Umewahi kuishi Moro ama Tanga?....maana ndiko nilikoshuhudia hayo mambo.Kweli mkuu.
Kuna msikiti mmoja ni kero kwa jamii inayouzunguka mana saa 10 alfajiri wanapiga kelele kuwaamsha watu eti amkeni mkaswali..amka amka eti kitanda ulicholalia ni jeneza...shuka ndo sanda..
yani maspika yanapiga kelele.
Yani hizi dini ni utumbo na upumbavu mkubwa sana.
Cha msingi ni kuishi katika misingi kipu kizuri na kipi kibaya
UMESHAOGESHA KABABY?Mlokole mstaafu! Hongera kwa kazi nzuri
Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB:Matusi sitaki tafadhali
Hiyo tafsiri umeinukuu wapi? Na vipi kuhusu ambao si walikole, unawa-define vipi?Ulokole manayake ni mbili tu
1unafiki
2na usukule
Including you!Huu upuuzi sana.
Kwanzia mleta mada na wachangiaji mnaonekana kuwa na matatizo makubwa sana yanayosababishwa na chuki iliyoshamiri katika mioyo yenu.
You all need to undergo pyschometric test if not spirutual deliverence.
Kuna hoja za kipuuuzi na kuna hoja murua za kujadili......!Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB:Matusi sitaki tafadhali