7.Asubuhi jamaa akaenda kutubu na kusikitika kamkosea Mungu kwa kutembea na Mtumishi wake
8.Lakini mdada hana habari yeye kapand amadhabahuni na kuendelea kububujika
9.Jamaa kuona hivyo akaamua kumpiga kibuyu mdada
 
Guys these allegations are way to prejudicial and discriminatory.......
 
Mtoa mada anafanya kuukamilisha unabii "mtachukiwa na watu wengi kwa ajili ya jina langu". Kuna watu hujificha kwenye ulokole kumbe siyo,kujumwisha wote pia nao ni ujinga.
 
Back
Top Bottom