Walokole wengi nuksi sana

Walokole wengi nuksi sana

Waloloke, wakatoliki karismatiki, waislam sala 5 na wasabato ni watu wabaya sana. Zaidi ya unavofikiria. Ni wachoyo na wana roho na chuki za kichoyo. Nakuambia kutoka kwa experience.
Hawa watu wa dini dini ni watu wabaya sana.
Bora sisi tusio na dini lakini tunaishi ktk misingi ya "RIGHT na WRONG"
Sema dini zote kwa ujumla mkuu,...hakuna penye uafadhali.....Kote ni uongo na uharibifu wa asili ya watu.
 
Mtoa mada inaonyesha alikua mlokole baada ya kufukuzwa amekuja kuwateta huku...
Swali: uliwaona wanagegedana.. Au na ww ulikua unagegeda kanisan ndo maana wakakutimua ??
Kwann hukuwapelekea haya malalamiko kwa wachungaji wahusika ??

Acha unafiki rudi kanisan utubu utasamehewa
UKWELI ni kwamba hili suala hajalifikisha mahali HUSIKA. huku amekuja kusimanga. na kama anasoma post yangu, namshauri aachane na mambo ya watu. yeye mwenyewe anayo mengi ya kuacha na ya kufanya pia
Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB:Matusi sitaki tafadhali
 
Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB:Matusi sitaki tafadhali

Picha wakiwa wanagegedana plz ili tuamini maneno yako
 
Inategemea umekutana na walokole wa wapi! Walokole wengi wa makanisa ya Kipentekoste na Assemblies of God ndio wana nyodo sana. Wao hupenda kujiona ni bora kuliko watu wengine. Ila ukikutana na walokole wa Lutheran au Wakatoliki huwa ni watu poa sana...

Kodofan;
Nimeufurahia sana mchango wako makini na wa hekima sana. Ati walokole wa Kipentekoste na Assemblies of God. Dah! Hao ni sampuli gani tena jamani?? Kwangu wapya kabisa.
Yaonesha huna hata uwezo wa kubagua kondoo na mbuzi weye wala parachichi na embe kwako yote maembe tu. Aksante kwa kunielewesha pia kuwa kuna walokole wa Lutheran na Katoliki. Naona umewasoma sana hawa watu. Je, na weye ni miongoni mwa kundi lipi hao??
 
Yeah...tena hovyo hasa i,e wana roho ya mpinga kristo hasa.
Wengi wao wanakuwa walifanya maasi mengi kabla ya ulokole hivyo ile silika ya roho mbaya bado wanakuwa nayo.
 
Ulikataliwa na mlokole ww. Inaonyesha ulimpenda sana sasa hv unamaliza hasira zako JF. Pole sana ndugu yangu o
 
Mikutano yao ni kukosoa wenzao tu
Walokole tunawaita watakatifu wa vibanzi*waovu wa boriti*aka wanafiki
Wazee wa injili uchwara
Hao ndiyo waliosemwa na yesu wameikataa kweli na kufuata isiyo kweli kuiabudu
Wamekataa utakatifu na kuukimbilia ulokole yesu akuja kuwafanya watu wawe walokole bali watakatifu
 
Back
Top Bottom