Walokole wengi nuksi sana

Walokole wengi nuksi sana

Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB:Matusi sitaki tafadhali
Katika watu wenye roho mbaya ni warokole ,,halafu karibia 80%ya wachawi wote ni warokole
ukimuona mtu yeyote anajinadi ni mlokole..kuwa mbali naye..
 
: JIULIZE UNA TABIA ZIPI? (1)

Simba ana tabia ya kunyemelea mawindo yake, Fisi ana tabia ya kula mizoga, Kuku ana tabia ya kupiga kelele akishataga na Mbwa ana tabia ya kubweka akiona kitu ambacho hajazoea. Sasa Je WEWE una TABIA Ipi au una TABIA zipi?

Tabia ni roho kamili inayoweza kumsababishia mtu KUFANIKIWA au KUSHINDWA katika Maisha ya Kiroho na ya Kimwili pia. Hivyo ni muhimu sana kuona kuwa Tabia NZURI ya Mtu inajengeka mapema Utotoni ili maisha yake ya baadae yasije kuwa Mabaya. Tabia ya mtu hujengeka kuanzia Umri wa miaka mitano hadi kumi na miwili (5-12); kipindi ambacho ni muhimu sana katika kuweka MISINGI ya Kimaisha ndani ya mtu. Pia ndicho kipindi ambacho MUNGU anaweka KUSUDI lake kwa mtu. Endapo itatokea bahati mbaya shetani akawahi kuweka Kusudi lake ndani ya mtu basi Uharibifu mkubwa sana hujengeka ndani ya mtu huyo.

Tabia inaweza kuleta matokeo mabaya ya laana, au kuleta matokeo Mazuri ya BARAKA. Tabia aliyonayo mtu inaweza kumletea BARAKA au Laana. Baraka za MUNGU huambatana na Tabia aliyonayo mtu, ambayo ni lazima IUMBIKE ndani yake kwanza ndipo apokee Baraka hizo. Mtu anaweza pia akaiga Tabia nzuri AKAFANIKIWA kama alivyofanya Mfalme Yehoshafati wa Taifa la Israel. Yeye alijenga tabia ya kujifunza kutoka kwa Babu yake Mfalme Daudi na akapata Baraka kwa kwenda sawasawa na njia za Baba yake.
 
Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB:Matusi sitaki tafadhali
Hivi hao walokole wanaposema wamekoka huwa wameokokea nini hasa..?
 
Dini fanatics wote kwa ujumla wao ni nuksi bila kujali dini/dhehebu gani.

Dini ilipokolea maendeleo ni sifuri.
Moshi Ukatoliki na Ulutheri umekolea....Na ndio tunaongoza kwa maendeleo...
 
Inategemea umekutana na walokole wa wapi! Walokole wengi wa makanisa ya Kipentekoste na Assemblies of God ndio wana nyodo sana. Wao hupenda kujiona ni bora kuliko watu wengine. Ila ukikutana na walokole wa Lutheran au Wakatoliki huwa ni watu poa sana...
Lutheran na RC hakuna waliookoka ila wanaigiza tu
 
Kuokoka ni kitu gani..?
Kuokoka ni kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako . Baada ya tendo hilo unaacha kabisa mambo yote mabaya na unahesabiwa haki bure, unazaliwa upya kwa jinsi ya roho na kuishi kwa kumtegemea Mungu kwa 100%.
 
Waloloke, wakatoliki karismatiki, waislam sala 5 na wasabato ni watu wabaya sana. Zaidi ya unavofikiria. Ni wachoyo na wana roho na chuki za kichoyo. Nakuambia kutoka kwa experience.
Hawa watu wa dini dini ni watu wabaya sana.
Bora sisi tusio na dini lakini tunaishi ktk misingi ya "RIGHT na WRONG"

Acha unaa! Mtoa mada ametaja walokole! Sasa vepe wewe unakurupuka kama umejikojolea kitandani kuwashutumu Waislam? Waislam wamekukosea nin? Au ni chuki zako tu! Chuki zitakuuwa mwaka huu! Huna Haya! Looh kigonywa hasid wa malimau! Ukome Dada!
 
Waloloke, wakatoliki karismatiki, waislam sala 5 na wasabato ni watu wabaya sana. Zaidi ya unavofikiria. Ni wachoyo na wana roho na chuki za kichoyo. Nakuambia kutoka kwa experience.
Hawa watu wa dini dini ni watu wabaya sana.
Bora sisi tusio na dini lakini tunaishi ktk misingi ya "RIGHT na WRONG"
 
kama matusi hautaki wakati umeleta masimango kumbe na wewe nuksi pia,
ila ukisikia mtu ni mlokole ujue kuna mengi mabaya ashayatenda kwahiyo anajaribu kurudi kwenye mstari ili aende sambamba na jamii inayomzunguka,ingawa kiufupi ni kwamba tabia ni kama ngozi,kama alikuwa malaya atendelea kimya kimya kwa kutumia jina la yesu,ujambazi,uwongo and the rest,wote huwa wamebadirisha tu mitindo kwa kujifunika joho la ulokole,ila ndani yao they remain to be true them,ndio maana wana kipengere cha ushuhuda...
hahahahah... jamaa kajihami kabisa hataki matusi wala kuhokjiwa
 
Back
Top Bottom