Pole sana Haji Manara japo sasa uko Huru na Unajitahidi mno Kuinadi Yanga SC na Kujikomba Kwao, ila Wamekutosa Kiaina na Kukushtukia pia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
109,000
Najua tokea urejee katika Ziara zako nchi za Nje na kuwa Huru kutoka katika Adhabu yako na TFF ila kwa sasa umekuwa Ukiilaumu mno Yanga SC na hasa Kumlaumu Swahiba wako Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na usiulize GENTAMYCINE nimejuaje ila jua nimejua.

ULIJIFANYA MJANJA ILA MCHEZO HUU ULIOCHEZEWA HUKUUELEWA

Haji Manara Wahenga hawakukosea walipokuja na ule Msemo wao usemao Kikulacho Ki Nguoni mwako.

Leo nikusaidie kwa Kukuambia ya kwamba Adhabu uliyoipata kwa 90% ilichangiwa na Viongozi wako wa Yanga SC baada ya Kujiridhisha kuwa Wewe no Kirusi ( ni mwana Simba SC lia lia ) na kamwe hujawahi kuwa mwana Yanga SC na hutokuwa.

MKAKATI WA KIUFUNDI ULIOPELEKEA WEWE KUPEWA ADHABU

Baada ya Uongozi wa Yanga SC kugundua na hata Kuthibitishiwa na Watu wako wa karibu kuwa Wewe ni Shabiki tukuka wa Simba SC kama nilivyo Mimi GENTAMYCINE waliamua Kukuundia Mkakati wa KIMAFIA ili Uyakanyage kisha wakuweke mbali na Mchakato wa Kutafuta Warithi wako wenye Uwezo kukuzidi na Elimu toshelezi ya Tasnia husika akina Ali Kamwe na Privaldinho jambo ambalo lilifanikiwa kwa 100%.

AKILI KUBWA ILIYOTUMIKA KUKUMALIZA AMBAYO KWA UPOPOMA ( UPUMBAVU ) WAKO HUKUIJUA WALA KUISHTUKIA

Baada ya Wewe kuanza kuwa na Majibizano na Kutunishiana Msuli na TFF ( hasa Rais Karia ) kuna Mtu Mmoja ( Mtangazaji maarufu wa Michezo Redioni ) Ulipandikiziwa ili aje kukutia Ndimu ( Kukupampu ) ili Ujae na Uwajibu hovyo TFF na ulipoingia tu matatani nao baadhi ya Viongozi wako wa Yanga SC Kisirisiri wakaenda TFF na kutaka Ufungiwe muda mrefu na kwa Kukuzuga wakarejea Kwako na kujifanya Wanakutetea / Wanakupigania kitu ambacho hakikuwa kweli bali walikuwa Wakikusanifu japo Wewe uliona ni Wenzako.

KAULI YA UHAKIKA YA BABA YAKO MZAZI NDIYO IMEKUMALIZA NA NDIYO MAANA SASA YANGA SC HAWANA HABARI NAWE

Haji Manara Baba yako Mzazi ( GENTAMYCINE Shahidi ) akiwa EFM Radio katika Interview na hata alipofanyiwa Interview na Clouds FM na Wasafi FM aliisema kuwa Wewe na Dada yako ni wana Simba SC lia lia mkiwa mmerithi Upendo huo kwa Simba SC kutoka kwa Marehemu Bibi yako / yenu.

Hivi Haji Manara kuna Mtu anayemjua vyema kabisa Mwanae kuliko Mzazi wake? Unadhani Uongozi wa Yanga SC hauna Akili hadi Kukutosa na Kukutenga kiasi kwamba sasa Unawalaumu katika Vijiwe vyako vyote?

DHARAU NA UHUSIANO WAKO MBAYA NA VIJANA MAHIRI AKINA ALI KAMWE NA PRIVALDINHO UMECHOCHEA WEWE KUTOSWA NA YANGA SC

Haji Manara unadhani Matusi yako kwa Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe na Watu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Yanga SC hayajulikani na hayawafikii Viongozi wako?

Haji Manara unadhani Dharau zako na Kashfa zako kwa Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe kuwa ni Mshamba na hana Exposure kama Wewe haziwafikii Viongozi makini wa Yanga SC?

Haji Manara hivi kuna Taasisi gani ambayo itapenda kuendelea kufanya Kazi na Mtu ambaye anajiona ni Superior, ana Matusi na Dharau kwa Wenzake wa Idara Moja na ipoteze muda wake kuendelea Kufanya Kazi nawe?

UKWELI WA KILICHOKUCHUKIZA ZAIDI NA KWANINI YANGA SC WAMEKUTOSA NI HUU

Haji Manara ukweli ni kwamba hukutegemea kuwa Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe na Watendaji wake wa Idara akina Privaldinho wangefanya Kazi Kubwa, Wangekubalika na Utendaji wao Klabuni ungekuwa na Tija zaidi KIMAADILI todauti na ulivyokuwepo Wewe.

Tatizo lako Haji Manara na hili Ulionywa ila kwa Jeuri zako zitokanazo na Kipato Kikubwa ulichonacho ila hukusikia ni Wewe kujiona ni Mfalme wa Habari, Propaganda na Uhamasishaji wakati kumbe wapo Watu ambao Wanakuzidi na wana Integrity na Personality nzuri kuliko Wewe kama Msemaji wa sasa wa Yanga SC Ali Kamwe.

