Walokole wengi nuksi sana

Walokole wengi nuksi sana

Kuokoka ni kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako
Sawa kabisa....

Baada ya tendo hilo unaacha kabisa mambo yote mabaya na unahesabiwa haki bure,
Hivyo tuu.....Bado maelezo haya hayajibu swali....Unachookokea ni kitu gani hasa..??
unazaliwa upya kwa jinsi ya roho na kuishi kwa kumtegemea Mungu kwa 100%.
Hapa bado hujajibu swali la msingi...Unokokea kitu gani hasa..? Nikimtoa mtoto mdogo kwenye nyumba inayoungua, hakika huyo mtoto atakuwa ameokoka na moto...

Sasa nyinyi walokole mnaokokea kitu gani hasa...?
 
kwanza hawa walokole wanajifanya kama wao peke yao ndio weny haki ya kuwa karibu na Mungu..pamoja na kusoma kwao biblia kote hawajawah jua km Mungu ni wa wote hata cc ambao cku nyngne hatuend kanisan
 
Walokole ni watu wa ovyo sana
Lazima uwaone wa ovyo sana maana wakikuona umevaa kama avatar yako inavyoonesha, lazima wakupige msumari wa Neno la Mungu! Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli. Makanisani kwenu dhambi haikemewi kwa kumaanisha. Ni yale makanisa ambayo utasikia mhubiri anasema, "fuata ninachohubiri, usifuate matendo yangu". Sasa hapo hakuna unafiki?
 
Bora Masanja anavyo wakusanya na kujikusanyia ela ya sadaka na hope very soon ataongeza Masanja 2 (BW) ya Monika
 
Wachoyo

Wabinafsi

Wanajidai wakamilifu

Wambea

Wachonganishi

Wanyanyasaji

Waongo

Wazinzi katika mikesha yao


......,....

Kwakifupi walokole wanaroho kubwa kama engine za fuso
Umesahau na hizi sifa mbili
Wabaguzi
Wagonjwa wa akili
 
Kuokoka ni kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako . Baada ya tendo hilo unaacha kabisa mambo yote mabaya na unahesabiwa haki bure, unazaliwa upya kwa jinsi ya roho na kuishi kwa kumtegemea Mungu kwa 100%.
Tutajie kanisa/Dhehebu gani hawafanyi hayo uliyoyataja.....
 
Kuokoka= kuokoa viungo vyote vya mwili = ngamia kupita tundu la sindano! Yafaa tu IMANI, IBADA, SALA, KUTUKUZA na TOBA
 
Wote nyie mnaouponda ulokole hamkuhubiriwa injili aliyoihubiri Yesu. Injili aliyohubiri Yesu ni ya Toba (msamaha wa dhambi) na upatanisho na Mungu. Mmekutana na injili za fedha mipasho nakadhalika. Ndio maana mnaponda. Poleni sana. Lakini bado mnayo nafasi ya kutengeneza mambo yenu na Mungu kama mna nia. Na mjue mtu fulani kujiita mlokole na kutenda mabaya hakufanyi ulokole mbaya bali yeye mwenyewe ndie mbaya na siku ya hukumu atasimama kujibu katika nafasi yake.
Kumbuka:
KILA NENO UNALOLIONGEA UTALITOLEA HESABU, EPUKA KUROPOKA AU KUHUKUMU KAMA WANAKUHUKUMU WAACHE TU ANAEWEZA KUKUHUKUMU NI MUNGU PEKE YAKE NA SIO WANADAMU. HATA KATIKA MITHALI BIBLIA INASEMA ANYAMAZAE HUPONYA NAFSI YAKE.
 
Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.

kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.

NB: Matusi sitaki tafadhali
Nilichogundua ni kwamba siku za mikesha ya vijana wakati wenzako wanagegedana wewe huwa wanakutosa ndio maana umekasirika.
NB;Bora mtu unyimwe hela unaweza usikasirike sana lakini PAPUPUCHI machozi lazima yakutoke
 
Back
Top Bottom