Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,845
Kazi kweli
kamuulize gwajma mimi niko bizy na kutafuta pesamh hiyokuongoka ndo naisikia naomba unieleweshe kidogo
Iko siku utajuta kwa kunitukanaKama ni hivyo mbona akuna neno mlokole au ulokole kwenye biblia acha wehu wewe yesu alikuja ili watu wawe watakatifu siyo walokole nyinyi ndo mnawaita watu wawe walokole mbona uelewi wewe boya utaelewaje wakati ni mlokole = unafiki + usukule
Na wewe utajuta kwa kumgeuza god kama mkewakoIko siku utajuta kwa kunitukana
Hata awe na magari elfu, kumbuka kwamba ufalme wa Mungu haumo katika uwingi wa vitu mtu alivyo nanyo. Ni kujilisha upepo tuBora Masanja anavyo wakusanya na kujikusanyia ela ya sadaka na hope very soon ataongeza Masanja 2 (BW) ya Monika
Nazani ujui maana ya ulokole ungejua usinge uliza swali hiloKitu cha ajabu kwenye makanisa ya walokole kila mtu ana pepo ?
Mambo ya ajabu sana, au ni usanii unaendelea pale makanisani kwao.
Nafikiri c jambo jema kutukana dhehebu au dini ya mwenzio kwa sababu ukimtukania dini/dhehebu lake naye atakutukania dini/dhehebu lako.Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB: Matusi sitaki tafadhali
god ndoo nani ? Mimi najua yupo God
Haha hapo umemmaliza kabisaa....Mtoa mada inaonyesha alikua mlokole baada ya kufukuzwa amekuja kuwateta huku...
Swali: uliwaona wanagegedana.. Au na ww ulikua unagegeda kanisan ndo maana wakakutimua ??
Kwann hukuwapelekea haya malalamiko kwa wachungaji wahusika ??
Acha unafiki rudi kanisan utubu utasamehewa
Asante!Mtoa mada inaonyesha alikua mlokole baada ya kufukuzwa amekuja kuwateta huku...
Swali: uliwaona wanagegedana.. Au na ww ulikua unagegeda kanisan ndo maana wakakutimua ??
Kwann hukuwapelekea haya malalamiko kwa wachungaji wahusika ??
Acha unafiki rudi kanisan utubu utasamehewa
Kwani ukitamka unatumia herufi kubwa na ndogo hayo maandishi tugod ndoo nani ? Mimi najua yupo God
Walokole wakatoliki wapoje hao???Inategemea umekutana na walokole wa wapi! Walokole wengi wa makanisa ya Kipentekoste na Assemblies of God ndio wana nyodo sana. Wao hupenda kujiona ni bora kuliko watu wengine. Ila ukikutana na walokole wa Lutheran au Wakatoliki huwa ni watu poa sana...
Kufuga majini kivipi???? HahhaaaKama vile uislamu na kuabudu majini! Kufuga majini na chuma ulete
Humu wengi watabisha,ila ukweli utabaki kuwa hivyo,walokole wanakiburi sana,wanajiona hapa duniani ndiyo wameshafika mbinguni,tunaye mmoja mtaani hapa,hata salamu hakuna,ukimsalimia anakausha,akiitikia husikii kama kaitikia.
Ukiona mlokole anakuchangamkia,ujue ana mpango wa kukushawishi na wewe uwe mlokole kama yeye.