UKARIBU WAKO NA MAWASILIANO YAKO YA MARA KWA MARA NA WACHEZAJI WAANDAMIZI WA SIMBA SC UMEKUMALIZA ZAIDI

Haji Manara hakuna asiyejua kuwa una Mawasiliano ya mara kwa mara na Wachezaji Waandamizi wa Simba SC na hata Simba SC ikifanya vibaya huwa Unawapigia Simu na Kuwalaumu sana.

Haji Manara unadhani Watu hawakukuona Ukifurahia Chobingo ( Mafichoni ) pale Yanga SC ilipofungwa na Simba SC Goli 2 kwa 0?

UKWELI MCHUNGU AMBAO NAKUPASULIA NA UKUINGIE HASA

Haji Manara kwa sasa Yanga SC hawana haja tena nawe, acha Kujikomba / Kujipendekeza Kwao kwani Wameshaona kuwa Msemaji wao wa sasa Ali Kamwe ni mzuri Kiutendaji kuliko Wewe hivyo hawakuhitaji na hata ukiona Wanakutumia jua tu kuwa Wanakusanifu ili angalau ujione ni sehemu yao.

HITIMISHO NA USHAURI WANGU KWAKO

Haji Manara Mimi GENTAMYCINE nakushauri tu kuanzia sasa achana na mambo ya Mipira, bakia tu kuwa Mtazamaji, jikite zaidi katika Biashara zako, Miradi yako na Maandalizi yako makubwa ya kutaka Kugombea Ubunge mwaka 2025 Jimbo la Ilala Siri ambayo nina uhakika utakuwa Umeshtuka GENTAMYCINE nimeijuaje ila Wewe fahamu tu kuwa GENTAMYCINE ni Habari Nyingine na Moto wa Kuotea Mbali kwa Taarifa na Ufukuaji wa Taarifa Ngumu, za Siri na za Hatari vile vile.

Halafu punguza sana kila mara Kumlaumu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kuwa amekutosa na hakujali kwani nae Akikasirika anaweza kwenda kwa Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed ( GSM ) anayekuweka Mjini kuanzia Kukupangia hiyo Nyumba ya Kifahari unayokaa hapo Slip Way Masaki, kukununulia hilo Gari na Kukuhudumia na akakuchomea Utambi kisha Huduma zote hizo zikaondolewa na ukaanza kuishi Maisha ya Kiumasikini ( Kingumbaru ) kama niliyonayo GENTAMYCINE na ukarejea Kwenu pale Buguruni Malapa na ukaanza Kushinda Vijiweni Kwako pale Bungoni jirani na Nyumbani Kwao mwana Ilala Mwenzako Mchezaji Ibrahim Ajib Migomba mkabala na Msikiti mkubwa ulioko Jirani.

Najua unatamani sana kurejea Simba SC ila huwezi kwa Upuuzi Uliowafanyia na hata Azam FC nako huwezi kwenda baada ya Kuwatusi mno ila jitahidi sana upate muda ukawaombe Radhi Viongozi wa Simba SC, Mwekezaji wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC ili Wakusamehe, Ubarikiwe na uwe Imara zaidi kwani kwa sasa kwa 85% yanayokukuta yanachangiwa na Laana zao ambazo ulizitafuta Mwenyewe kwa Tamaa zako na Usaliti wako.

Nimemaliza.

OMBI MUHIMU NA LA KIUWELEDI

Haya Wazee wa Kukopi Mabandiko ya GENTAMYCINE hapa JamiiForums na kuyatumia Redioni, Runingani, Magazetini, katika Viblogu Viblogu vyenu na Mitandaoni ( hasa WhatsApp ) tafadhali mkiichukua hii msiwe Wachoyo wa kunipa / kutoa Credits Kwangu GENTAMYCINE na huu Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Manara anarudi Simba, hiyo hakuna wa kuizuia. Uongozi wa aina ya watu kama Mangungo sijui Mangungu unamhitaji sana Manara hasa katika kipindi hiki...aina ya Viongozi wanaowekeza katika kumfunga mtani tu.

Halafu mbona ni kama naina unakunja ngumi wakati ugomvi umeshaisha? Ulikuwa wapi kumuambia yote haya kipindi kile hadi uje nayo hivi sasa?
 
Supu leo umenywea wapi mkuu pale pale au umehama kijiwe au ndio unatoka mzigoni
 
Naweza kuamini kuwa yanga wamemtosa
Kuna siku niliona ameandika instagram akiwalaumu viongozi wake wa yanga kushindwa kuingilia kati sakata lake la kufungiwa!
Ali kamwe anatosha sana yanga!
pole sana pia kwa wewe unae umia kwa ajili yake, saa zingine ni vema kushirikiana kusikitika ni Faraja pia
 
Charistimatic Fella
 
hapa mie nacheka ha ha ha ha ha
 
...na yeye si ni kama Mzungu na ilala wanapenda wale watu kama wazunguwazungu hivi.

Kingine usimchukulie pia. Manara ni Mwana CCM aliyesomeshwa Propaganda na CCM na aliwahi kuwa msemaji wa CCM mkoa wa Dar es salaam.

Sawa si bishani nalo ilo najua ataenda gombea ccm ila kumbuka Zungu nae ni ccm tena ILALA lazima aue mtu alaf ni naibu spiker wa bunge ukumbuke
 
Back
Top Bottom