Olefombo
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 118
- 163
Hafu wewe utakua mzuri sana asee hadi walokole?Wanipige msumari wa Neno li Mungu, labda mbele za watu ila lazma anizungukie kunitongoza..... Hao ndo walokole
Naomba basi tuongee chemba
Hafu wewe utakua mzuri sana asee hadi walokole?Wanipige msumari wa Neno li Mungu, labda mbele za watu ila lazma anizungukie kunitongoza..... Hao ndo walokole
Itakua wanataka chabo tuKama washafika mbinguni wanafanya nn duniani?
Ungejaribu kufafanua ubaya wao kdg tujue, maana karibu hao wote uliowataja wanafuata misingi ya kile wanachokiamini mf nilivutiwa sana an waislamu wale wanaohudumia wagonjwa kwa moyo pale Amana hosp na Muhimbili ,pia wasabato walivyo na Prog za kusaidia wenye mahitaji ktk jamii mm nadhani mabaya yao ni mapungufu ha kibinadamu zaidi na niya mtu mmoja mmoja.Waloloke, wakatoliki karismatiki, waislam sala 5 na wasabato ni watu wabaya sana. Zaidi ya unavofikiria. Ni wachoyo na wana roho na chuki za kichoyo. Nakuambia kutoka kwa experience.
Hawa watu wa dini dini ni watu wabaya sana.
Bora sisi tusio na dini lakini tunaishi ktk misingi ya "RIGHT na WRONG"
Du sema baadhi sio wote maana ulokole si tabia tabia na ulokole ni vitu viwil tofauti kamwe katika research hatuchukulii jumla jumla kuna wengine utawapenda walivo na roho njema.Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB: Matusi sitaki tafadhali
Wengi tu wana roho mbaya..religious pipo are suckers. Mark my words!Ungejaribu kufafanua ubaya wao kdg tujue, maana karibu hao wote uliowataja wanafuata misingi ya kile wanachokiamini mf nilivutiwa sana an waislamu wale wanaohudumia wagonjwa kwa moyo pale Amana hosp na Muhimbili ,pia wasabato walivyo na Prog za kusaidia wenye mahitaji ktk jamii mm nadhani mabaya yao ni mapungufu ha kibinadamu zaidi na niya mtu mmoja mmoja.
u katika ulokole kuna ngano na magugu kumfundisha mtu si kumlazimisha afate unachomfundisha.Shetaniyupo na ndo maana anawaandama sana ili wasiwe mfano ktk jamii ili watu wasimwamini Mungu wetu maana neno linatuambia sisi ni barua lazima tusomeke vema na tuish kwa mfano wa kuigwa sema wengi hata wakiokoka unakuta bado wana taia zao za asili ambazo kwao ni ngumu kuacha na ni kwa sababu hawajamaanisha kumwomba Mungu waishi maisha safi ya kumpendeza Mungu.So sio walokole wote wanaact funny kuna wengine ni kweli na hii kitu ipo ktk kila jamii haijalishi maana wote ni wanadamu na hakuna mwenye haki hata mmoja.Maana mdau kasema kama vile hakuna mlokole mzuri wakati wapo kibao.Kuna mmoja nikiheshimiana nae sana na yupo kwenye process za kufunga ndoa,wiki mbili nyuma nikiwa ofsini kwangu akaja story story tumetaniana taniana sasa wakati wakuagana tukashikana mikono mara akanitekenya na kidole kwenye kiganja cha mkono wangu,sikuchukulia maanani coz nilidhani labda nilichokisikia sio halisi...siku mbili mbele akaja tena akanitania tania ktk utani huo akanichomekea huku mkono wake anaupeleka kwenye maungo yangu,“yaani wewe nina hamu nikupe kiuno lakini hata huelekei",niliishiwa nguvu maana mke wa mtu mtarajiwa anaongea ujinga kama huo nilitaka nimfukuze ila nikajichekesha na sikumjibu chochote,juzi kaniletea kadi ya mchango nikamuuliza “unakijua unachokifuata kwenye ndoa kweli wewe?”akanijibu eti mbona baba na mama wameishi hadi sasa wazee,na najua ameshajua nimekasirika kwa aliyoniambia maana baada ya swali hilo aliniaga nakuondoka.sihukumu maana sijui mafundisho yao but nahisi kuna kitu wanaki-miss ktk mafundisho yao hasa kuhusu suala la mahusiano na jamii pia mahusiano ya kindoa.
Hao ni ExtremistWengi tu wana roho mbaya..religious pipo are suckers. Mark my words!
kabisa yani dini ni kitu kizuri sana jamani ingekua kama watu wanaifuata kikamilifu na wanahubiriwa ukweli dunia ingekua better place lakini sababu shetan hapendi watu wamtii Mungu basi ndo mana analeta mivurugano na tabia za ajabu kwa watu ilimradi tu.Dini na mafundisho yake havina tatizo shida IPO kwetu waumini.Waafrica wengi tunashika dini kama desturi bila kuyaacha mienendo na tabia zetu za asili mfano uvivu, choyo,chuki, ubinafsi,masengenyo nk.
kuna mlokole kweli ktk dunia ya trump?Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB: Matusi sitaki tafadhali
hahaha ndugu mbona unamkana kristo hadharani.Kumbuka alisema atakaenionea haya mbele za watu nami nitamwonea haya mbele za baba au nyie hamumuamini kristo kama mnamwamini soma (warumi 10;9) ndio maana ya ulokole.ludheran sisi sio walokole tutake radhi
kuna tofauti kubwa kati ya kuongoka na kuokoka sisi tumeongokahahaha ndugu mbona unamkana kristo hadharani.Kumbuka alisema atakaenionea haya mbele za watu nami nitamwonea haya mbele za baba au nyie hamumuamini kristo kama mnamwamini soma (warumi 10;9) ndio maana ya ulokole.
mh hiyokuongoka ndo naisikia naomba unieleweshe kidogokuna tofauti kubwa kati ya kuongoka na kuokoka sisi tumeongoka