stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Dini zote upumbavu tuu...totally nonsenses...sema hao wamezidi aisee
Kama wewe ulivyo m.p.u.m.b.a.v.u! Na kukashifu imani za watu
Dini zote upumbavu tuu...totally nonsenses...sema hao wamezidi aisee
Sema dini zote kwa ujumla mkuu,...hakuna penye uafadhali.....Kote ni uongo na uharibifu wa asili ya watu.
Yaani kama Dini zingekuwa kama Siasa kwamba mtu anajihusisha nazo baada ya kufika miaka 18, tusingezikuta.....zingeshajifia mapema maana hazina mantiki.....Lakini kwa kuwa watu wanamezeshwa na kutishwa nazo tangu wakiwa wadogo, ndio maana hadi leo zipo.Dini zote upumbavu tuu...totally nonsenses...sema hao wamezidi aisee
Ulokole manayake ni mbili tu
1unafiki
2na usukule
Ndo mana akasema dini zote pumbu ww unatoa povu kwa dini za watu. K kweli wwNa wale waislamu wenye itikadi kali wanaochinja wenzao pia maboya sana!
Unachinja mtu kama Kuku halafu unasema umetumwa na Mungu?Na wale waislamu wenye itikadi kali wanaochinja wenzao pia maboya sana!
Kweli mkuu. Watoto wanalishwa matango pori toka wakiwa wadogo...eti kuna maisha baada ya kufa ukiwaambia lete evidence...eti subiri yesu arudi mana alikufa miaka buku 2 iliyopita.Yaani kama Dini zingekuwa kama Siasa kwamba mtu anajihusisha nazo baada ya kufika miaka 18, tusingezikuta.....zingeshajifia mapema maana hazina mantiki.....Lakini kwa kuwa watu wanamezeshwa na kutishwa nazo tangu wakiwa wadogo, ndio maana hadi leo zipo.
Mbona povu sana....walokole ni nuksi. PeriodKama vile uislamu na kuabudu majini! Kufuga majini na chuma ulete
Walokole ni watu wa ovyo sana
We taaira kweli...kwa iyo kusema upumbavu ni kashfa.? Basi alaaniwe mwalimu nyerere aliyesema watanzania asilimia kubwa ni wajinga maana ni bora upumbavu kuliko ujingaKama wewe ulivyo m.p.u.m.b.a.v.u! Na kukashifu imani za watu
HAWAMJUI MUNGU.Wachoyo
Wabinafsi
Wanajidai wakamilifu
Wambea
Wachonganishi
Wanyanyasaji
Waongo
Wazinzi katika mikesha yao
......,....
Kwakifupi walokole wanaroho kubwa kama engine za fuso
WAO NI WAYAHUDI ETIAmbao hatujaokoka wanatuita wa mataifa!!
Ukiona mtu anasifiwa kuwa yuko poa ujue anang'ata na kupulizaInategemea umekutana na walokole wa wapi! Walokole wengi wa makanisa ya Kipentekoste na Assemblies of God ndio wana nyodo sana. Wao hupenda kujiona ni bora kuliko watu wengine. Ila ukikutana na walokole wa Lutheran au Wakatoliki huwa ni watu poa sana...
Wangekabidhiwa mamlaka hao tungekomaAmbao hatujaokoka wanatuita wa mataifa!!
😀😀😀😀😀😀Tena atakuwa yule anayenena kwa lugha na kuponya ukimwi,akshablajamatrahashikatishikashi ameeeeniii![]()
![]()
![]()
![]()